ombi

Kom Ombo (Arabic: كوم أمبو‎, Coptic: Ⲉⲙⲃⲱ Embo, Ancient Greek: Ὄμβοι Omboi, Ptol. iv. 5. § 73; Steph. B. s. v.; It. Anton. p. 165) or Ombos (Juv. xv. 35) or Latin: Ambo (Not. Imp. sect. 20) and Ombi – is an agricultural town in Egypt famous for the Temple of Kom Ombo. It was originally an Egyptian city called Nubt, meaning City of Gold (not to be confused with the city north of Naqada that was also called Nubt/Ombos). Nubt is also known as Nubet or Nubyt (Nbyt). It became a Greek settlement during the Greco-Roman Period. The town's location on the Nile, 50 kilometres (31 mi) north of Aswan (Syene), gave it some control over trade routes from Nubia to the Nile Valley, but its main rise to prominence came with the erection of the Temple of Kom Ombo in the 2nd century BC.

View More On Wikipedia.org
  1. Ombi la wachimbaji wadogo kiomoni kwa mheshimiwa raisi wa jamhuri ya muungano wa tanzania, dr. Samia.

    Sisi wachimbaji wadogo kutokea mkoani Tanga wilaya ya Tanga kata ya Kiomoni mtaa wa Kiomoni, tunamuomba mheshimiwa raisi awaamrishe makamishna wa mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro waweze kutulipa fidia zetu, tumekua tukidai fidia zetu miaka na miaka kutokea mwaka 2021, tunasomesha watoto katika...
  2. Kwako Steve Nyerere: Ombi la kuwasiliana na Viongozi wa Serikali kuhusu msamaha kwa Niffer na Diva

    Mpendwa Steve Nyerere, Kwa heshima kubwa, napenda kukushukuru kwa kazi zako nzuri na mchango wako wa kipekee katika kuleta maelewano ndani ya jamii yetu. Kama mmoja wa viongozi wenye ushawishi mkubwa, nina imani kuwa unaweza kuwa kiungo muhimu katika kutatua suala la Niffer na Diva kwa njia ya...
  3. Ombi rasmi la kukaribishwa JF

    Naomba nijikite moja kwa moja kwenye swala langu, ndugu wana jamvi naombeni mnikaribishe jamvini, nimekua mfatiliaji mkubwa sana wa JF. ila leo ndo imekua siku yangu ya kwanza kupost, Mungu awape nguvu ya kunikaribisha.
  4. N

    Usaidizi unahitajika katika ombi la pasipoti

    Habari, Ninahitaji vidokezo kwa ombi langu la pasipoti Hali: Mimi ni mwanafunzi kwa sasa Ninahisi kusafiri masomo yangu baada ya kumaliza shule yangu, sio sasa hivi Swali, katika maombi wanauliza "uthibitisho wa kusafiri" Niandike nini kwa sehemu hiyo? Sina mipango yoyote ya usafiri wa...
  5. Ombi langu Muhimu kwa Waandaji wa Siku ya Mwalimu Nyerere kwa kuanzia mwakani 2025

    Nashauri au Naomba Wananchi (hasa Sisi wenye Akili Kubwa) humu Mitandaoni na katika Jamii zetu tuwe tunashirikishwa katika ama Kubuni au Kuratibu namna nzuri ya Kumuenzi Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere kwani naona kwa yanayofanyika sasa siyo Kumuenzi bali ni Kumsanifu...
  6. Ombi la kupata Mixer na kipaza Sauti kwa ajili ya Injili

    Bwana YESU asifiwe wote humu' Nina ombi kama utaguswa kunisapot MUNGU na akukumbuke. Nina uhitaji wa powered mixer ya njia 6 tu na mic kwa ajili ya kuhubiria injili na kufanyia ibada kanisani. Nimeshapata Spika moja ila bado ivo apo kwa kuanzia. Nipo Dodoma, kwa hiyo kama utaguswa kunisapoti...
  7. Ombi la kurejeshwa kwa mada maalum ya waliotekwa ama waliopotea

    Will due respect Naomba uongozi wa JF utafakari tena uamuzi wa kuifuta mada husika niliyoiweka hivi karibuni Ni mada inayohusika na uhai wa watu .. Kwenye dunia hii hakuna kitu cha thamani kama uhai kwakuwa hakuna vipuri vya uhai Naomba with all due respect mada husika iweze kurudishwa ili JF...
  8. Watoa likes wawe wanapewa likes nyingi

    Watoa likes wawe wanapewa likes nyingi.Siyo mtoa likes unakuta comment yake iko na like moja😳🙄....Jitahidini members...kuoneshana upendo siyo gharama. Nimewasemea eti!?🥴
  9. Ombi langu nifundishe kuomba

    Mmmh, Haleluya Huwaapia moyo Nitakulinda Maana najua kwamba kuna chemichemi Nitakujengea boma uwe salama Adui akija asikuweze Usiruhusu maneno yakuvuruge Usiruhusu hasira ikae kwako Namuweka mlinzi awe ngome yako Akupiganie ubaki salama Bwana naomba utete nao wale Wanaoteta nami Naomba upigane...
  10. M

    Ombi la wazi kwa Rais samia kuhusu ujenzi wa uwanja wa ndege katika manispaa ya kahama mkoani Shinyanga

