oktoba 29

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Idugunde

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Vurugu za Oktoba 29 zilifanywa na wanaCCM waliopinga rais Samia kupitishwa na mstaafu Kikwete bila mkutano mkuu, sio CHADEMA

    Ukweli ndio huu CHADEMA haujahusika na vurugu na wala haikushiriki kabisa. Lissu alikuwa jela hiyo Oktoba 29 na Heche alikiwa jela. Hawakuhamasisha mtu. WanaCCM ambao mpaka leo walishachukia mstaafu Kikwete kumpitisha rais Samia bila kufuata utaratibu wao wanaCCM ndio walihamasisha vurugu hiyo...
  2. M

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Human Rights Watch: Raia ambao hawakuwa kwenye maandamano walipigwa Risasi kuanzia Oktoba 29 kufuatia maandamano kwenye Uchaguzi Mkuu

    Human Rights Watch imesema kuwa vikosi vya usalama vya Tanzania vilikandamiza maandamano wakati na baada ya uchaguzi mkuu wenye utata wa mwaka 2025, viliua na kujeruhi watu ambao hawakuwa wakishiriki katika maandamano hayo. Human Rights Watch imethibitisha vifo vya watu 31 ambao hawakushiriki...
  3. McLaren

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Mahakama Kuu yaidhinisha uhalali wa Tume ya Rais ya Kuchunguza Matukio ya Oktoba 29

    Mahakama Kuu Masjala Ndogo Dar es Salaam imeidhinisha uhalali wa Tume ya Rais ya Kuchunguza Matukio ya Uvunjifu wa Amani wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025, baada ya kutupilia mbali shauri lililokuwa likipinga uhalali wake. Uamuzi huo umetolewa leo Ijumaa, Machi 13, 2026 na...
  4. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Aliyechukua kitu kituo cha mafuta cha Panone Arusha Oktoba, 29 arudishe, kuna vijana watano hadi sasa wamefariki kwenye mazingira ya utata

    Kuna mambo yameanza kuleta taharuki! ========= Hali ya wasiwasi imetanda katika baadhi ya maeneo ya wilaya ya Arumeru mkoa Arusha baada ya vifo vya vijana zaidi ya watano kutokea katika mazingira ya utata huku ikidaiwa kuwa mtu mmoja mmiliki wa kituo cha mafuta alitoa siku chache kwa yeyote...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Mwigulu kamuwahi huyu Mgambo, ila angemuacha angesema Kuhusu mauaji ya Oktoba 29

    Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, Machi 9, 2026 alizungumza na Wananchi wa Namanyere, Mkoani Rukwa. ========== Huyu mgambo kuna kitu alitaka kusema Mwigulu akamuwahi kwa kumuuliza kiasi cha pesa anachodai ili kuepusha dhahama, nadhani angemuacha dakika moja tu angesema walitumwa kuua watu...
  6. Nyendo

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Uingereza yataka uchunguzi huru Matukio ya vifo Oktoba 29 nchini Tanzania

    Serikali ya Uingereza imeifikisha Tanzania katika Baraza la Haki za Binadamu la Umoja wa Mataifa (UNHRC), ikitaka kufanyika kwa uchunguzi huru na wa kina kufuatia kile ilichokiita "ukatili wa kushtua" uliotokea baada ya uchaguzi wa Oktoba 2025, ikiwemo tuhuma za mauaji ya kinyume cha sheria na...
  7. Parabolic

    JamiiForums Tanzania Tanzania yajibu Baraza la Haki la Umaja wa Mataifa yalitokea Oktoba 29, 2025. Hatua zilizochukuliwa zililenga kuzuia vurugu, kulinda utulivu

    Ni kweli wamejibu lakini vipiJe, hatua za dola zilikuwa za lazima na zenye uwiano kwa mujibu wa sheria za kimataifa? Lakini pia mjadala huu unaonyesha mvutano ulinzi wa haki za kiraia, huku athari zake zikiweza kugusa diplomasia na taswira ya nchi kimataifa. ============ Geneva- Uswisi...
  8. BIG BROTHER ALEX

    JamiiForums Tanzania Simjui huyu Privaldinho wa Yanga, kaumia shambulio la watoto 60 Iran, kasahau Oktoba 29, watoto wa academy

    Naomba niongee, kistarabu kwa heshima ya mwezi mtukufu wa ramadhani, nimejikuta nikichukia baada ya kupita insta, ninekutana na huyu jamaa ambaye sijui anacheo gani hapo klabuni yanga labda kwa vile sio mfuatiliaji sana wa soka la bongo. Huyu kijana kaonesha kusikitishwa na kile kilichotokea...
  9. W

    JamiiForums Tanzania Watuhumiwa watano Kivule wapatikana na kesi ya uchomaji wa Ofisi za CCM uchaguzi wa Oktoba 29

    Wakili Maduhu William ameeleza kuwa kuna mashauri mawili yanayowahusu watuhumiwa watano, ambapo katika shauri la uchomaji wa ofisi za Chama Cha Mapinduzi (CCM) Kivule, watuhumiwa wamepatikana na kesi ya kujibu. Aidha, katika shauri jingine la wizi kwa kuvunja na kuiba, kesi imeshindwa kuendelea...
  10. Parabolic

    JamiiForums Tanzania Baraza la Haki za Binadamu UN laipongeza Tanzania kuchunguza matukio ya vurugu Oktoba 29

