omba

Paul Omba-Biongolo (born 28 December 1995) is a French heavyweight boxer. He competed at the 2016 Olympics, but was eliminated in his first bout by Abdulkadir Abdullayev of Azerbaijan.

View More On Wikipedia.org
  1. X_INTELLIGENCE

    JamiiForums Tanzania Tusipo badili aina ya uongozi Tanzania inaenda kufilisika na kuwa ombaomba {fallen empires}

    Ndugu zangu Huwa nakaa nakuwaza hivi kweli hii nchi sisi Watanzania ni yetu kweli au Kuna kitu kimejificha nyuma ya pazia, kwani Kwa yanayoendelea ni kama vile nchi yetu inaongozwa na watu wasiokuwa na huruma hata kidogo. Kiongozi atakacho kiamua yeye hata kama akina baraka za Wananchi...
  2. Shondo

    JamiiForums Tanzania Madeni yasikufanye ujiue au kujivua utu, vumilia yatapita tu

    Nawasalimu sana ndg zangu, ningependa kushea nanyi mawili matatu yanayohusiana na maisha na kwanini hupaswi kuukatisha uhai wako kisa madeni, 1. Mimi ni mwajiriwa niliyekata tamaa na maisha kutokana na changamoto za maisha nazopitia kwani hata kula yangu shida na kuvaa ndio usiseme, nina...
  3. Chizi Maarifa

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Baada ya hapa wataanza omba wapewe na shanga zao.

    Unakuta kabisa mtoto wa kiume anasema apewe maua yake.. unashangaa.... Unaaangalia unasema hiiiiiiii.... Mtoto wa kiume anaomba apewe maua? Siku zijazo si atasema apewe na shanga kabisa? Sisi wakati tunakua ndo tulikuwa wanawake tunawapa maua. Siku hizi mtoto wa jinsia me anataka apewe maua...
  4. Boss la DP World

    JamiiForums Tanzania Ndugu Nape, kwenye hili pia Mungu ameamua ugomvi?

    Mbunge wa jimbo la mtama ndugu Nape Nnauye aliwahi kusema kuwa kifo cha rais Magufuli ni Mungu ndiye aliye amua ugomvi, swali langu kwake je, kifo cha Membe ni Mungu pia ameamua ugomvi dhidi ya ndugu Cyprian? Fundisho: Tuchunge midomo yetu, tusiendeshwe na hisia zetu, tutumie akilizetu vyema ku...
  5. MK254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Almajiris: Mamilioni ya watoto wa kiislamu ambao maisha yao ni omba omba na kufundishwa kurani

    Wazazi maskini kule Nigeria kazi yao ni kuzaa na kupokeza watoto kwa huu mfumo wa almajiri ambapo mtoto siku nzima anafundishwa kurani na mambo ya kiislamu kisha mchana anaachiwa aende akazurure kuomba omba chakula au chochote, wengine wanakula majalalani. =========================...
  6. Mcqueenen

    JamiiForums Tanzania Tukubaliane: Wanaohubiri kwenye mabasi, masokoni na njiani ni Omba omba kama ombaomba wengine

    Bila kupepesa macho au kumung’unya mung’unya maneno lets keep it one thousand. Hawa watu wanaohubiri kwa maspika, kwa makelele iwe masokoni,njiani au kwenye mabasi au wale wanaoimba gospel barabarani kisha kuweka bakuli au kuomba sadaka ni omba omba tu kama omba omba wengine. Na Wala hawapo...
  7. kavulata

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ally Kamwe, waliocheza na TP Mazembe sio wachezaji wa akiba, omba radhi

    Jamani msemaji wa timu sio MC kuwa unaweza kusema chochote. Ally Kamwe alisikika akisema wachezaji wa akiba wa timu ya Yanga ndio waliocheza na kupata ushindi dhidi ya TP Mazembe kule DR Congo baada ya kukosekana Aziz, Morrison, Diara, Aucho na DJuma kwenye kikosi. Ni kweli waliocheza ni...
  8. Prakatatumba abaabaabaa

    JamiiForums Tanzania Mpwayungu village omba msamaha kwa walimu, yatakukuta mazito

    Nimekaa nimewaza sana sipati majibu iweje Mwanaume kamili anawaza kua upande wa pili?..Nina marafiki wa kike kama watatu kwa nyakati tofauti nilisikia wakisema wanatamani wangezaliwa wa kiume, maana mambo yanayowakuta ni mazito. Imagine bwana mpwayungu sasahivi na hii mvua ungekua umechora saba...
  9. Chikenpox

    JamiiForums Tanzania Omba msimpate rais ambaye anafikiria 'interest' na maslahi yake tu!

    Baada ya kutafakari sana nimemuona Samia katika sura hii: Kwanza ni mtu anayependa afulfil maslahi yake tu hata nyie mkifa shauri yenu. Ni mtu anayependa mass appreciation bila hata kujali maslahi kwa watu wengine. Ni mtu anayependa kusifiwa sana hata kama anajua watu wanakufa kwa njaa au...
  10. Bushmamy

    JamiiForums Tanzania Arusha: Ongezeko kubwa la omba omba mjini, je ni mradi wa watu?