    Mhe. Rais, Dkt. Samia Suluhu Hassan Kupitia kwa Mhe. Waziri wa Uchukuzi Kwa heshima na taadhima, napenda kuchukua nafasi hii kukupongeza Mhe. Rais kwa kazi kubwa na nzuri inayoendelea kufanyika chini ya uongozi wako thabiti. Nikiwa mwananchi na mdau wa maendeleo katika Manispaa ya Kahama...
  11. Iran yakubali ombi la US na Egypt kutoishambulia Israel ili vita visimamishwe

    Nchi kadhaa zimekuwa na hofu kubwa ya mashambulizi makali ya Iran dhidi ya Israel na kupanuka kwa vita katika eneo la mashariki ya kati.Hofu hiyo ni kutokana na kiapo cha Iran kulipiza kisasi kutokana na kuuliwa kwa Ismail Haniye. Miongoni mwa nchi zenye hofu zaidi ya vita hivyo na kwa maslahi...
  12. Shemeji tumesikia ombi lako kwa sasa tuvumilie kidogo baki hukohuko....

    KIBOKO YA WACHAWI KUNA UJUMBE WAKO KUTOKA KWA MASHEMEJI ZAKO. Anaandika Samwel Lwiza "Shemeji Tumelisikia ombi lako lakini kwa sasa tunaomba utuvumilie kwasababu sisi kama mashemeji zako tumechukia kuzuiliwa kuvimba nyumbani kwetu katika nchi yetu( ukweni kwako) ... Pamoja na hayo huku kwetu...
  13. Ombi la ushauri kuhusu fani na chuo kinachofaa

    Salam WanaJF! Kama kichwa cha Habari hapo juu. Nimehitimu First Degree ya ICT miaka michache ilopita. Tayari nilifanikiwa kuajiriwa. Sasa nimeamua kwenda kuongeza kitabu kwa ngazi ya Masters Degree. Hata hivyo nina Interest na fani mbili;- 1.Masters of Science in Project Planning and...
  14. 4

    Kwako Ndugu Rais , ombi ,DC wa kimataifa awe kwenye baraza la Mawaziri

    Hili ni andiko fupi kwa Ndugu Rais , ila ukuu wenu kama member wa jf umezingatiwa . Ndugu Rais yupo mkuu wa wilaya mmoja hapa tz , ( mkuu wa wilaya wa Kimataifa ) binafsi siko ndani ya Wilaya yake, na hatujuani , ila nalazimika kukuomba katika mikeka yako awepo katika baraza la mawaziri ...
  15. Ombi Kwa Bwana Afya mkoa wa Dar Es Salaam

    Husika na kichwa tajwa hapo juu. Nina ombi au ushauri wa kuongeza msisitizo Kwa watoa huduma (wauza juisi) za miwa watumie nailon maalumu (zinazovaliwa mikononi) ili kuepusha magonjwa yoyote yanayoweza kuambukizwa kupitia mikono isiyo salama. Asante .
  16. Tunaomba kiundwe chombo cha kusikiliza madai na madeni ya wazabuni wote wanaoidai serikali nchi nzima

    Hili naamini liko ndani ya uwezo na maamuzi yenu. Kwa ridhaa yenu tunaomba kiundwe chombo cha kusikiliza madai na madeni ya wazabuni wote wanaoidai serikali nchi nzima , madeni yanayo anzia miezi 3 na kuendelea kulingana na sheria ya manunuzi ya nchi yetu. Kisha Taasisi inayosumbua wazabuni au...
  17. Tetesi: Simba yamtaka Fei Toto. wamepeleka ombi la mazungumzo Azam FC

    Habari nilizopata hivi punde. Klabu ya Simba imeanzisha mazungumzo rasmi na Azam FC ili kuinasa saini ya kiungo mshambuliaji Feisal Salum Fei Toto. Japo kuvunja mkataba wa Fei pale Azam kuna vipengele vigumu lakini hakuna linaloshindikana. Na deal ikikamilika Fei atakuwa ndio mchezaji anaelipwa...
  18. Ombi kwa Rais Samia: Sheria Mpya ya Uchaguzi Bado ina Ubatili. Haki ya Kuchagua na Kuchaguliwa imeporwa! Irejeshwe kwa Mujibu wa Katiba!

    Wanabodi, Hii ni makala yangu, Gazeti la Nipashe ya Leo. Makala ya leo ni kutoa shukrani na Asante kwa Rais Samia kwa Sheria Mpya ya Uchaguzi, ila Haki ya Watanzania Kuchagua, na Kuchaguliwa, Bado Imeporwa kwa kukasimiwa kwa Vyama vya Siasa. Hili ni ombi, haki hiyo Irejeshwe kwa Wananchi...
  19. A

    Ombi langu kwa TCRA

    Kama kichwa cha habari kinavyojieleza Hili ni ombi langu kwa mamlaka ya mawasiliano Tanzania(TCRA) Pia nimeona vyema kuleta hapa JF ili kupata maoni na ushauri kutoka kwa wadau mbalimbali Katika matumizi ya simu inaweza ikatokea mmiliki wa simu akaipoteza simu yake bahati mbaya au simu hiyo...
  20. Kuomba hela ni aibu, kuomba hela usipewe hiyo ni aibu ya pili na kukumbushia ombi la kuomba hela hiyo ni aibu ya tatu.

    Hii ni kwa wapiga vibomu wenzangu wote nawakumbusha hizi aibu tunazokutana nazo katika haraka zetu za kupiga watu wetu vibomu. Ongeza aibu nyingine kwenye harakati.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…