oktoba 29

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    JamiiForums Tanzania Pesa zinazokusanywa ni kwajili ya kuendeleza Dar, Dodoma na Zanzibar ? mikoa mingi imekuwa vyanzo vya mapato bila kupewa umuhimu kwenye maendeleo

    Kuna mikoa huchangia mamia ya mabilioni ya kodi kila mwaka kupitia biashara, kilimo, madini na shughuli nyingine za kiuchumi. Lakini ukifika hata makao makuu na majiji ya mikoa hiyo, maendeleo hayaendani kabisa na mchango wao, Inasikitisha kuona kuwa sehemu kubwa ya mapato hayo yanaelekezwa...
  2. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 CCM yavipongeza vyombo vya ulinzi na usalama kwa kazi nzuri Oktoba 29

    Naona CCM kwa CCM wanajipongeza :) Ila wanachekesha sana! Ila ipo siku yenu tu ============= Leo, Alhamisi tarehe 07.05.2026, Halmashauri Kuu ya CCM ya Taifa (HKT) imefanya kikao chake cha kawaida jijini Dodoma chini ya Mwenyekiti wake, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, ambaye pia ni Rais wa...
  3. Parabolic

    JamiiForums Tanzania Mbunge Ujerumani ahoji bungeni mauaji ya Oktoba 29 Tanzania na kesi ya Lissu

    Mbunge wa Lahn-Dill nchini Ujerumani, Mheshimiwa Johannes Volkmann wa chama cha CDU ameihoji Serikali ya nchi hiyo kwamba, inachukua hatua gani kwa Tanzania kutokana na mauaji ya raia katika uchaguzi wa Oktoba 29, 2025 na kuhusu kesi ya Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, aliyosema inakiuka...
  4. K

    JamiiForums Tanzania Kuna ushahidi wowote unaoonyesha uhusika wa Vyombo vya Usalama katika mauaji ya Oktoba 29??

    Imenibidi niulize tena swali hili, ambalo watu wengi wameamini tu kwa kusikia/kuambiwa kwamba ni "vyombo vya dola" vinahusika na mauaji hayo. Hivi vyombo vinavyojulikana ni polisi, Jeshi, au hata TISS? Kuna ushahidi wowote unaoonyesha uhusika wa polisi au jeshi katika mauaji hayo? Picha zote...
  5. Mafyangula

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Viongozi wa vyama 13 vya upinzani wapinga kuundwa kwa tume kutoka nje ya nchi ya kuchunguza matukio ya Oktoba 29

    Viongozi wa vyama 13 vya upinzani nchini wamesisitiza msimamo wao wa kutokukubaliana na baadhi ya wananchi, wanasiasa, wadau wa masuala ya haki na wanaharakati nchini kutaka iundwe tume huru kutoka nje ya nchi kuchunguza matukio yaliyotokea wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025...
  6. W

    JamiiForums Tanzania Watatu wakamatwa kwa kutusi Tume ya kuchunguza vurugu za Oktoba 29

    Jeshi la Polisi nchini limewakamata watu watatu kwa tuhuma za kutumia vibaya mitandao ya kijamii kwa kusambaza matusi na maudhui ya kudhalilisha, wakiwemo waliolenga wajumbe wa Tume ya Uchunguzi wa matukio ya vurugu za Oktoba 29, 2025 na baada ya uchaguzi. Watuhumiwa hao wamekamatwa katika...
  7. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Mbunge Mgore: Oktoba 29 Wizara ya Mawasiliano na Habari iliweza kusaidia kwa kiasi kikubwa kujua kilichokuwa kinaenda kufanyika katika nchi yetu

    Mbunge wa Musoma Mjini (CCM), Mgore Miraji wakati akichangia hotuba ya Wizara ya Mawasiliano ameitaka wizara kusimama kidete katika kukabilina na wizi wa mitandaoni. Oktoba 29 Wizara ya Mawasiliano na Habari iliweza kusaidia kwa kiasi kikubwa kujua kilichokuwa kinaenda kufanyika katika nchi yetu
  8. Dr Adam Francis

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Kwa hapa tulipofika; Ya Oktoba 29 tungeyaacha, tuendelee na mambo mengine

    Kuna msemo wa wenzetu wa kusini usemao, "kukaa nchale, kusimama nchale." Kwa maoni yangu hapo ndipo tulipofikia sasa baada ya ripoti ya Jaji Chande. Kama umepata nafasi ya kumsikiza Jaji Chande, kwanza alipowasilisha ripoti kwa Rais Samia na baadaye alipokuwa akitolea ufafanuzi ripoti yake kwa...
  9. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Baada ya mauaji ya Oktoba 29 baiskeli za CCM na Pikipiki za CCM zimepotea mitaani. Sasa hivi ni bendera za CHADEMA kila kona

    Hii ni zaidi ya mapenzi ni kuwa Chadema inaaminiwa na Watanganyika
  10. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Bongo Zozo awavaa vikali Jaji Chande na Jaji Juma kusema video za Oktoba 29 ni za Gaza! Acheni uongo!

