H r n
JF-Expert Member
- Oct 3, 2019
- 1,100
- 2,079
Why Nawashanga watu kuiponda ripoti ya 29 wakati mliujua ukweli kabla ya utafiti huo kufanyika na haya ni baadhi ya maswali tulikuwa tunajiuliza baada ya kuteuliwa kwa tume yenyewe.
1. Nani aliunda hiyo tume ! Jibu kila moja anajua.
2.je unadhani tume italinda maslahi ya nani !jibu tunalo
3.je nani haswa ndo chanzo cha yaliyotokea !majibu kila mwananchi anayo
Ongeza mengine
Je ulitengemea kuona nini ! Wakati tulijua fika kabisa tumempa beka kazi ya kumfutilia bakary kuhusu wizi wa pembejeo za kilo Afghanistan