ongezeko

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Librarian 105

    JamiiForums Tanzania Ongezeko la bidhaa chini ya viwango mtaani, TBS kunani?

    Nitaangazia upande wa chuma pekee: hardware nyingi sana huku Arusha zinauza nondo na bidhaa nyingi za chuma ambazo hazina ubora na kiwango. Pia hazina urefu wa futi 17-17.5 kama zamani. Hii hali imenipa mashaka makubwa juu ya matokeo ya baadae ya tasnia ya ufundi na ujenzi wa uhakika mitaani...
  2. Mhafidhina07

    JamiiForums Tanzania wamasai wakizaliana ngorongoro kuna mpango gani dhidi ya ongezeko lao?

    tutahamisha wanyama au tunaendelea kuwapa wamasai hifadhi ili tuendeleze utamaduni wao?hifadhi zetu zitakuwa salama kiasi gani?kuna namna nyengine ya kulinda maliasili zetu dhidi ya ongezeko la wamasai kwa kipindi kijacho? je,ni ipi njia salama ya kuitunza ngorongoro?
  3. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Ongezeko la Idadi ya Watalii wa Kimataifa Nchini.

    Ongezeko la Idadi ya Watalii wa Kimataifa Nchini.
  4. X

    JamiiForums Tanzania Marekani: Ndani ya siku 100 tu deni la taifa la Marekani lafikia $35 trillion kutoka $34 trillion

    Deni la taifa la Marekani au kama wao wanavyoliita Federal Debt, Government Debt, National Debt, U.S Public Debt linapaa kwa kasi sana limefikia $35 trillion ambalo ni sawa na $104,082 kwa kila mtu anayeishi Marekani. Deni la taifa la Marekani linakua kwa kasi zaidi kuliko uchumi. Kuna sababu...
  5. Gemini AI

    JamiiForums Tanzania WHO: Kuna ongezeko la Maambukizi mapya ya COVID-19 dunia nzima, nchi zijiandae

    GENEVA: Shirika la Afya Duniani (WHO), limetoa tahadhari ya kuwepo kwa ongezeko la Maambukizi ya Virusi vya #COVID19 duniani huku utoaji Chanjo ukipungua. Taarifa ya WHO imesema "Takwimu za mfumo wetu wa ufuatiliaji katika nchi 84 zinaripoti kwamba asilimia ya vipimo vya SARS-CoV-2 vimekuwa...
  6. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi: Mwaka 2023 ulikuwa na ongezeko la Makosa 658,825 (21.1%) ya Jinai na Usalama Barabarani nchini Tanzania

    Takwimu za Hali ya Uhalifu nchini Tanzania zimeonesha kati ya Januari 2023 hadi Desemba 2023 kulikuwa na Matukio 3,778,908 ya Jinai na Usalama Barabarani yaliyoripotiwa katika Vituo vya Polisi ikiwa ni ongezeko la Matukio 658,825 (21.1%) kutoka matukio 3,120,083 ya mwaka 2022. Ripoti ya Jeshi...
  7. Yoda

    JamiiForums Tanzania Ongezeko la watu kuhuhudhuria marathons imechochewa na nini?

    Hili ongezeko kubwa la mbio za marathons na watu wengi zaidi wakiongezeka kushiriki hizo marathon kumechochewa na nini? Kuna siri gani huko kwenye marathons Kuna faida gani kubwa hasa katika hizo marathons hadi kuvutia watu kutoka sehemu za mbali kabisa kusafiri kwenda kushiriki kutoka mkoa...
  8. aleesha

    JamiiForums Tanzania SMZ: Kuna ongezeko la uhamiaji holela wa watoto kutoka Tanzania Bara kuja Zanzibar

    Serikali ya Zanzibar imesema kuna ongezeko la uhamiaji holela wa watoto kutoka Tanzania Bara kwenda Zanzibar unaochangiwa na umaskini na unyanyasaji. Katibu Mkuu Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Zanzibar, Abeida Rashid ametoa kauli hiyo wakati wa mazungumzo ya kitaifa ya...
  9. L

    JamiiForums Tanzania IMF kuinua makadirio ya ongezeko la uchumi wa China ni habari njema kwa uchumi wa dunia

    Hivi karibuni Shirika la Fedha la Kimataifa IMF liliinua makadirio ya ongezeko la pato la taifa la China kwa mwaka wa 2024, kutoka asilimia 4.6 za awali hadi asilimia 5, hatua inayoonesha imani ya jumuiya za kiuchumi za kimataifa kuhusu uchumi wa China. Makadirio haya pia yameongeza matumaini...
  10. rosesalva

    JamiiForums Tanzania SoC04 Kuimarisha familia kama taasisi ya malezi katika zama zenye ongezeko la makanisa na matumizi ya teknolojia katika huduma

    Familia na dini zimekuwa zikiaminika kama taasisi muhimu katika hatua za awali za malezi na makuzi ya watoto wadogo na hata vijana wa rika balehe kwa kuwapa mafunzo na miongozo inyowajenga kiimani, kiakili na kiroho. Kwa kipindi cha mwaka 2000 hadi kufikia 2024 katika nchi ya Tanzania kumekuwa...
  11. Kazanazo

    JamiiForums Tanzania Ipi ni njia sahihi ya kukabiliana na ongezeko la ukahaba katika jamii?