    Siku za hivi karibuni kumekuwa na Ongezeko kubwa la omba omba katikati ya jiji la Arusha, kulinganisha na miaka miwili iliyopita. Miongoni mwa omba omba hao ni wazee, vipofu, viziwi walemvu wa miguu na mikono Watoto, na baadhi yao wanaojifanyisha ni walemavu. Hali hiyo imekuwa kero sehemu...
  11. mtetezi wa MAGU

    JamiiForums Tanzania Tumuombe radhi ambao aliposema tumuombee, hatukujua anamaanisha nini

    Sasa naelewa kwanini alisema tumuombee, alijua Maadui zake na mbinu zao, yeye akajikabidhi kutetea wasio na nguvu. APUMZIKE KWA AMANI!
  12. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Je, ni kweli Bongo maisha yamekuwa magumu kwa sasa? Nimepigwa mzinga na wahitimu watatu ndani ya siku moja. Kiwango wanachoomba ndiyo kimenishangaza!

    Toka Mwezi wa tisa nimekuwa nikipigwa mara KWA mara simu na watu ninao wafahamu wakiomba kukopeshwa hela. Wanasema maisha yamekuwa magumu sana hela hawaioni. Leo nimepigwa simu na watu watatu graduates ambao ninafahamiana nao. KILA mmoja kanipigia KWA wakati wake. HAWA ni graduate ambao...
  13. luangalila

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Yanga wakitaka wawanyamazishe mashabiki wa Simba S.C basi wakashinde Sudan hata goli 2 kwa 0 tu

    Nafikiri wakifanikiwa hapo basi watakuwa wamelamba dume na watatamba nchi nzima mpaka kule kwa General. Muhonzi sijui Muhumzi. Halafu watakuwa pia wamemnyamazisha hata na Jemedari.
  14. BARD AI

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania India: Aliyeshinda Tsh. Bilioni 7.1 za Jackpot alalamika kuzidiwa na "Omba omba"

    Mshindi wa bahati nasibu ya India amesema anaelemewa sana na maombi ya misaada ya kifedha kiasi kwamba anajuta kushinda Bahati Nasibu hiyo. Anoop, dereva wa magari kutoka jimbo la kusini la Kerala, alishinda rupia 250m ($3.06m, £2.9m) katika bahati nasibu ya serikali mapema mwezi Septemba...
  15. D

    JamiiForums Tanzania Nunua mihogo yao lakini kuweni makini sana wanapoomba muwatwishe mabeseni yao kichwani

    Msiseme dmkali kasema! Biashara ya wauza mihogo na vifurushi inasaidia sana! Lakini namna ya uuzaji hiyo mihogo ndiyo inaleta maswali! Muuzaji anaweza toka na beseni lake kutoka huko aliko toka lakini akiona wanaume kikundi anakuja kulibwaga beseni pwaah! Halafu anaanza kuwaangalia usoni...
  16. Josey j

    JamiiForums Tanzania Tahadhari: Kuwa makini na mtu anayeomba simu yako atumie

    Habari ndgu wana jamii forums, Niende moja kwa moja kwenye mada kama nlivyoanza kutoa tahadhari Kwa ufupi ni hivi, usimpe simu janja yako mtu usiemfaham aitumie kwa namna yoyote ile la sivyo ikitokea unataka kumpa basi hakikisha unakua makini kwa kile afanyacho, Je, unajua mtu anaweza kubeba...
  17. Q

    JamiiForums Tanzania Halima usishupaze shingo omba radhi urudi kundini, jifunze kwa Sofia Simba na Membe

    Mifano iko mingi, najua Chadema unaipenda na Chadema inakupenda pia tatizo ni wewe kujiona unauwezo kukizidi chama, viongozi wako unawaita wahuni? Jishushe, bado naiona future yako ndani ya Chadema na si kwingineko. Membe, Lowassa, Kinana, Makamba sr, Nyalandu, Sumaye walijaribu kutofautiana na...
  18. Mkaruka

    JamiiForums Tanzania Tabia ya vijana wa Arusha kugeuka Omba Omba na kujiuza kwa Watalii inadhalilisha sana!!!

    Hili suala sijui litakuja kuisha lini, maana noana linaongezeka kila siku.
  19. DR HAYA LAND

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanamke ukimtongoza anajiona tayari hiyo ni ajira, kutwa kuombaomba hadi kiberiti

    Why women fail to fight until they get Life and end up giving up naked to live with every Man who seduces them turns him into a source of money But we galla Love for them most of women are shit
  20. royal tourtz

    JamiiForums Tanzania Rais Samia kuhojiwa sana huko Marekani inashusha hadhi yake kama Rais na hadhi yake kama Taifa

    Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, maana kila ninavyofungua kucheki Royal Tour naona yuko kwenye vyombo vya habari akihojiwa na kujibu Kuna sehemu sioni kama ni heshima sana kwa Rais kuhojiwa kila mara tena nje ya nchi hali ana crew kubwa tu ambayo anaweza kuitumia kufanya yote hayo. Au...
Back
Top Bottom