oktoba 29

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. W

    JamiiForums Tanzania GE2025 Darugar: Ni kosa kubwa sana mtu kuacha shughuli zake au afunge duka kwa hofu ya mtafaruku Oktoba 29, Tupo vizuri kiusalama

    Mwenyekiti wa Serikali za mitaa Mtendeni, Kata ya Kisutu Mustaquim Darugar amewaomba Watanzania wasiwe na hofu ifikapo Siku ya Uchaguzi Mkuu Oktoba 29 ambao ni wakati sahihi wa kupiga kura na Wananchi wasiogope badala yake wajitokeze kwa wingi kutekeleza jambo hilo ambalo ni haki yao kikatiba...
  2. W

    JamiiForums Tanzania GE2025 Oktoba 29 tukubaliane tutatoka na hii ngoma?

    "Safusafu wanapita, wamejaa kwenye mitaa na mabango wameshika, wanalilia katiba yao, wanalilia nchi yao, wanalilia tume huru. Na polisi wanajigamba ehee, kuzuia maandamano. X2 watawaua na wenzao, watatuvunja na miguu ndivyo walivyosema. Nchi imetiwa giza, macho yana kiu ya nuru. Kumbe si...
  3. Matovu Godfrey

    JamiiForums Tanzania Hesabu chini - zimebaki siku 10! kufika Oktoba 29

    !!! MIKAKATI YA KUPELEKA NA UTAWALA!!! _______________________ JE, UKO TAYARI Dokezo! Ujumbe kwa nafsi yako ✍🏿 Wapo baadhi ya viongozi mashuhuri kwa mfano wabunge wanaojifanya upinzani ambao wanaweza kutumika kuwanyamazisha wapiga filimbi, au mstari wa mbele wa mapambano. Siku zote...
  4. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania GE2025 Samia: Naomba sana Oktoba 29, asilale mtu, kila aliyeandikishwa aende kupiga kura

    Bi mkubwa amewambia wanaCCM kama wanavyojaza kwenye kampeni basi wakajaze hadi kwenye masanduku ya kura. Ila kuna waTanzania nao watatoka kwaajili ya maandamano ===================== Mgombea urais kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt Samia Suluhu Hassan amesema kama ambavyo wananchi...
  5. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Madereva bodaboda Dar es salaam: Tuko tayari kutiki Oktoba 29 na tutawabeba bure watakaoenda kupiga kura

    Shirikisho la madereva pikipiki wa mkoa wa Dar es salaam(SHIVYAMAPIDA)wakiwa katika mkutano na waandishi wa habari wametambulisha kampeni yao mahsusi kuhamasisha wananchi wa mkoa wa Dar es salaam kujitokeza kwa wingi kumpokea na kumuunga mkono mgombea urais kupitia chama cha mapinduzi(CCM), Dkt...
  6. Matovu Godfrey

    JamiiForums Tanzania GE2025 Hesabu chini - zimebaki siku 11 kufika Oktoba 29

    JE, UKO TAYARI Dokezo! Ujumbe kwa nafsi yako ✍🏿 Jinsi polisi wanavyocheza kadi za vitisho na kuweka woga! _______________________ _______________________ Sote tunajua kuwa polisi wana idadi ndogo sana ikilinganishwa na idadi ya watu nchini Kwa hivyo wanatumia mbinu kuonyesha uwepo na...
  7. Mwanamwana

    JamiiForums Tanzania GE2025 Vijana wazalendo waandaa mbao/mabango kwa ajili ya ujumbe kuelekea Oktoba 29

    This time naona vijana wanajizatiti kuelekea Oktoba 29 ambap maandalizi yanaendelea huku vijana baadhi wakitumia ofisi zao kutengeneza nyenzo zitakazosaidia wakati wa maandamano
  8. Matovu Godfrey

    JamiiForums Tanzania GE2025 Hesabu chini - zimebaki siku 12! kufika Oktoba 29

    JE, UKO TAYARI Dokezo! #OktobaTunatoka bado siku 12 Sababu tunayo na si moja lakini iwe siku ya kwemda kukomboa waliotekwa na kufichwa! Inauma sana kuwa na serikali inayomwaga damu ya wanamchi alafu inaona sifa! Hata tusipofanikiwa kingine zaidi ya kuwakomboa na kukomesha utekaji ni ushindi...
  9. DodomaTZ

    JamiiForums Tanzania GE2025 DC Haniu: Wananchi jitokezeni kupiga kura Oktoba 29, msikubali wasio na nia njema na Nchi

    Mkuu wa Wilaya ya Rungwe, Jaffar Haniu ametoa wito kwa Wakazi wa Halmashauri ya Rungwe na Busekelo kujitokeza kwa wingi kushiriki zoezi la Uchaguzi Mkuu unaotarajia kufanyika siku ya tarehe 29, Oktoba, 2025. Uchaguzi Mkuu utahusisha Wananchi Kumchagua Rais, Wabunge pamoja na Madiwani...
  10. K

    JamiiForums Tanzania GE2025 Huu ndio ukweli mchungu kuhusu OKTOBA 29 , hakutakuwa na maandamano Bali ni Kutiki tu

