Wanabodi,
Kile kilichotokea October 29 kilichangiwa na kauli mbofu mbofu za baadhi ya viongozi wa umma ambazo ziko kinyume cha maadiili ya viongozi wa umma!, swali ni Je sisi Media tutimize wajibu wetu kikamilifu kwa kuwaripoti viongozi hao wasema hovyo bila uoga na Secretarieti ya Maadili ya...
Suala la October 29 mnaweza kusema wananchi ndo wameingia uoga baada ya kushudia mauaji ya ndugu zao, wapendwa wao lakini naweza kusema wananchi ilo tukio limewafanya kua imara zaidi hao waliopoteza ndugu zao kwa sasa naweza kusema wana ujasili wa ali ya juu sana hawana chakupoteza...
Wanabodi,
Hii ni mada ya kwa Maslahi ya Taifa, kuhusu kilichotokea Oct. 29, media ya Tanzania, hatukutimiza wajibu wetu kikamilifu kwasababu anuwai!, ila pamoja na kutotimiza wajibu wetu kikamilifu, kabla ya tukio na wakati wa tukio, lakini bado tuna wajibu wa kutimiza wajibu wetu kikamilifu...
Huu mtandao mpaka vpn na unashambuliwa hatari na wamekodiwa vijana wanachukua pesa zenu wakiwadanganya ni IT wakubwa ila wameshindwa .
Sababu server zake labda wawe na uwezo kuwa google.
Tumia vpn ndio unafunguka.Ila idadi ya vifo na majina na video hapa ndio utajua ukatili wa utawala wa CCM.
Binafsi siyo muumini wa kutegemea changamoto za Taifa kutatuliwa na mataifa mengine kama Marekani au kwingineko .
Nimuumininsana wa kuziishi kanuni .
Binafsi naamini upungufu wa hekima unaweza kuliingiza Taifa kwenye machafuko yasiyo na ulazima.
Wakuu tusitiane moyo , watanzania wamekata...
CCM kwa sasa uwelekeo wenu baada kukipa chama jeshi la polisi na jeshi la nchi.
Ila na wakumbusha rwanda mpaka ilipofikia 94 ndio ikatazamwa dunia nzima.
Sio hapo ila CCM bado mjajifunza naijeria,libya,sudani,somaria,yogosilavia,Korea kutengana,vitenam na nchi ambazo mwisho wa siku ni ukweli...
Mchuzi wa mbwa kunywa wa moto. Leo tumeona Congo suala Patrice Lumumba na wahusika wake wa mwisho kafa mzee kabisa.
Tuje upande wa Rwanda napo ni vile vile. Wakubwa wa hayo matukio wanapatikana wakiwa wazee sasa.
Na hapa Tanzania usije shangaa kaomba msamahaa kwenye kitabu kabla ya kufa.
1.Mstaafu raisi Jakaya. Huyu uzee
2.Spika wa bunge.Hapa kama bunge hakuna ndio maana hakuna nguvu ya kuwa na kumbu kumbu.
3.Mkuu wa majeshi Mkunda.Huyu naona hata jeshi heshima imeshuka siku akistaafu hata kumbuka kama ya Kigwangara au yule wa uganada IGP.
4 .Usalama wa taifa kuanzia idara...
Siasa zilivyo na kwa jinsi mambo yalivyo hadi sasa..baada ya huu utawala kumaliza kipindi chake, tukubali tukatae hii siku lazma itaingizwa kwenye siku za maombolezo makubwa sana nchi nzima! (JUMATANO NYEUSI).
Iwe ni CCM au upinzani watakaokuwa madarakani..mliopo madarakani sasa mtatumika kama...
Kitu kinacho nichekesha katoa mamilioni ya pesa kama kauli yake pale bungeni kuwa .Yupo kwa lolote kulipa wanacho taka waje Tanzania wajionee kuwa nchi tulivu
Ila kuna chinja chinja inakuja sasa kuzimisha ili kuonesha dunia Tanzania salama.
Kila kabira na kila tofauti ya imani yake itabebeshwa...
Suala la October 29 limetuchafua kama chama najua sasa hivi tuko kwenye majuto japokua hatuwezi kutoka na kukili mbele ya kadamnasi. Unaenda kwenye uchaguzi mkuu wa chama wakati mwenyekiti wa chama kikubwa cha Upinzani yuko jela...
Mwigulu hakustahili kua hata Mbunge ukiacha kua waziri mkuu sema kwasababu ni mwanamtandao basi yuko pale kwasababu ya Jakaya Kikwete. Waziri mkuu Unawezaje kusimama na kuongea ujinga kama ule mbele ya kadamnasi ya watu?
Kwamba siku hizi raia wa kawaida wanaruhusiwa...
Okey, Rio hapost chochote kwenye mitandao yake ya kijamii kuhusu uwepo wake Tanzania, nakubaliana nae kuwa hapangiwi katika hilo. Huenda yeye na mkewe ni wakubwa kuliko Tanzania kama Nchi hivyo hawezi kutupa 'air time'. Je Wizara iliyohusika kumleta chini ya Waziri Makonda wao wanapost kwenye...
Inasikitisha.....Naona CCM inakwenda kwenye mkondo wa Sharpeville Masacre and here we are!
Tume ya jana itakuja na mapendekezo ya kuifuta
Sikiliza clip
Wanabodi,
Hii ni makala yangu kwenye gazeti la Mwananchi la leo. Hakuna ubishi kuwa kilichotokea October 29, kimesababishwa na chuki iliyopitiliza!. Japo Ripoti ya Jaji Chande, imepunguza kidogo kiu ya taarifa kwa kuitaja idadi ya vifo, lakini bado haijapunguza machungu ya October 29 na kupooza...
Haingii akilini makada wa CHADEMA kuweka namba za watu binafsi mtandaoni na kuhamasishana kuwatukana hao watu huku wakiendelea kupinga kutohusika na jaribio la mapinduzi October 29. Kijana unajisikiaje kuingia mtego wa kutumia simu yako na kuanza kuwatukana kina Mzee Chande na wenzake?
Sidhani...
Nchi imepoteza mabilioni kuunda tume ya kuchunguza matukio ya October 29.
Leo Tume ya Chande imetoa ripoti na kumkabidhi Rais. Cha kushangaza ni Rais kusema ripoti ya Tume ni ya kwake yeye kama rais na haiwezi kuombwa na wanachi ili waisome!
Wananchi tunahitaji kujua Tume imebaini mambo gani...
Why Nawashanga watu kuiponda ripoti ya 29 wakati mliujua ukweli kabla ya utafiti huo kufanyika na haya ni baadhi ya maswali tulikuwa tunajiuliza baada ya kuteuliwa kwa tume yenyewe.
1. Nani aliunda hiyo tume ! Jibu kila moja anajua.
2.je unadhani tume italinda maslahi ya nani !jibu tunalo
3.je...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.