    Kamishina Mkuu wa Baraza la Haki za Binadamu la Umoja wa Mataifa (HRC) Volker Turk ameeleza masikitiko yake kuhusu uvunjifu wa haki za binadamu duniani, huku akipongeza hatua ya Tanzania kuanzisha Tume ya Uchunguzi wa vurugu zilizotokea katika uchaguzi mkuu wa Oktoba 29, 2025. Akitoa mwelekeo...
  11. Parabolic

    JamiiForums Tanzania ACT Wazalendo kuadhimisha siku ya wanawake duniani kwa maombolezo ya Oktoba 29

    Ngome ya wanawake wa Chama cha ACT Wazalendo imetangaza maadhimisho ya Siku ya Wanawake duniani itakayofanyika Machi 8, 2026, kwamba wataiadhimisha kwa kuwakumbuka wananchi waliouawa Oktoba 29, 2025 wakitumia kauli mbiu ya “Machozi ya Mama – Deni la Taifa”. Oktoba 29, 2025 katika baadhi ya...
  12. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania ACT Wazalendo: Machi 8, hatutasherehekea mafanikio ya Mwanamke Duniani, mioyo yetu bado inavuja damu, Oktoba 29 imeacha kovu

    HOTUBA YA KIONGOZI WA WANAWAKE - ACT WAZALENDO KWA WAANDISHI WA HABARI NA TAIFA Kauli Mbiu: Machozi ya Mama – Deni la Taifa UTANGULIZI NA SALAMU YA CHAMA Ndugu Waandishi wa Habari, na Watanzania wenzangu mnaonitazama na kunisikiliza, Nawasalimu kwa salamu ya chama chetu: TAIFA LA WOTE...
  13. tucker carlson

    JamiiForums Tanzania Kwa yaliyofanyika Oktoba 29 ni vyema viongozi wanawake duniani wangejitenga na Samia

    Wakuu, Nimesikia Bi Msumi katengwa na viongozi wenzake huko AU Sasa mi naona hilo suala lingeendelezwa zaidi. Heads of state wote duniani ambao ni wanawake wanatakiwa kumtenga Samia Wanawake ni mama zetu, dada na mashangazi zetu. Hakuna mtu ambaye ana uchungu na maisha ya watu kama mwanamke...
  14. A

    JamiiForums Tanzania KERO Kivuli cha "Oktoba 29" kilivyoziweka siku 100 za Urais wa Samia kwenye mabano

    Zikiwa zimepita siku 100 tangu kuapishwa kwa Rais Samia Suluhu Hassan kuiongoza Tanzania katika muhula wake wa pili, tathmini zimekuwa nyingi na zenye sura tofauti. Wapo wanaotazama kisiasa, wengine kiuchumi, kijamii, kiusalama na hata kidiplomasia. Kila kundi lina taswira yake. Hata hivyo...
  15. Chachu Ombara

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Mzee Wasira: Oktoba 29, 2025 hayakuwa maandamano, bali yalikuwa uhalifu uliopangwa

    Mzee Wasira akihojiwa na Mwananchi amedai kuwa yale matukio yaliyotokea Oktoba 29 huwezi kuyaita maandamano bali uhalifu kwani wananchi waliharibu mali, kuiba pesa kwenye ATM.
  16. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Ngulangwa: Inawezekana CUF kutotambua Uchaguzi wa Oktoba 29 imesababisha Msajili aone Uchaguzi wetu ulikuwa batili

    Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa nchini imetangaza kuwa matokeo ya Uchaguzi wa Viongozi wa Kitaifa wa Chama cha Wananchi (CUF) wa Desemba 2024 ni batili na kuelekeza chama hicho kurudia uchaguzi wa nafasi za juu za uongozi mara moja. Hoja ya awali hii hapa ~ Msajili amtaka Profesa Lipumba na...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Unyama uliofanyika Oktoba 29 2025 ni maradufu ya unyama alioufanya Iddi Amin kwa zaidi ya miaka saba

    Ile Oktoba 29 ilikuwa ni ukatiri dhidi ya binadamu. Ndio maana anajivuna hadharani kuwa watu wa Dar hawataandamana tena.
  18. S

    JamiiForums Tanzania Baada ya mauji ya Oktoba 29, CCM sasa inahitaji maridhiano kuliko hata wapinzani

    Huu ndio ukweli japo hawezi kukiri hadharani. Safari hii wanahitaji maridhiano sio tu na wapinzani, bali wanahitaji maridhiano na umma wa watanzania kupitia wapinzani. Japo wanaendelea kumshikilia Lissu kwa uonevu, bado wanatamani sana kupiga picha na Lissu kuliko mtu mwingine yoyote yule...
  19. Parabolic

    JamiiForums Tanzania Miezi mitatu baada Oktoba 29, waliofiwa bado wasaka wapendwa wao

    Manenos Selanyika alipata mazishi ya mfano tu. Familia yake haikuwahi kuupata mwili wake baada ya machafuko makubwa ya uchaguzi wa Tanzania yaliyotokea miezi mitatu iliyopita. Mwandishi huyo wa habari mwenye umri wa miaka 40 aliuawa kwa kupigwa risasi na vikosi vya usalama tarehe 30 Oktoba...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Yaliyotokea Oktoba 29 hayawezi kusahulika kiurahisi, sawa na kusema tusahau biashara ya utumwa

    Hawa Viongozi wa CCM siyo wa kuwasikiliza wala kuwaamini wote lao ni moja na ndiyo walioiba kura katika uchaguzi wa Oktoba 29 na wakawaua watanganyika ambao hawakuwa na silaha. Hivi unamwambia mtu asahau aliyeuliwa ndugu yake mkashindwa kumpa maiti yake inaingia akilini kweli?Tena waliouliwa na...
Back
Top Bottom