nzuri

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kampuni gani nzuri ya tiles kati ya hizi?

    1. Goodone 2. Goodwill 3. Twyfod
  2. Brand gani nzuri ya vyoo?

    Wadau wenye experience ya brand nzuri ya vyoo, masinki ya jikoni na chooni please naomba msaada kunijuza. Hata Kama unafahamu maduka yanayo uza vifaa ivyo vyenye ubora.
  3. Wanachadema Katiba Mpya sio kigezo cha kufanya mkubalike kwa wananchi. Sera na itikadi nzuri ndio mtaji wa kisiasa

    Hata kama taifa letu lipate katiba mpya, lakini kama chama cha siasa kinakuwa na sera na itikadi mbaya hakuna mwananchi atakiunga mkono. Nashangaa sana wanaCHADEMA kushupaza shingo wakidhania kuwa tukipata katiba mpya basi wataungwa mkono na wananchi. Wanadhania katiba mpya ndio tikti ya...
  4. Waache watoto wako katika hali nzuri (kifedha) kuliko kuwaacha katika ufukara

    Watoto wana haki ya kulishwa, kuvikwa, na kulindwa hadi wafikie utu uzima. Ni lazima watoto wawe na heshima, ili kufurahia upendo na shauku kutoka kwa wazazi wao. Watoto wana haki ya kutendewa kwa usawa, dhidi ya ndugu zao katika masuala ya zawadi za kifedha. Imam Ahmad bin Hanbal alisema...
  5. Hongereni JWTZ na Watanzania kwa kuwa na 'Ndege Vita' nzuri zilizokuwa 'zinazurula' tu Anga la Tanzania leo Mchana

    Ni 'Ndege Vita' nzuri sana tena za Kisasa kabisa Rangi ya Udongo ambazo zitasaidia mno Tanzania kuwa juu Kiuchumi, Maji kutopungua Mto Ruvu na hata Umeme kutokatika hovyo Tanzania. Pia ni 'Ndege Vita' nzuri mno ambazo nina uhakika nchi kama Kenya, Uganda, Rwanda, Zambia, Malawi na Msumbiji...
  6. Kuna mji wenye usafiri mzuri wa daladala na elimu nzuri kuliko Mbeya?

    Hakika sijaona mji wenye system nzuri ya daladala kama Mbeya. Stendi kubwa zipo tatu kuna ya mjini ambayo ni stendi kuu ya zamani na ni kubwa kiasi kwajili ya mabasi ya mikoani na daladala, kuna stendi kabwe hii ni kwajili ya daladala na bajaji na pia utaikuta stendi kuu ya nane nane...
  7. Waziri Aweso fanya maamuzi haya ili ubaki kwa kumbukumbu nzuri

    Pamoja na baadhi ya Watanzania kuona kuna madudu yanafanyika pmus kuwanyonya kutokana na baadhi ya viongozi kuingia kwenye siasa kwa mgongo wa wazee wao, bado mnaweza kuwaachia watanzania legacy ya kuwakumbuka hata msipokuwepo. MAJI; Nchi yetu imekuwa na janga la uhaba wa maji kwa miongo kadhaa...
  8. Lodge / Hotel nzuri Mwanza

    Wadau wa JF naomba kuhulizia Lodge / Gest house nzuri ambayo inapatikana Maeneo ya Nyegezi au karibia hayo maeneo ni ipi?? Ambayo bei zake ni nafuu Msaada tafadhali itapendeza ukinitajia jina na mawasiliano tafadhali.
  9. Maafisa Uhamiaji wa kike huongoza kutoa huduma nzuri zaidi ya Wanaume kwanini?

    Maafisa Uhamiaji wakike huongoza kutoa huduma nzuri zaidi ya Wanaume kwanini. Hili nimelionana nimeshuhudia Ma ofisini, Mipakani na Airports pia nimewasikiliza wenzangu wakizungumza pia kwamba wanawake ma Afisa uhamiaji ni wakarimu sana na wanakupokea vizuri mnazungumza kama kuna kitu hakija kaa...
  10. Msaada Hospital nzuri kwa kutibu vidonda vya tumbo Dar, vitaniua jamani

    Msaada Wana jf yaani hivi vidonda vitaniua jamani
  11. NATAFUTA CAMERA NZURI USED BAJETI YANGU 800K

    Mwenye camera nzur used naomb tuwasiliane wakuuu bajet yangu 800k
  12. L

    Tunatengeneza ramani za nyumba mbalimbali

    Ramani ya vyumba vitatu , chumba kimoja masta, sebule na choo cha kushea, Ukubwa wa Ramani ni mita 9/kwa mita9/...kupata Ramani yake tuwasiliane 0627571649.
  13. Wapi nitapata mchele kwa bei nzuri Morogoro?

    Naomba kuuliza wapi nitapata chimbo la mchele mzuri maeneo ya Morogoro. Mimi ni graduate nimejipiga piga nimepata mtaji kidogo around 600k (laki sita) soko la kuuza Dar nimepata maeneo ya Tandale Sokoni nilikua naomba kufahamishwa chimbo la Mchele kwa Morogoro. Nilikua nafikiri niende mbali...
  14. J

    Ushauri, Maoni, Mapendekezo na Pongezi kwa Mkuu wa Mkoa wa Dar, Amos Makalla

    Amos Makalla karibu sana katika mkoa wetu wa Dar es Salaam na ikikupendeza tusaidie pale Magufuli Bus Terminal ujenzi ukamilike kwa eneo la abiria kadhalika sehemu ya kuservice mabasi. Mengine tutakujulisha ukishafika. Ubarikiwe sana mtumishi wa Mungu.
  15. M

    Msaada: Biashara gani nzuri Dodoma?

    Habari zenu wapendwa? Mimi nipo Dodoma ni mdada nina mtaji wa shilingi milioni moja, tayari nmeshanunua contena lenye ukubwa unaokaribia Kama chumba kimoja Ila changamoto niliyonayo nawaza nifungue biashara gani nzuri ambayo itanilipa naogopa kupoteza mtaji nilionao maana kupata mwingine ni...
  16. Ni kampuni/toleo gani la simu ni nzuri kwa badget ya 300k?

    Nahitaji simu angalau yenye unafuu kwa ajili ya dogo. Badget ni kama inavyosomeka hapo juu.
  17. Je, Utulivu wa wamachinga katika msimu huu wa kutolewa, ni matokeo ya kazi nzuri ya Hayati Magufuli?

    Zamani ilikuwa ni ugomvi. Mama ntilie tu na migambo wa jiji ilikuwa ni vita. Nashangaa awamu hii, wamekuwa wapendwa, waungwana, nimeona kwa pamoja kwenye ukuta wa Mtaa wa uhuru wakitoa wenyewe bila hata kufukuzwa. Wakatoa mbaombao wakifuata utaratibu waliopewa. Aliyebuni hii mbinu anaakili...
  18. Mradi wa SGR umeendeshwa vibaya na utalitia Taifa hasara kizazi hadi kizazi

    Mwaka 1970-1974 mchina alijenga reli ya Tazara ya kisasa kwa wakati huo na watanzania waliaminishwa makubwa Sana juu ya faida ya mradi husika. Miaka 25 tu baada ya mradi kukamilika reli ikachoka, ikakosa wateja, usimamizi mbovu. Zile hadithi na simulizi tamu za manufaa ya mradi huo...
  19. K

    Katiba isitengenezwe na wanasiasa

    Naunga mkono hii 100%
  20. Ni PC gani nzuri chini ya 1M inayoweza ku-run Adobe premier pro na games chache?

    Any help Gurus ??
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…