nzuri

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Siku nzuri za ukombozi ni sikukuu zote za kidini (Eid na za kikiristo) na most importantly siku za mechi kubwa Simba na Yanga

    Kushindwa ni pale tu tumekubali damu za ndugu zetu ziende bure...... UTANGULIZI Sisi sio watu wa kuingia msituni (sio jambo jema) tunahitaji 1. mapambano ya ground, maandamano makubwa yenye idadi kubwa ya watu na sio jokes (mfano ubungo mpaka magomeni ikajaa watu hamna wa kuzuia) 2...
  2. JamiiForums Tanzania Gerezani sio sehemu nzuri

    Gerezani ni mahala ambapo kila Mtu apendaye Uhuru anapaona bora uwe hospital umelazwa hata kama hujui ni lini utapa ahueni ila utakuwa na tumaini la Uhuru na kukutana na wapendwa wako kwa wakati. JeLa ni mahala panapozima Furaha na Matumaini ya Mwanadamu hata wale Wategemezi wake au Maisha yake...
  3. JamiiForums Tanzania Wakuu wapi naweza kupata Laptop nzuri kwa dar es salaam

    Somo la thread linajieleza,natafuta laptop computer zenye uwezo wa kati hasa zile nyembamba zenye screen pana,je ni maduka gani yako reputable kwenye uuzaji wa laptop nzuri,pia na hata bei ziwe reasonable
  4. K

    JamiiForums Tanzania Lodge nzuri Njiro Arusha

    Habari wanajamvi Ni lodge/ guesthouse gani nzuri Arusha maeneo ya njiro na karibu kwa budget ya 25-30k per night .
  5. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Utawala wa Samia umeua watu wengi sana katika historia ya Tanzania

    Utawala wa samia umeuwa watu wengi sana katika historia ya nchi yetu nzuri.! Umewaacha watanzania wengi katika maumivu sasa inatosha ameuwa watu wengi sana na sisi kwa pamoja tupo tayari kufa. Tukutane #D9
  6. JamiiForums Tanzania Ipi ni Vpn nzuri kutumia kwenye PC

    Wakuu Ipi ni vpn ipi nzuri kutumia kwenye PC ila iwe ya free nitakuwa na Iboost na bando
  7. JamiiForums Tanzania Saa nzuri za kisasa casio

    SAA ZA KISASA ZA CASIO ORIGINAL! Ongeza mvuto na hadhi yako kwa saa bora kutoka CASIO — muundo wa kisasa unaofaa kwa kila mavazi! Sifa Kuu: Ubora wa hali ya juu Muundo wa kisasa (square design) Rangi zinazopatikana: Black | Rose Gold | Gold Battery imara (CR2025) Water Resistant (WR)...
  8. JamiiForums Tanzania Serikali ya CCM hawawezi kutupa Katiba Mpya nzuri

    Nasema hivi kupitia sababu zifuatazo Katiba hii ya mwaka 1977 ilitengenezwa na mwalimu julius Nyerere, ila cha ajabu miaka ya mbeleni kwa nyakati tofauti Nyerere amekuwa akionyesha mapungufu ya hii katiba ila hakujaribu kuibadilisha sanasana aliiendelea kuifanyia amendment mpaka anafariki...
  9. JamiiForums Tanzania Ingawa mimi ni mshabiki wa maisha wa Tupac ila ningependa ku-admit kuwa biggie alikuwa an flow na wordplay nzuri kuliko Pac

    Pac alikuwa mshairi mwenye uwezo wa ku-relate yaliyondani ya moyo yaendane na harakati za maisha ya kila siku, mwenye energy ya kutunga ideas nyingi na kudondosha rhymes kama kiwanda. Ila big alikuwa picaso wa kudeliver sanaa ya kufoka foka iwe katika mpangilio na ubunifu wa kuteka sikio lako...
  10. JamiiForums Tanzania Wapi Dar wanauza nguo za kitamaduni na kiasili kwa bei nzuri?

