offer

  1. M

    Plot4Sale Nahitaji Kiwanja DSM cha Sqm 800-900, location KIGAMBONI Dege, Geza, muongozo, mwembe mdogo, cheka au KINYEREZI, kisiwe mbali na Main road. Offer 13M

    Mwenye nacho ambacho hakizidi Km 1 kutoka main road aniwekee namba ya simu, tuwasiliane.
  2. MP3 Uploader Hosting Offer 2024

    Je umekuwa ukitafuta mahali unaweza weka Miziki yako baada ya Kuweka Cover katika hiz Nyimbo ili ubrand jina au Website jina lake sasa karibu KWETU CLOUD ni Kikundi ambacho kimeanzisha Panel itakayo weza Manage Nyimbo zako kwa usalama na Uliza, ni utafanyiwa installion free na utatumia Hosting...
  3. OFFER: Studio Podcast/Recording Package kwa 99,000/= tu

    Belight Technology ni Wauzaji na Waagizaji wa vyombo vya Muziki ikiwemo vifaa vya studio na podcast. DUka letu lipo DOdoma Mjini, Kizota, Kituo cha daladala cha City. Bidhaa zetu tunatuma Mikoa yote. Instagram: instagram.com/belight_sound Facebook: facebook.com/belight.sound Mawasiliano: 0715...
  4. Offer ya Website kwa 50k Tu.

    Habari wanajamii. Kama kichwa kinavyojieleza hapo juu Je, unahitaji website au blog kwaajili ya biashara yako? Mimi ni nani? Web systems developer nlie na uzoefu wa zaidi ya miaka 2 katika utengezaji wa websites zenye muonekano mzuri yaan UI design (swiftUI and UI for mobile). Development...
  5. INAUZWA Offer 200,000/- transcend 4tb external drive brand new

  6. Kwa walio serious tu. Ps4 fat inauzwa kwa offer

    KAMA UKO SERIOUS; Sidhani kama uko serious na hii biashara utashindwa kuchukua hii ps4. Chukua ps4 fat, ina game la GTA Imechipiwa, Bado mali ni mpya tuu. Pad hizo apo ni mpya. Kwasababu halina game la mpira naliuza kwa 450k top. Ila, kama uko dar nakupa connection pa kwenda kuweka games bure...
  7. M

    Hii sasa ni kufuru ya Pesa: Mohamed Salah apewa offer ya mshahara wa Pound 2.45M kwa wiki na Al Ittihad ya Saudi Arabia!

    Huko Saudi Arabia waarabu wameamua kumwaga pesa kama mawe!! Timu ya Al Ittihad ambao ni mabingwa wa Saudi Arabia wamempandia dau Mohamed Salah la kufa mtu. Kwanza wametoa offer ya uhamisho kutoka liverpool ambayo ni rekodi mpya ya dunia., offer ya USD 270M. Awali Liverpool walikataa offer ya USD...
  8. INAUZWA Smartwatch kwa bei ya offer

    Tumepunguza bei tunauza piece moja kwa bei ya jumla yaani Tsh 35,000 kwa pc zimebaki pieces chache (M59 ULTRA SMARTWATCH) 💧Ina mikanda miwili 💧Ina Bluetooth 💧Wireless charger 💧Inapiga na kupokea simu 💧Inapokea notifications za whatsapp, instagram, facebook, tiktok etc 💧Ina creen kubwa 2.19 inch...
  9. Nahitaji licenced windows 10pro na ms office 2016

    Habari wadau nahitaji licenced windows 10pro na ms office 2016 Ninatoa 100k Nicheki 0621973591. Note: Sihitaji pirated wala cracked version. Ikiwa kwenye cd yake ni bora zaidi.
  10. Mdau anauliza ni kwa nini offer za usajili ni kwa wachezaji wa Yanga tu? Simba kunani? Mbona hakuna hata mchezaji wa Simba anayetakiwa nje?

