omba

Paul Omba-Biongolo (born 28 December 1995) is a French heavyweight boxer. He competed at the 2016 Olympics, but was eliminated in his first bout by Abdulkadir Abdullayev of Azerbaijan.

View More On Wikipedia.org
  1. I

    Tibaijuka, umekosa haya? Mahakama ni chombo huru na muhimu, omba kadi ya CHADEMA lakini sio kuhamasisha vurugu

    Katika hali isiyo ya kawaida, Kwa kauli na mienendo yake ya hivi karibuni, Anna Tibaijuka ameonesha wazi kukosa haya kwa kiwango cha kutisha, anafanya mambo ambayo hata mtoto mdogo hawezi kufanya. Ni jambo la kusikitisha na la hatari kuona kiongozi wa umma mstaafu akitoa matamshi yanayochochea...
  2. Kama Mwanaume, omba Mungu sana usijejikuta kwenye Hali kama hii. Ni aibu isiyoelezeka

    Kama mzazi, imagine Binti yako amerudishwa nyumbani kutoka shule kwa Maswala kadhaa mfano kuita mzazi au kurudishwa school fees n.k. Badala ya kufika nyumbani, akaamua kwenda sehemu fulani .. mara Paap, whistleblower na wambea wa mtaa wanatoa Codes, mahali Binti yako ameingia na njemba. Njemba...
  3. Kuna dhambi nyingine ukiingia imekula kwako kuja utoke omba sana , Imagine mtu sehemu ya OUTPUT yeye Anaifanya INPUT🤔

    Kuna dhambi nyingine ukiingia imekula kwako kuja utoke omba sana , Imagine mtu sehemu ya OUTPUT yeye Anaifanya INPUT🤔
  4. Q

    Omba radhi sasa 'Or Never'

    Viongozi wengi wakishastaafu au kukaribia kufa wana tabia ya kuomba radhi kwa matendo waliyofanya wakiwa madarakani, wengine huandika vitabu. Akistaafu hatutaki kusikia kaandika kitabu eti anajutia mauaji aliyofanya na kuwaomba radhi watanzania, afe na dhambi zake akawaombe radhi marehemu...
  5. Balozi Humphrey Polepole alitekwa na kupotezwa. Ajabu, Serikali ya aliyekuwa kamteua iko kimya

    Balozi Humphrey Polepole alitekwa na kupotezwa. Ajabu, serikali ya aliyekuwa kamteua iko kimya! Nini kifanyike ukweli na haki vite vitendeke? Tunangojwa amaduriwe Rais ndipo wahusika wawajibike au kuwajibishwa? Hili swali ni kwa serikali inayotunafiki kwa kujifanya inatujali wakati...
  6. Mjue omba omba Tajiri kuliko wote Duniani

    Ama kweli tembea uone tulia usimuliwe, hii dunia haiishiwi mambo. Kuna msemo waswahili husema kuna watu na viatu sasa leo nataka nikusilumie story ya kiatu kimoja hivi. Katika jiji la Mumbai nchini India kuna jamaa mmoja anaitwa Bharat Jain. Huyu jamaa ni omba omba maarufu jijini na shughuli...
  7. B

    Ukweli mchungu: Wanaume kuna muonekano ukiwa nao, huwezi kuja JF kulalamika kuwa kila mdada unayemtongoza anakuomba omba hela

    Habarini, Tofauti na kichwa cha habari, katika pitapita zangu TikTok nlikutana na account ya jamaa mmoja mtanzania, anajiita Dr Julian sio mwanamziki wala sio muigizaji, hapost maisha expensive, ila aloo hiyo idadi ya wadada wanao-andika thirst comments kwenye picha za huyo mkaka , na...
  8. M

    Omba usikutane na kichapo kutoka kwa migambo, hata wajeda hawaoni ndani

    Wazee kuna hawa watu wanaitwa migambo (kesho la akina). Naomba niulize hivi anayemfundisha mgambo si ni mjeda? Inakuwaje hawa migambo wanakuwa na uwezo wa kutembea kichapo naweza kusema hata kuwazidi wajeda? Mwaka 2023 nilipoenda home kutembea nilikuta kuna changamoto moja ya wizi uliokithiri...
  9. M

    Form 6 leavers mliopata division 2 na 3, mjitahidi kuomba vyuo vingi hasa vya makanisa na private, Vya serikali ni vigumu kuingia.

