Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Robert Gabriel leo Ijumaa Juni 11, 2021 amewasili jijini Mwanza kwa ajili ya makabidhiano ya ofisi na mtangulizi wake, Albart Chalamila ambaye uteuzi wake umetenguliwa.
Amefika katika ofisi za mkuu wa mkoa leo saa 4:50 asubuhi na kupokelewa na wajumbe wa kamati ya amani...