Mwandishi wa habari za uchunguzi wa Nigeria anayeishi Accra nchini Ghana, David Hundeyin amekanusha madai kuwa amelipwa na Serikali ili kufanya uchunguzi wa habari za vurugu za Oktoba 29, 2025.
Hundeyin ameyasema hayo Juni 3, 2026 baada ya kuwasilisha Makala yake yenye kichwa cha habari...
Anadai sababu kubwa ya yeye kurudi CHADEMA ni kwa sababu mauaji yalifanyika tar 29 mwezi wa kumi mwaka 2025.
Je, kama CCM ingempitisha kuwa mgombea wao wa ubunge na kisha akawa mbunge angejiuzulu au angekataa kuapishwa kuwa Mbunge?
Wajinga ndio...
Huenda kada ya walimu ni kada yenye laana, masikini na isiyo jielewa, hii ndio kada pekee inayo tumiwa na CCM kuwekwa madarakani, Oktoba 29 wao pia walichangia kwa asilimia kubwa sana, vipande vya laki na 40,140000 walivyo pewa wakaona ndio posho ya maana, sasa hivi wanalia mtaani wamegomewa...
Jkt ina inakwenda kuzalisha MaGen Z ambao watakuwa wanajua kutumia silaha za kivita.
Hoja kuwa kuwapeleka Gen Z JKT ni suluhu ya madiliko ili maandamano ya kutaka CCM ambayo wananchi wanasema imejaa ufisadi na nepotism sio siluhu.
Gen Z ni kizazi cha watoto jasiri ambao wakichoka wamechoka...
Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Balozi , Dkt. Asha-Rose Migiro @officialasharosemigiro anaeleza kuwa matukio ya vurugu za uchaguzi wa Oktoba 2025, yalikishangaza pia Chama hicho kwani haikuwahi tokea
Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Balozi Dkt. Asha-Rose Migiro, akifanya mahojiano na Salim Kikeke, Crown Media
Asha-Rose Migiro: "...kuhusu vyombo vya ulinzi na usalama. Ndugu Kikeke, unafahamu kwamba katika nchi yoyote na Tanzania haina tofauti, vyombo vya ulinzi na usalama...
28 May 2026
CCM YACHUKIZWA NA UTEKAJI, YAUMIZWA NA YALIYOTOKEA OKTOBA 29, BALOZI DKT ROSE MIGIRO ATETA NA KIKEKE
https://m.youtube.com/watch?v=rqTKkT6dv7o
Baada ya kukaa kimya toka 2017 kuhusu utekaji, mauaji, kesi feki hadi Mei 2026 kufuatia muswaada wa vikwazo uliopendekezwa huko Marekani...
Rais Samia Suluhu Hassan anasisitiza umuhimu wa vyombo vya ulinzi na usalama kutochukulia amani ya nchi kama mazoea. Anabainisha kuwa majaribu yaliyopita yametoa mafunzo, na hivyo hakuna taarifa yoyote ya kiashiria cha hatari inayopaswa kudharauliwa, bali inatakiwa kufanyiwa kazi kwa haraka...
Katika mahojiano ya hivi karibuni na M&S Podcast, Mahita amesema kuwa mamlaka za kiserikali zilionesha hekima na ustahimilivu mkubwa kwa kukataa kuingizwa katika mtego wa mapambano ya ghasia, jambo ambalo lililinda na kuhifadhi utulivu wa kitaifa.
Kwa kuonya dhidi ya hatari ya kuiga mapinduzi...
Ila kama kawaida, Ma CCM hayana akili, Yana viburi
Yanangoja tu ICC na Vikwazo .
Bado RAIA titaandamana kama kawaida
Mkiua tena ni Moto, msipoua , tunaingia Ikulu !!!
Mtachagua wenyewe aaaahhh!!.
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Mahmoud Thabit Kombo amesema kuwa baada ya uchaguzi kuisha na Serikali ilichelewa kutoa taarifa ya matukio ya wakati na baada ya uchaguzi, na hata baada ya Serikali kuundwa na Rais kumtuma kwenda kutuliza mambo, kila nchi...
Kaimu Katibu Mkuu wa CHADEMA Kanda ya Kaskazini, Yohane Kaunya aliyekuwa anakabiliwa na kesi huko Bunda na kushinda kesi hizo baada ya kukaa gerezani kwa zaidi ya miezi sita leo Mei 24, 2026 amefunguka kwenye mkutano wa hadhara wa CHADEMA Jijini Dodoma
"Mimi ni mhanga wa tukio la tarehe 29...
Inasemekana zaidi ya makada mia mbili na ushee watahamia Chadema.
Wamevutiwa na msimamo imara na madhubuti wa Heche na Lissu.
CCM chini ya rais Samia inaendeshwa kwa undugunization na
imekumbatia wapigaji.
Wengi wa makada hawa walikuwa wanamsumbua Heche wakidhania Chadema ingeshiriki...
Ni wazi kabiaa kuwa uhalifu ulifanyika ile Oktoba 29.
Vijana waliiba na kuvunja maduka. Huu uhalifu upo wazi kabisa.
Kama ilivyokawaida maandamano yoyote makubwa huandamana na ghasia na uporaji. Maana yanakuwa na watu mchanganyiko...
Lakini uhalifu mkubwa kuliko huo uporaji mali na uharibifu...
Ndugu zangu Watanzania, kama kuna jambo la kumshukuru Mungu kuhusu matukio ya Oktoba 29, basi ni hili: taifa letu lilitikisika—lakini halikuanguka.
Na ndani ya mtikisiko huo, tuliona kitu cha kutisha sana.
Tuliona nyufa zilizokuwa zimejificha ndani ya taifa letu.
Tuliona hasira zilizokuwa...
Wakuu,
Nimekutana na hii sauti Mtandaoni inayoumiza sana namna huyu mama anauchungu moyoni mwake,
Iko hivi, tukisema turidhiane na kulipa fidia huu siyo uponyaji kwa Taifa na wakati wote hata kabla ya ripoti ya chande tayari seriakli inafahamu nini wananchi wanakitaka
Wananchi wanataka...
Mzee Joseph Warioba,Waziri Mkuu Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ananikumbusha "story" ya Waziri Mkuu wa zamani wa Nchi ya Burundi,Mh. Generali Alain Bunyoni ambaye alishiriki kuunda na kutekeleza njama za kutaka kumpindua Rais wa sasa wa Nchi ya Burundi,Mh Evarist Ndayshimiye.
Haya...
Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), Wakili Boniface Mwabukusi, amesema hayo Mei 11, 2026, wakati akiwasilisha uchambuzi wa chama hicho kufuatia ripoti ya Tume ya Uchunguzi ya Matukio ya wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu 2025.
"Vilevile swala la ukiukwaji wa haki za binadamu, Tume...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.