    Kumbuka Division One ni zaidi ya elfu 60, Division Two karibu elfu 40, na Division Three zipo chache zaidi elfu 10. Hii inaonyesha ushindani mkubwa sana kwenye udahili unaoendelea vyuoni, hasa vile vya serikali (Udsm, Mzumbe, Udom, Must, Dit, Tia, Ifm, Mipango, Mweka, n.k) si kwamba ukiwa na...
  10. Masikini iwe marufuku kuzaa ili tupunguze omba omba na watoto wa mtaani ''Mtaa hauzai''

    Una kuta mtu hana hata nyumba lakini tayari ana watoto zaidi ya watano na kila mtoto ana mama yake. Ukimfuatilia huyo mtu hana kazi, kula yake tu matatni. Ifike mahali serikali iweke zuio kwa hawa watu, tutapunguza idadi ya watoto wa mtaani ''Mtaa hauzaii''
  11. PAST TONY HATA SHETANI HAKUPENDA VYA BURE USIPENDE GESI ZA BURE DHAMBI...ACHA KUPANIC OMBA HEKIMA NA TOBA MUNGU AKUSAMEHEE

    NILIONA YANAYOENDELEA MTANDAON MPAKA LEO HII KUHUSU KAKAYANGU TONY KAKA YANGU BAIBO INASEMA DONT TOUCH MAI ANNOINTING SITAKULAUMU UKIYOONGEA KAMA N KWELI UWONGO TUMEAMBIWA TUKUMUACHIE MUNGU NDUGU YANGU KAKA PT BAADA YA YALE MANENO YA GESI GAFLA YAKAJA YA SHEMEJI ANA MAGARI MENGI NK NDIO MAANA...
  12. TAKUKURU Tabora: Tunafuatilia tuhuma za Askari wa Kigwa na Mwalimu kuomba rushwa kwa Mwananchi wa Kijiji cha Izumba

    Baada ya malalamiko yaliyoibuliwa na Mwananchi kupitia JamiiForums.com kuhusu Mwanamke Mkazi wa Kijiji cha Izumba Mkoani Tabora, kudai kuombwa fedha na Askari wa Kituo cha Polisi Kigwa kwa kushirikiana na Mwalimu wa Shule ya Sekondari Kigwa ili mume wake aachiwe huru baada ya kushikiliwa kwa...
  13. U

    Balozi Polepole umeheshimu dira ya taifa ukaahirisha mkutano ila umekosa kuheshimu Ijumaa siku ya Ibada kwa Waislamu? Ungechagua siku nyingine

    Omba radhi Kiongozi kwani umekosea ulipaswa kuheshimu siku ya leo ya Ibada kwa Waislamu na ungelifanya press yako siku nyingine Umuhimu wa siku ya leo ni mkubwa sana kuliko dira ya aifa. "Bora ya siku uliyochomozewa na jua ni siku ya Ijumaa, ndani yake ameumbwa Adamu-Amani imshukie-na...
  14. Kwanini Watanzania na Tanzania ni masikini pamoja na rasilimali (resources) tulizonazo?

    KWA NINI WATANZANIA WENGI NI MASKINI? Sijawahi kumwona Mtanzania kwa wakati wowote ule ameondokana na umaskini, umaskini ambao sasa ni mkubwa mno na unakaribia kutudidimiza. Binafsi nauchukulia umaskini kama kukosekana kwa mahitaji ya lazima ya kila siku kwa mwanadamu: malazi mazuri, chakula...
  15. ML. MJEMA omba Mungu dhidi ya Familia Yako na uzao wako Mungu Ameshuka amesema ujiuzulu

    Omba Toba Sali Omba toba mkono wako wa kiume ulitumika kumtia mkeo mimba zote Omba msamaha kwa Ajili yake Tafadhali Bado unapendwa tuliza akili hacha siqeaa baba hata ulisema unitafte unitese haitosaidia fanya nilivyosema
  16. Omba yasikukute eh!!!

    Mlipa kifurushi umemlia buyu jmn nakimeisha naona leo nakula jeuri yangu haki ya kweli jeuri kwishaaa
  17. Nilichoomba ndio kilichotokea, Simba anachukua KOMBE

    Mimi sio mchambuzi mzuri wa soka ila nachojua au kuamini ni ngumu sana kumfunga simba nyumbani na ukiangalia takwimu ni kama haiwezekani hata ndroo pia ngumu kwa timu ngeni. Kwa msingi huo nilikua naombea kama Simba itafungwa leo basi zisizidi zaidi ya goli 2 sbb simba inauwezo mkubwa wa...
  18. Ukiacha omba omba waliozoeleka ni omba omba gani unaowajua na wanaoongezeka kwa kasi?

    Mwenyezumungu hawezi kumpa kila mja na pia kuna binaadamu wenye uhitaji maalum. Kutokana na hilo ndio maana kuna omba omba katika jamii zetu na kwingineko duniani. Ukiacha hawa omba omba niliowaongelea hapo juu, ni omba omba gani wengine ambao wanashamiri kwa kasi sana!? Ambao mkipeana namba ya...
  19. Lissu omba msamaha yaishe!

    1. Kuwa mstaarabu, usishupaze shingo, kiri uliteleza, omba msamaha yesheee. Angalau upate wabunge wawili upewe na ruzuku. Upunguze njaa maana hizi kelele sijui reforms ni njaa tu. 2. Wananchi wamegoma kuibiwa kupitia tonetone, wamechagua maendeleo ya kweli
  20. G

    Nina omba Msaada nina laki tisa nifanye Biashara gani? Mimi sio mwenyeji wa Tanga ila ningependa kufanya Biashara katika mkoa wa Tanga. Nipeni maoni

    Nina mtaji wa laki tisa nipo Tanga naomba mnisaidie Msaada wa mawazo nini nifanye ili kujipatia kipato na kukuza mtaji wangu.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…