Kama ni kweli je, huenda kifo chake kinahusiana na waliompa tenda ili kufuta ushahidi wa moja kwamoja?
Vyombo vya ulinzi na usalama vya nchi ya Tanzania vina mengi ya kujitafakari.
Kosa lilianzia pale walipo ruhusu bandari yetu ichukuliwe mbele ya macho yao kizembe kabisa.
Mama wa 4R, mama wa Kazi na UTU alutuonesha namna alivyo na utu kwa raia wake.
Mataifa yote yalishuhudia upendo wa mamayetu kipenzi chetu Samia Suluhu Hassan.
Nawapa pole wale wote wanaomchukia mama yetu, kama kuna ndugu yako alipoteza maisha atakuwa alileta vurugu huyo.
Hata hivyo kifo ni...
Hili ni moja ya swali ninalotamani Lissu amuulize IGP.
Je, wewe unasemaje au unatamano aulize swali gani?
Tukumbuke ripoti ya Jaji Chande ilikuja na idadi ya watu zaidi ya 500 waliouwawa katika mauaji ya Oktoba 29, 2025.
Elininyo elininyo tubuni damu za wale watoto hazitawaacha salama.
Nyie mnajiona wajanja ila nawaambia zile damu ni mbaya sana kwa hili taifa.
Viongozi wa dini mnasisitiza tuliombee taifa wakati kuna damu zinalia zipo ardhini? Huu ni mtego mbaya sana kwa hili taifa.
Bila toba hatutoboi .
Ukweli mchungu huu!
Sikumbuki ni uchaguzi upi uliwahi kufanyika Zanzibar kwa amani bila damu kumwagika zaidi ya ule wa mwaka jana pekee!!
Kwa miaka mingi damu za wazanzibari zimemwagwa sana kipindi cha uchaguzi ,na Baraza la maaskofu liliishia TU kulaani na kukaa kimya kisa aliekuwepo alikua...
#HABARI: Wakazi wa mji wa Idlib nchini Syria wamekusanyika kusherehekea baada ya mahakama kumhukumu kifo Rais wa zamani wa nchi hiyo, Bashar al Assad.
Mahakama moja nchini Syria imemhukumu kifo kwa kutokuwepo rais wa zamani wa nchi hiyo, Bashar al-Assad, kwa makosa yanayohusiana na uhalifu...
Unawezaje kuridhiana na gaidi katili asiye na huruma aliyeamuru maelfu ya watu kuuawa? Hilo halipo. Kwakifupi HAKUNA KURIDHIANA NA MAGAIDI. Nilazimamagaidi yote yapate haki yao ili nchi iwe salama.
Samia na wenzako hakuna namna mnaweza kutufanya tukubalikuridhiana na WAOVU, NEVER EVER. NI BORA...
October 29 nilikuwa nyumbani kama ilivyokuwa kwa millenials wengi wa 90 kurudi nyuma ambao tumekuzwa kwenye uoga, kutii bila kuhoji, utiifu uliotukuka na ukimya .
lakini jinsi moyo wangu ulivyokuwa ukidunda, nilijihisi kama nipo Iraq.
Ta! Ta! Ta! Ta! Hiyo ilikuwa mara yangu ya kwanza kusikia...
Hii ni kufuru na dhihaka kwa wahanga wa October 29. Watu wameuawa kinyama, hakuna hata mtu mmoja aliyewajibika au kuwajibishwa kwa hayo mauaji ya kikatiri halafu unasema tupo vizuri kisiasa. Hili hitimisho unalipata wapi la kusema tupo vizuri? Sisi watanganyika mliotuulia ndugu zetu hatupo...
Mimi sio Chawa wa Mama,wala sipo miongoni mwa watu wanaolipwa ili kumsafisha
Katika familia yapo mambo ambayo kiongozi wa familia anawajibika nayo kama mzazi na mengine ni ya wana familia wenyewe ( Watoto)
Kutoa Uhai wa mtu sio jambo jepesi kwakuwa linagusa dhamiri ya mtu,lina mgusa Mungu...
Mnaweza kusema nimenunuliwa lakini hapana ukiangalia clips za Polepole kwa umakani sana unakuja kungundua Samia sio mbaya kiivyo sema walioko nyuma yake ndo tatizo. Yeye mwenyewe aliwahi kukili kwamba ana boss wake kama sijakosea ilikua kwa Mwamposa uzinduzi wa kanisa lake...
Mnaweza kusema nimenunuliwa lakini hapana ukiangalia clips za Polepole kwa umakani sana unakuja kungundua Samia sio mbaya kiivyo sema walioko nyuma yake ndo tatizo. Yeye mwenyewe aliwahi kukili kwamba ana boss wake kama sijakosea ilikua kwa Mwamposa uzinduzi wa kanisa lake...
Baada ya kifo Cha John wa chato niliandika Uzi hapa unasoma nashindwa kumsamehe John, nikijita kuelezea namna Lissu alivyoshambuliwa bila serikali yake kuchukua hatua lakini Leo nakiri anisamehe hayati John
Kwenye pita pita zangu Kuna vitu vingi nimekuja kuvigundua jinsi viongozi wa serikali...
Msemaji wa Serikali analalamika kuwa documentary iliyotolewa na BBC imesikiliza upande mmoja.
Sasa najiuliza je Serikali yake inayotoa matamko kuwa wanaharakati magaidi, wataka haki ni wachochea uvunjifu wa amani na porojo zengine mbona msigwa ajawahi kusema haya.
Soma pia Serikali: Makala ya...
Yale machafuko ndio maana wanatumia nguvu kubwa kufunika sana ili waonekane wema.
Kuna kijana alipigwa risasi ila hakufa basi jitihada za kumkimbiza hospital zikafanikiwa na kupata huduma ya dharura.
Ilipofika usiku wa saa 5 zilikuja gari zile nyeusi wanazopenda kutumia wakawachukua watu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.