ongezeko

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. CM 1774858

    JamiiForums Tanzania Mapato ya utalii wa nje yameongezeka kutoka $700m au TZS1.82 Trilioni hadi $3.9bn sawa na TZS10.14 Trilioni ongezeko ni TZS8.32 Trilioni

    Rais Samia ameongeza mapato ya utalii wa kimataifa kutoka $700m au TZS1.82trilioni hadi $3.9bn sawa na TZS10.14trilioni Tofauti ni Trilioni 8.32 na utalii wa ndani umeingiza TZS210bn. Mwaka 2024 umeshuhudia mafanikio makubwa katika sekta ya utalii nchini Tanzania, yakijieleza kupitia ukuaji wa...
  2. CM 1774858

    JamiiForums Tanzania RECORD: Madaktari bingwa wameongezeka kutoka 5 hadi 2,369 ongezeko la mara 464 wakati bajeti imeongezeka kutoka TZS900bn hadi TZS1.6Trilioni 2025|26

    Rais Samia Suluhu katika kujenga msingi wa shabaha ya Dira2050 inayotaka Watanzania wenye afya na furaha, na umri wa kuishi wa wastani wa miaka 75, Kwa upande wa kumpiga vita adui Maradhi, hatua kubwa imefikiwa katika nyanja zote ikiwemo ujenzi wa miundombinu ya afya, wataalamu wa afya wa ngazi...
  3. K

    JamiiForums Tanzania JUMLA YA SMS BILIONI 52.8 ZIMETUMWA NA KUPOKELEWA MWEZI JUNI 2025 SAWA NA ONGEZEKO LA ASILIMIA 6 UKILINGANISHA NA MWEZI MACHI 2025

    JUMLA YA SMS BILIONI 52.8 ZIMETUMWA NA KUPOKELEWA MWEZI JUNI 2025 SAWA NA ONGEZEKO LA ASILIMIA 6 UKILINGANISHA NA MWEZI MACHI 2025 idadi ya sms ndani ya nchi imeongezeka kutoka sms bilioni 50 mwezi MACHI 2025 hadi kufikia bilioni 52.8 mwezi Juni 2025 ikiwa ni sawa na ongezeko la asilimia 6...
  4. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Kuna wakati nilidhania ongezeko la visirani kwa wadada ni kutokana na mabadiliko ya nyakati ila nilikosea. Ni kutokana udhaifu wa vidume wa kisasa

    Vijana wanababaishwa sana na wadada kwa sasa. Hata michepuko sasa eti inapelekesha boya hadi inanunulia malaya gari. Sio baba zao, sio boyfriend zao, sio wame zao kwa hawa wadada wa kileo. Wote chaliiii. Msimamo mkali wa mwanaume tangu enzi na wala ndoa hazikuwahi kuvunjika time and time...
  5. matunduizi

    JamiiForums Tanzania KWA nini licha ya Ongezeko la watu wanaozungumiza FEDHA, UTAJIRI, MAFANIKIO Bado watu wengi maisha magumu?

    Katika zama zote za uwepo wa Tanzania nadhani HIKI ndio kipindi ambacho pesa na utafutaji vinazungumziwa kuliko huko nyuma Makanisa yameacha kuwahimiza watu kwenda mbinguni wakiwa wamechoka. Wachungaji, walei, wainjilisti wanafundisha watu wafanikiwe kiuchumi, kifedha, kimiradi Waalimu wa...
  6. L

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Vijana wa Kenya wakumbatia ujuzi wa kidijitali huku kukiwa na ongezeko la ajira za kujitegemea

    Akiwa ameketi kwenye kiti cha plastiki kwenye kituo cha teknolojia ya habari na mawasiliano (TEHAMA) katika mji wa Ndhiwa, takriban kilomita 366 kutoka Nairobi, mji mkuu wa Kenya, vidole vya Jackline Juma vinacheza kwa kasi wakati anapobonyeza kibodi ya kompyuta. Kijana huyo mwenye umri wa...
  7. nyachina

    JamiiForums Tanzania Ongezeko la deni la taifa na ukuaji wa uchumi wa Tanzania

    DENI LA TAIFA Naomba kutoa hoja hii tafakarishi kwa mustakabali wa nchi yetu. Naomba tuwapime viongozi wetu katika ukuaji wa uchumi wa nchi ukilinganisha na ongezeko la deni. Tulinganishe ukuaji wa deni kati ya awamu ya Nne ya JK (miaka 10) na awamu hizi mbili za JPM na SSH. Wakati JK anaingia...
  8. Stability

    JamiiForums Tanzania Ongezeko la vijana hapa bongo kuwa na mtindo wa ucheshi ucheshi sio suala la kupotezea kwa kweli

    Kila kijana sasa amekuwa comedian. Ukifuatilia vizuri sio kwamba ni watu wenye furaha au hata kujikimu sana basi tu wanafanya hivi ili wafariji nafsi zao kwa kujiconnect na watu na kutengeneza furaha bandia ili wadukue akili zao kuwa hawana tabu. Kiukweli ni kuwa wana taabika kiakili sana.
  9. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Ongezeko la single mothers ni matokeo ya Wanawake wengi kujirahisisha na kutotii wazazi au walezi wao.