    Ukitoa mwenge vinyago wenye bei za kizungu sehemu gani nyingine nitakuta mavazi yenye arts ila bei nzuri
  11. JamiiForums Tanzania Ramani nzuri ya kisasa kiwanja changu ni 840M²

    Wakuu, nimepata huu uwanja wenye ukubwa 840M² (Urefu 40×Upana 21). Hitaji langu nipate nyumba yenye sifa hizi. * Nyumba ya kisasa *Vyumba jumla 4, Master room 2 na kawaida 2 Sebule, Jiko, Stoo, ukumbi wa kulia chakula au kusomea vitabu na kazi za ofisini. Pia nyuma ya nyumba nijenge Banda lenye...
  12. JamiiForums Tanzania Naomba kufahamishwa ni shule gani za primary za kiislam zilizopo maeneo ya kigamboni zinazofanya vizuri

    Habari wana Jamii. Naomba kufahamishwa ni shule gani za primary za kiislam zilizopo maeneo ya kigamboni zinazofanya vizuri. Asante
  13. JamiiForums Tanzania App nzuri ya ku-record calling kwa Google pixels.

    Wakuu.. Kama unatumia pixel utakubaliana na mimi kuwa hizi simu hazina option ya ku-record call(Due to private rules) Sasa nimekuja kwenu kuomba kujuzwa App nzuri ya ku-record calling kwa hizi pixel
  14. JamiiForums Tanzania Laptop nzuri for Computer Aided Design

    Naomba msaada wa laptop nzuri kwa ajili ya masomo. Software zinazotumika kwenye kozi husika ni CAD, baada ya kufuatilia Naomba msaada ni laptop ipi infaa kwa 800K hadi 900K mwisho Pia kuna mwenzangu anahitaji laptop for the same use, ila yeye budget yake ni 500K maximum Naomba msaada kujua...
  15. JamiiForums Tanzania Kuku akipata mjanja ana nafasi nzuri ya kujikwamua kimaisha kupitia wapenda sifa

    Napo viral yake imekuja kipindi tete huku kwa namna fulani ikihusika moja na moja na CCM kupitia uharibufu wa mabango ya mgombea... LAKINI anaingia kwenye list ya Dr. Shaka Majaliwa mvuvi Mandonga nk CCM wangeshapita naye kitambo lakini kuna mambo mawili yanawafanya wasite japo wanamtamani...
  16. C

    JamiiForums Tanzania Wasabato mlituumiza sana mlipotuaminisha nyama ni mbaya ila nafaka ni nzuri

    Kwa muda mrefu wasabato wamekuwa wakifundisha kuhusu ulaji wa vyakula ambavyo wao waliviita bora huku wakinukuu mafungu ya kitabu cha Daniel ambaye alikataa chakula cha kifalme na akaomba apewe mtama. Wasabato awali wakatafsiri mtama kuwa ni chakula cha nafaka chote na walimu wao wengine hadi...
  17. N

    JamiiForums Tanzania Fahamu aina nzuri ya website au blog kulingana na mahitaji yako pekee

    Habari wakuu, Katika ulimwengu wa kidijitali, kila siku tunashuhudia watu wengi wakifungua website au blog kwa madhumuni tofauti. Hata hivyo, si kila aina ya website au blog inaleta matokeo mazuri. Ili kufanikisha malengo yako mtandaoni, ni muhimu kujua aina bora ya website au blog kulingana na...
  18. JamiiForums Tanzania Kama unamiliki Pikipiki jifunze namna nzuri ya kuitumia hapa.

    Pakia abiria na mizigo mingi kwa kutumia maarifa haya https://www.youtube.com/shorts/82dihdK1Fuw
  19. JamiiForums Tanzania Ziwe nzuri zisiwe nzuri je imekuwaje zimevuja?

    Hili limeniacha hoi sana, linapokuja swala la kuvuja kwa jezi tena kwenye taasisi kubwa kama ya Simba na Jrutty. Hapa tuseme kuna watu ndani ya simba hawana vifua? Au kuna watu ndani ya simba ni YANGA? Au tuseme zimefujishwa kusudi ? Au sio mbaya?
  20. JamiiForums Tanzania Ipi ni AI nzuri kutumia kati ya Deepthink na ChatGPT?

    Hizi ni artificial Intelligence ambazo zinatamba Kwa Sasa? Kwako wewe mdau ipi Iko better?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…