    MDAU - KILA KITU YANGA, WENGINE HAMUWAONI...! ✍️ Kaandika mdau wa soka, Ole Mushi ! "KWA NINI WACHEZAJI WA SIMBA HAWAULIZIWI NA TIMU KUBWA ZA NJE?" "Sijasikia mchezaji hata mmoja wa Simba SC kutakiwa kununuliwa na timu za nje. Karibia wachezaji wote wa Yanga SC timu za nje zimetuma maombi ya...
  11. D

    Nadizaini logo ambazo zinaambatana na offer kadhaa kama letter head (MS Word) pamoja na dizaini ya business card au tangazo la kupost mtandaoni

    Habari? Nafanya Ubunifu wa Logo katika ubora unaoridhisha.. na pia unapata na offer ya letterhed Design na Business card au Tangazo la kupost mtandaoni. BEI ZA LOGO 80K= Logo+B Card+Letter head (Softy Copy) 70K= Logo+B Card, Letter head au Tangazo (Softy Copy) kimojawapo 60K= Logo pekee BEI ZA...
  12. House4Sale Nyumba inauzwa Dundan Mkuranga

    House For Sale Location : Dundan Mkuranga near to neelsalt Price : 45,000,000/ Negatiable Details 3 bedroom 1 Master room Big sitting room Dinning room Kitchen Store 2 vallander + 2 Flem Plot size : 21*30 Metre For more infomation Call 0622408585
  13. Engine service ya gari yako kwa gharama nafuu

    Tunaifanyia gari yako Engine Service ya kisasa na kwa gharama nafuu sana. Service hiyo ya engine inajumuisha mambo yafuatayo. 1. Tunakuwekea Oils na filters ambazo ni Genuine. Tunatambua Oil zisizo na viwango zinachangia sana huharibu engine za magari. 2. Kupima na Kusafisha Nozzle na Spark...
  14. Mamlaka zinasubiri nini kumpa ofa ya Uraia Mayele?

    Habari! Kuiga jambo si ujinga, cha muhimu ni kuangalia faida za jambo lenyewe. US. hawana kuchelewachelewa kwenye suala la kutoa offer ya uraia wa kudumu kwa mgeni anayefanya vizuri. Wakiamini yeye au kizazi chake watafanya makubwa kwa Taifa lao. Tusipoteze fursa hii ya Mayele. Akipata team...
  15. Njoo ujipatie offer ya urembo kutoka nyumba yako

    Tunatoa offer ya urembo safi kwa mwezi mtukufu kama ifuatavyo .... Dirisha 30000 ...nguzo 40000 ... skirting 100000 ..arch ya baraza 10000 ... Arch ya ndani 70000 0719999526/0747618315 WhatsApp
  16. Je, Tanzania tupo tayari; BRICS nations offer alternative to West

    A new world order? BRICS nations offer alternative to West. Mataifa yanayojumuisha umoja wa BRICS — Brazil, Russia, India, China, South Africa yamejipanga ili kutoa mbadala wa mfumo uliopo wa fedha kimataifa na na majarida makubwa ya kisiasa. Mfumo wa kimataifa wa fedha wa sasa unaendeshwa sana...
  17. Karibu Bright and Genius Editors upate huduma bora

    BRIGHTING AND GENIUS EDITORS TUNAANDIKA NA KUHARIRI DOCUMENTS ZIFUATAZO: Business Proposal/Plan Katiba za Vikundi Cover Letter na CV/Resume Website Content Barua za Wadhamini Study Plan na Statement of Purpose Personal Statement Mikataba LAKINI PIA TUNAHARIRI DOCUMENTS ZIFUATAZO: 9. Thesis...
  18. INAUZWA Pata suti kali kwa bei ofa

    Suti_mikoani ni wauzaji wa suti za kiume Kwa ajili ya sherehe za harusi, ofisini, vikao na matukio maalumu. Tunatuma mikoani kwa uhakika na haraka zaidi na wateja wetu wa Dar es Salaam tunafanya free delivery. Wateja wetu karibuni dukani kwetu. Tucheki kupitia namba hii; call/WhatsApp...
  19. S

    Elon Musk Skips Kenya, to Offer Internet Satellite to Tanzania Through Starlink

    Starlink provides internet access to over 40 countries globally, with Tanzania set to become the third country in Africa after Nigeria and Mozambique. The Citizen reported that the service will be available in the East African country from the first quarter of 2023 and will be expected to boost...
  20. INAUZWA Heat press machine na epson printer laki nane tu!

    Hii ni offer kubwa kwa sababu nina uhitaji wa haraka wa pesa. Heat press machine iko full na vifaa vyake vya kuprint caps,mugs,plates (5in1) vipya. Na Epson L3110 imetumika kidogo sana ni kama mpya. Vyote jumla ni Tshs. 800,000/= tu! Tuwasiliane 0693153565
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…