    Kumekuwepo na malalamiko miongoni mwa jinsia ya kike na ya kiume Wanawake wanasema wanaume ndio chanzo cha ukahaba kwakuwa wao ndio wanunuzi na watumiaji wa huduma itolewayo na wauzaji(wanawake) hivyo wakiacha kununua hakutakuwa na wauzaji Huku wanaume wakilaumu wanawake kujirahisisha na kuwa...
  12. H

    JamiiForums Tanzania SoC04 Ongezeko la watu isiwe tatizo ila iwe chachu ya kujiboresha katika nyanya zote muhimu ndani ya nchi

    Tanzania inazidi kuongezeka hasa Kwa idadi ya watu tulikuwa ml 60 kwa Sasa Kwa takwimu zisizo rasmi tunaenda kufika ml 67 hivyo tunazidi kuongezeka Kwa idadi ya watu ndani. Nchi yenye watu wengi duniani ni china na Kwa afrika ni nigeria.hizo nchi mbili tunaweza tumia kama mifano ya kutuimarisha...
  13. C

    JamiiForums Tanzania Ongezeko la tahasusi

    Ndugu zangu leo nina swali kidogo, hivi suala la kuongezeka kwa tahasusi kwa kidato cha tano na cha sita hadi kufikia idadi ya tahasusi zipatazo 65, ni dalili ya elimu kukua???
  14. Librarian 105

    JamiiForums Tanzania SoC04 Tanzania tuitakayo 2050: Miundombinu ya kukabiliana na mafuriko isanifiwe kiuhandisi kuakisi ongezeko la watu na ukuaji wa makazi nchini

    Utangulizi: Kwa muda mrefu mafuriko yamekuwa yakiharibu miundombinu ya uchukuzi na usafirishaji nchini, pia kuleta maafa ya vifo kwa raia na mali zao, na kwa ujumla hurejesha nyuma kasi ya maendeleo ya kiuchumi na kijamii. Na mara nyingi viongozi wa serikali hutazama majanga ya mafuriko na...
  15. W

    JamiiForums Tanzania Kuna ongezeko kubwa la maambukizi ya VVU kwa wasichana wenye umri wa miaka 15-24 Tanzania

    Maambukizi ya VVU miongoni mwa wasichana wenye umri wa miaka 15-24 yameongezeka kwa kiwango cha kutisha, kwa mujibu wa Tume ya Kudhibiti UKIMWI Tanzania (Tacaids). Kulingana na takwimu, maambukizi ya VVU kwa wasichana katika kundi hili la umri yameongezeka kutoka asilimia 14 katika kipindi cha...
  16. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania Vibe la ongezeko la Wachungaji Wanawake wanaojibatiza uchungaji. Je, Ufufuo wa Bustani ya Eden?

    Shalom, Tucheke kwanza "Oalaa kalooo' Dunia na matukio sasa hivi jamii ya watanzania inashuhudia ongezeko la ma pastor ama wachungaji wanawake ni vibe moja kali sana kwenye social media na wanapenda sana interview zenye maudhui ya mapenzi na kusambaza injili zenye kugusa mapenzi Tutaona...
  17. Mjanja M1

    JamiiForums Tanzania Sababu ya Single mother kutengwa na wanaume

    Habari zenu wakuu, Nimekuwa naona nyuzi nyingi sana zikiwasema wanawake waliozaa nje ya ndoa kuwa hawafai na sio wa kuwaoa abadani. Kiukweli hili suala ni nyeti na linahitaji mjadala mkubwa ila mimi nitaongelea sababu zinazofanya wanaume wenzangu wengi wawe wagumu kuoa au kuanzia mahusiano ya...
  18. Determinantor

    JamiiForums Tanzania Ongezeko la kuvunjika Ndoa, natoa RAI kituo Jumuishi cha Taifa cha Familia - Temeke kichunguzwe

    Sipingi Watu kutengana kwa kukubaliana kutokukubaliana, LAKINI inafikirisha zaidi pale unapogundua kuwa "kuachanishwa" kwenu kulikua na nguvu flani nyuma yake. Katika pita pita Zangu mara kadhaa nimeona kituo hiki kikitajwa kuwa na "Vishoka" kama ilivyo sehemu nyingine kama TANESCO ambao...
  19. Not_James_bond

    JamiiForums Tanzania Inadaiwa kuna utakatishaji Fedha kwa Mgongo wa Dini: Ongezeko la Makanisa na Wachungaji

    Nimekutana na hii discussion hapa ikidai kwamba Katika miaka ya hivi karibuni, kumekuwa na ongezeko kubwa la makanisa na wachungaji. Hali hii imeibua wasiwasi kuhusu uwezekano wa matumizi mabaya ya makanisa kwa ajili ya utakatishaji fedha. Hapa wadau walikua wanasema hizi ni baadhi ya njia...
  20. Z

    JamiiForums Tanzania SoC04 Mageuzi ya kiuchumi na fursa ya ongezeko la watu duniani

    UTANGULIZI Ningependa kumshukuru Mwenyezi MUNGU kwa fursa hii adhimu, ya kuleta mapendekezo chanya kwa maendeleo ya Taifa letu. Ningependa kuanza kwa kuuliza, Je Tanzania tuitakayo ni ipi? Ni Marekani ya sasa yenye ushawishi wa kiuchumi Duniani? Au ni Dubai ya sasa yenye majengo marefu ya...
Back
Top Bottom