Ombi la kazi halali inayohitaji usaidizi

Ombi la kazi halali inayohitaji usaidizi

kevoo20

New Member
Joined
Oct 22, 2024
Posts
1
Reaction score
0
Habari wana JamiiForums, jina langu ni Kelvin Mwakyoma nina umri wa miaka 23 mkazi wa Kimara jijini Dar es Salaam ni muhitimu wa chuo cha Usimamizi wa Fedha katika stashahada ya uhasibu mwaka 2025

Mwenye kazi yoyote halali inayohitaji usaidizi naomba huwa sichagui kazi kwani najiamini katika bidiii , uhaminifu na kujifunza zaidi

Kwa mawasiliano napatikana kupitia,
Whatsapp 0672696226
Kawaida 0713408152
email: mwakyomakelvin5@gmail.com
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom