Jipatie korosho kwa bei ya ofa

Genio the great

Senior Member
Aug 29, 2022
189
533
Hellow Wana JF

Nisiwe na maneno mengi Leo nimekuletea bidhaa ya korosho inayotoka mkoani mtwara,

Korosho nzuri na unazipata ukiwa hapahapa daresalam

Kwa bei ya 20,000/= tu Kwa 1Kg

Kwa anayehitaji tufanye biashara anicheki 🙏🙏🙏

5iEHcSGZ.jpeg
 
Huwa nanunua nusu kilo kwa 10K - sawa tu na unavyouza. Hiyo offer iko wapi sasa?

Sema kama ni 15K/kilo niagize kilo 5 ASAP!
Wakati unanunua nusu kilo kwa 10k unafahamu kma yupo anayenunua hiyo nusu kilo yako Kwa 15k ??

Usijibu kwa kufikiri hiyo bei yako ni flat kwa mazngira yote,

Kuku unayemnunua mbezi usifikiri atakuwa sawa na buguruni japo wote ni Kuku na yote ni dar hapahapa.

Na nimesema offer Kwa sababu atakayekuja serious anahitaji kuanzia kilo 5 naweza mpunguzia zaidi
 
Weka bei ya offer kwa arusha soko kuu kg ni 20,000 na zipo nyingi

Weka bei ya chini chaaap unapata watea
 
Wakati unanunua nusu kilo kwa 10k unafahamu kma yupo anayenunua hiyo nusu kilo yako Kwa 15k ??

Usijibu kwa kufikiri hiyo bei yako ni flat kwa mazngira yote,

Kuku unayemnunua mbezi usifikiri atakuwa sawa na buguruni japo wote ni Kuku na yote ni dar hapahapa.

Na nimesema offer Kwa sababu atakayekuja serious anahitaji kuanzia kilo 5 naweza mpunguzia zaidi
Povu la nini tena mkuu?

Naweza kupata kilo 5 kwa 15K/kilo?

Unapatikana wapi hapa Dar?

Una-deliver?
 
Back
Top Bottom