    Ninasimamia ninachoamini na ninaamini watanzania hawapo tayari kwa maandamano yasiyo na mwisho na Hilo ndilo linafanya maandamano yanayoratibiwa kufanyika OKTOBA 29 kukosa hoja ya ushawishi na utekelezaji na kuyapuuza. Huu ndio ukweli mchungu wa OKTOBA 29 : Kwanza , watu wataamka mapema...
  11. Matovu Godfrey

    JamiiForums Tanzania Hesabu chini - zimebaki siku 14! kufika Oktoba 29

    JE, UKO TAYARI Dokezo! Kwa kawaida, madikteta mara nyingi huathiriwa na kuungwa mkono na viongozi wenzao wabaya kutoka ndani ya eneo hilo, majirani na baadhi ya wageni ambao wanaweza kulazimika kulinda uporaji, maslahi au faida. Hawajali wananchi, watafanya kila aina ya uonevu dhidi ya wazawa...
  12. October 2pm

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Kuna mpango katili wa Makanisa kuyaunga mkono maandamano wiki la mwisho kuelekea tarehe 29

    Mtashindana sana lakini hamtashinda. Taarifa iliyopo ni kuwa juma la mwisho kuelekea tarehe 29 Makanisa yataunga Mkono Maandamano. Mpango huo ukiongozwa na Kanisa kuu, moja la mitume lililoko hapa nchini. Watatumia kutekwa na kuumizwa kwa baadhi , viongozi wa kanisa, na kufungwa kwa baadhi ya...
  13. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania GE2025 Oktoba 29 tujitokeze Kwa Wingi, Maandamano yataongozwa na 'Wazalendo' kwa mujibu wa Gwajima na Tesha , Masaa 24 ya Mwanzo ndio Nuru

    Ole Kwa Wahuni na Watekaji wote , Ombeni hii siku isiwakute Tanzania !!. Mmeteka watu, mmeua watu kwa faida zenu za kisiasa na Kifisadi. Kama mlifikiri Maandamano ni Maneno ya Watanzania ya Mitandaoni ,SAFARI HIII IMEKULA MWENU.!!. Tumeamua kukubali Kufa watu 50-100 , lakini TUNAWAFURUSHA ...
  14. S

    JamiiForums Tanzania POTOSHI TEC kweli imebariki Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29

    Wakuu kuna hizi media nimeona zimeshupaza shingo kudai Baraza la maaskofu katoliki Tanzania katika waraka wao walioutoa Oktoba 14, 2024 wamebariki uchaguzi. Je, ni kweli?
  15. Kizibo

    JamiiForums Tanzania GE2025 Nashauri yafuatayo kuelekea maandamano ya Oktoba 29/2025

    Haina haja ya kusalimia. Inatia hasira sana kuona watanzania hatuna la kufanya juu ya tunayofanyiwa na watawala. Kuelekea maandamano ya tarehe 29/10/2025, nashauri yafuatayo. 1 LENGO / MALENGO YA MAANDAMANO YAWE MAHUSUSI NA YANAYOPIMIKA. (Measurable goal(s) Tunaenda kuandamana ili...
  16. Matovu Godfrey

    JamiiForums Tanzania GE2025 OKTOBA 29 tunatoka

    INUKA TANZANIA! 🇹🇿 AMKA TANZANIA! TANZANIA HURU! SAMIA LAZIMA AENDE! ACHA UTEKAJI MIMI MTANZANIA! POLE POLE BURE! TUNDU LISU BURE! HAKUNA MAREKEBISHO HAKUNA UCHAGUZI! #Oktoba29Tunatoka 📍 Watanzania lazima wainuke na kupigania uhuru wao, dhuluma lazima iishe 💪🏿
  17. tonicimmobility

    JamiiForums Tanzania GE2025 Samia: Kibati kikipasuka, oktoba 29 tuko nao

    Mgombea urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Samia Suluhu Hassan, amewatoa hofu Watanzania kwamba, wasiogope kwenda kupiga kura Oktoba 29, 2025, kwamba yeye ni Amiri Jeshi Mkuu wa nchi na kibati kikipasuka wako nao. Dk. Samia ametoa kauli hiyo leo Oktoba 10, 2025, katika mkutano wa kampeni...
  18. K

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kujitokeza kwa wingi Oktoba 29 kutafanya kazi iwe nyepesi zaidi

    Kazi ya kuondoa uovu nchini mwetu itakuwa nyepesi zaidi, na itamalizika kwa haraka sana na kwa usalama zaidi kwa kila mtu iwapo waTanzania, popote walipo ndani ya nchi hii watajitokeza kukataa uchafuzi uliopangwa kufanyika siku hiyo. Hivi vitisho vingi vinavyo tolewa na hao wanaojiita "Amiri...
  19. C

    JamiiForums Tanzania GE2025 Sioni dalili zozote Oktoba 29 zaidi ya kutiki na kusubiri uapisho

    Huo ndio ukweli usio na chembe ya unafiki na anaye nipinga nipo tayari niweke naye 2m mezani
  20. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Kazi ni rahisi sana Oktoba 29

    Maelekezo Maalum kuhusu tarehe 29 Oktoba. Siku hiyo kazi ni rahisi sana Viongozi wa CCM tunaishi nao mitaani; Nyumba zao zipo mitaani kwetu, mali zao zipo mitaani kwetu. Ofisi za CCM zipo mitaani kwetu. Ofisi za Umma nazo zipo mitaani kwetu VItuo vya kupigia kura vipo mitaani kwetu...
Back
Top Bottom