    ONGEZEKO LA SINGLE MOTHERS NI MATOKEO YA WANAWAKE WENGI KUJIRAHISISHA NA KUTOTII WAZAZI AU WALEZI WAO. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Hakuna lugha nyingine ya busara zaidi ya hiyo. Ongezeko la single mothers kwenye Jamii yetu na duniani ni matokeo ya wanawake wengi kujirahisisha...
  10. caine

    JamiiForums Tanzania Ongezeko la ajira 300 za TRA wasailiwa hawajatendewa haki

    Wakuu Habari. Usiku wa leo TRA imetangaza siku ya matokeo ya oral lakini pia ndani ya taarifa hiyo wamesema kulikua kuna ongezeko la ajira 300 ambazo hazikuepo hapo awali katika usaili wa kuandika. Kuna watu wengi wamekosa nafasi ya kwenda oral interview kwa sababu ya ratio na sio kwa sababu...
  11. kadiri kasimba

    JamiiForums Tanzania Kumekuwa na ongezeko la foleni kubwa jijini Dar es Salaam hivi sasa!

    Kumekuwa na ongezeko la foleni kubwa jijini Dar es Salaam, hasa kwenye barabara za kutoka Mwenge kwenda Tegeta, Mwenge kwenda Buguruni, na Posta kuelekea Mwenge, hasa nyakati za asubuhi na jioni. Je, sababu ni magari kuongezeka? Au ni miundombinu ya barabara kuwa mibovu? Au ni kutokana na...
  12. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Condester Sichalwe Apongeza Ongezeko la Bajeti Wizara ya Kilimo

    CONDESTER SICHALWE APONGEZA ONGEZEKO LA BAJETI WIZARA YA KILIMO Mbunge wa jimbo la Momba Condester Michael Sichalwe ameitazama bajeti ya wizara ya kilimo kama mkombozi kwa wakulima wa mahindi na mpunga kwa kuwa itasaidia kupata Masoko ya nje ambapo pia imeitaka serikali kuhakikisha inatokomeza...
  13. The only

    JamiiForums Tanzania UCHAWI: Ongezeko la paka kukatwa mikia

    Naanza kwa kuwasalimu No reforms ! (mjibu kwa makelele no elections) Wakuu nimekuwa na hii observation mjini Dar na zanzibar kwa ujumla kumekuwa na paka wengi hususani hawa wakuzurura (wa mtaani) kuwaona wamekatwa mikia ,mwanzo niijisemea ni mambo ya watu wakatili kwa wanyama ,badae nikaona...
  14. Mzalendo Uchwara

    JamiiForums Tanzania Kunani ongezeko la magari yanye ngao (bullbar) barabarani, zinaruhusiwa na wengine tufunge?

    Kwa kumbukumbu zangu magari yenye ngao yalipigwa marufuku kwa sababu ya usalama wa watumiaji wengine wa barabara. Hii ilisaidia kidogo madereva kuwa makini, hata kama una gari kubwa ilikuwa lazima uwe na nidhamu, ukigonga wenzako basi ujue fedha ya taa na bampa zinakuhusu. Sasa hivi kila basi...
  15. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Prof. Makame Mbarawa: Uwekezaji wa DP World, mapato yafikia TSh. Trilioni 8.26 ongezeko la asilimia 16.67

    Serikali imesema kitendo cha kushirikisha Sekta Binafsi katika uendeshaji wa shughuli za bandari kwa kuingia ubia na Kampuni za DP World na TEAGTL katika kuendeleza na kuendesha baadhi ya maeneo ya Bandari ya Dar es Salaam, kumeleta mafanikio mbalimbali yakiwemo kuongezeka kwa mapato yatokanayo...
  16. Now and then

    JamiiForums Tanzania Wakuu hizi mvua zinaleta ongezeko la Mbu naomba ushauri hasa sisi wenye watoto!

    Nataka mdada mmoja mjamzito niende nae clinic watupe net Mbu zitaniuwa walahi wakuu
  17. funaku

    JamiiForums Tanzania Ongezeko la huduma za kijamii kama biashara -haki inayotakiwa kuwekewa mipaka

    Sasa ni rasmi kuwa nchi imeendelea na ustawi wa watu umeanza kuonekana. Mwalimu Nyerere na Mzee wetu Karume wanaweza kuwa wanafuraha huko walipo miaka 61 ya Muungano Serikali zote zimejitahidi kuleta maendeleo. Ikumbukwe kuwa wapo maadui watatu waliowahi kutangazwa miaka hiyo yaani ujinga...
  18. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Ni ipi hatma ya ongezeko kuu la vijana wadhaifu amid kuporomoka kwa kasi soko la ajira na kupungua kwa rasilimali?

    UZAMIAJI UTAPELI UKAHABA USHOGA UHARIFU URAIBU Kuanzia 2010 hadi 2020, idadi ya vijana iliongezeka kwa karibu 40%, kutoka takriban milioni 10.2 hadi zaidi ya milioni 14. Sasa by 2025 labda imeongezeka tena by 25%. Na katika ongezeko hili la vijana hawa utapata mixer mbali mbali za tabia na...
  19. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mbunge Masache Aomba Ongezeko la Bajeti ya Barabara

    MBUNGE MASACHE AOMBA ONGEZEKO LA BAJETI YA BARABARA Aprili 16, 2025 Mbunge wa jimbo la lupa Mhe. Masache Kasaka ameomba serikali kuongeza bajeti ili kufanya ukarabati wa barabara za kuingia katika vitongoji. Sambamba na hilo Mhe. Masache Kasaka amempongeza Mhe Rais Dkt Samia Suluhu Hassan...
  20. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Mafanikio usafirishaji umeme; Ongezeko la urefu wa njia kuu za kusafirisha umeme

    Mafanikio usafirishaji umeme; Ongezeko la urefu wa njia kuu za kusafirisha umeme Mwaka 2021 (Machi) Kilomita 6423.53 Mwaka 2025 (Februari) Kilomita 8141.38 Ongezeko la Kilomita 1717.85. Sawa na ongezeko la asilimia 27
Back
Top Bottom