october 29

October 29 is the 302nd day of the year (303rd in leap years) in the Gregorian calendar; 63 days remain until the end of the year.

View More On Wikipedia.org
  1. baz kaiza

    JamiiForums Tanzania Waliokufa October 29 ni Mifungo ila wakifa viongozi kama mawaziri ndo binadamu. Ni mda wananchi Maskini kuacha Shobo na Serikali ya awamu 6

    Wananchi maskini ni mda wa kuacha shobo na awamu ya 6 watoto wenu mliona walivyotandikwa risasi za kutosha na kufa kama kuku hiyo yote wananchi au watoto wa maskini kutimiza uwajibu wao kikatiba. Lakini watoto wenu wanasema walikua vibaka,wezi, majambazi...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Ya Oktoba 29 ndio yashapita hayo

    Dah
  3. R

    JamiiForums Tanzania Imeanzishwa Media ya kuwakumbuka waliokufa Oktoba 29, 2025

    By Hilda Newton Imeanzishwa media ya kuwakumbuka ndugu zetu waliouwawa Tarehe 29.10.2025. Media hii itapost kumbukizi zote za uovu WOTE wa Serikali. Media inatwa @Mo29Tv
  4. Bushmamy

    JamiiForums Tanzania Arusha; Walioiba na kuchoma Moto kituo cha mafuta cha Panone Oktoba 29 waanza kufa mmoja baada ya mwingine

    Vijana ambao wengi ni boda boda na wengine wasio boda boda katika Wilaya ya Arumeru wameanza kufa Kwa vifo vya ajabu ajabu hususani kupasuka vichwa ghafla na vifo vingine visivyoeleweka. Tukio hilo linajiri baada ya mmiliki wa kituo Cha mafuta Cha Panone kilichochomwa moto na kuibiwa vitu mbali...
  5. U

    JamiiForums Tanzania Rais Samia, kama unataka kuiponya nafsi yako na kuliponya taifa hili, basi achana na Tundu Lissu na Josephat Gwajima!

    Tundu Antipasy Mughway Lisuu 1. Achana na upuuzi wa mlichokiita "kesi ya uhaini". Ni suala la uamuzi wa dakika moja, utajiokoa wewe mwenyewe na kuliokoa taifa hili na maafa yaliyo mbele yako 2. Tunajua fika kuwa mmeshajaribu kumrubuni kwa kila aina ya ushawishi wa rushwa: fedha, cheo...
Back
Top Bottom