    Bongo Zozo ameonyesha kusikitishwa na kukasirika baada ya Tume ya Chande kutoa ufafanuzi wa Ripoti yao ya matukio yalitokea Oktoba 29, 2025 kusema video za matukio zilikuwa zimechakachuliwa na zakutengenezwa na nyingine nikutoka Gaza. Bongo Zozo ameonyesha kusikitishwa akisema ni uongo uongo...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Inadaiwa gari lililotumika kuua watu Oktoba 29, 2025 limeonekana tena kwenye Ziara ya Dkt Mwigulu

    Swali, Mpaka hapa bado kuna mtu hajajibiwa swali la nani alitoa amri ya kuua watu iwapo magari yaliyotumika kuua watu bado wanayatumia kuonesha hawajali wala kuogopa chochote?
  12. F

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Ripoti ya Tume kuhusu matukio ya Oktoba 29 iliyokabidhiwa tarehe 23 mwezi huu imeibua mjadala mkubwa na kwa sababu za msingi kabisa

    Kwanza, ni muhimu kukumbuka kwamba chanzo cha matukio haya hakikuwa vurugu zenyewe, bali ni malalamiko ya muda mrefu ya wananchi yaliyokuwa yakijadiliwa wazi mitandaoni. Kulikuwa na ishara za kutosha kabla ya tukio, lakini badala ya mamlaka kusikiliza na kuchukua hatua za mapema, kulionekana...
  13. F

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Chanzo cha Malalamiko na Muktadha wa Maandamano ya Oktoba 29

    Chanzo kikuu cha matukio ya Oktoba 29 kinatokana na mkusanyiko wa malalamiko ya muda mrefu ya kijamii, kiuchumi na kisiasa ambayo yalikuwa yakijadiliwa waziwazi katika mitandao ya kijamii kwa muda mrefu kabla ya siku hiyo. Maandamano hayakuwa ya ghafla, bali yalipangwa na kujadiliwa kwa uwazi...
  14. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Maandamano Oktoba 29: Kero Halisi za Wananchi

    Maandamano ya Oktoba 29 yalizuka kutokana na kero za muda mrefu za wananchi kama vile madai ya demokrasia halisi na katiba mpya, hali ngumu ya kiuchumi ikiwemo kupanda kwa gharama ya maisha, pamoja na kuoza kwa maadili ya kijamii. Hata hivyo, kero hizi halisi zilitumiwa vibaya na wanasiasa na...
  15. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Ukweli wa Vurugu Zilizopangwa Oktoba 29

    Ushahidi unaonyesha vurugu zilikuwa zimepangwa, ziliratibiwa, zilifadhiliwa na zilitekelezwa na watu waliofuzu mafunzo maalum. Viongozi wakuu walikaa nyuma na kuwatumia vijana kama zana za mbele. #UkweliOktoba29
  16. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Ripoti: Ghasia Oktoba 29 Zililenga Kuvuruga

    📍USHAHIDI WAONYESHA GHASIA ZA OCTOBA 29 ZILILENGA KUVURUGA UCHAGUZI Mwenyekiti wa Tume iliyoundwa na Rais Dkt. Samia kuchunguza matukio yaliyojitokeza wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu October 29,2025, Jaji Mstaafu Mohamed Chande Othman amesema kwa mujibu wa ushahidi uliowasilishwa kwenye Tume...
  17. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Ukweli Nyuma ya Maandamano ya Oktoba 29

    Maandamano ya Oktoba 29 yalizuka kutokana na kero za muda mrefu za wananchi kama vile madai ya demokrasia halisi na katiba mpya, hali ngumu ya kiuchumi ikiwemo kupanda kwa gharama ya maisha, pamoja na kuoza kwa maadili ya kijamii. Hata hivyo, kero hizi halisi zilitumiwa vibaya na wanasiasa na...
  18. McLaren

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Rais Samia: Kulikuwa na upotoshaji mkubwa habari za Oktoba 29 hususani vyombo vya habari vya nje na vya kimataifa

    Wakuu, Anazungumza Rais samia wakati akipokea ripoti ya tume ya kuchunguza matukio ya uvunjifu wa amani uchaguzi mkuu 2025
  19. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Utaalamu wa Jaji Chande: Ripoti Huru Oktoba 29

    Jukumu la Jaji Chande katika uchunguzi wa Lebanon lilihitaji uchambuzi wa kutoegemea upande wowote chini ya shinikizo. Utaalamu huo huo utahakikisha ripoti ya Tume ya Uchunguzi kwenye mtukio ya 29 Oktoba sio tu inaaminika bali inatolewa kwa kuzingatia sheria za ushahidi na kanuni za kibinadamu...
  20. McLaren

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Jaji Chande: Thamani ya mali zilizoharibiwa na ghasia za Oktoba 29 ni Bilioni 125. Sekta binafsi thamani yake Bilioni 89, za Serikali ni Bilioni 36

    Wakuu Akizungumza Jaji Chande leo wakati anakabidhi anakabidhi Ripoti ya Tume ya Rais ya Kuchunguza Matukio ya Uvunjifu wa Amani yaliyotokea wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba, 2025, tarehe 23 Aprili, 2026, Dar es Salaam
Back
Top Bottom