nywele

  1. MUCOS

    JamiiForums Tanzania Mwanaume pendezesha nywele yako kwa mafuta haya

    Ndugu zangu natumai mko salama kabisa. Matumizi a. Baada ya kuoga/kuosha nywele paka mafuta yako kwa kutumia mkono. b. Pia unaweza kupaka mafuta haya hata kama hujaosha nywele/kwa nywele kavu. c. Paka Mara moja tu kwa siku. Na tumia kiasi kidogo sana kwani mafuta haya yanakolea sana na kwa...
  2. E

    JamiiForums Tanzania Dawa ya kuotesha nywele inahitajika (kipara)

    Wakuu, Naombeni dawa ya kuotesha nywele, nina kipara cha hatari. Asanteni
  3. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Ni sahihi kwa mume kumfumua mkewe nywele?

    Nyinyi wajomba na mashangazi mliopo humu ndani naombeni mitizamo yenu kwenye hii ishu, mke akiwa anataka kufumua rasta zake zinazomuwasha utamfumua kama akikuomba?
  4. W

    JamiiForums Tanzania Wanawake wa Afrika walitumia Mitindo ya Nywele zao kutengeneza ramani za kutoroka Utumwani Miaka ya 1800

    Inawezekana umesikia mitindo mbalimbali ya nywele kama vile twende kilioni au kilimanjaro. Hiyo mitindo haikuja tu hivi hivi. Kuna Wanawake enzi za Utumwa huko walikuwa na akili za ajabu sana. Inadaiwa kuwa wapo waliotumia nywele zao kuwasiliana kwa siri au kwa mafumbo ili wasikamatwe na...
  5. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Kuota umekula/unakula nywele au unajaribu kuivuta kutoka kinywani au katika chakula

    Bahati mimi huwa siamini katika uwepo wa nadharia ya uchawi ila tu Nina nguvu fulani ya maono kujua tafsiri ya kisaikolojia anayopitia mwotaji na maana ya ndoto yake.. Sasa ukiota unajaribu kuondokana na nywele na kuiondoa kwenye chakula au kinywa chako, lakini hukuweza kufanya hivyo, basi hii...
  6. C

    JamiiForums Tanzania Rosemary hair oil kwa ajili ya kukuza na kujaza nywele

    Mafuta asili ya Rosemary ni mafuta yanayotengenezwa na viungo mbalimbali mahususi kwa ajili ya ukuaji wa nywele. Mfano Rosemary yenyewe,black seed,fenugreek,hibiscuss,mint leaves,bay leaves,amla,chebe,ashwagandha nk Na carrier oils kama Almond oil,virgin coconut,olive na avocado oil. Tupo...
  7. C

    JamiiForums Tanzania Fahamu maajabu ya mmea wa Rosemary katika urembo wa nywele

    MAFUTA ASILIA KABISA YANAYOTENGENEZWA NA ROSEMARY ILI KUHAKIKISHA NYWELE INAKUA NA KUJAA KWA MUDA WA WEEK 2. ROSEMARY NI MMEA UNAOSIFIKA KWA KUKUZA NA KUZUIA NYWELE KUKATIKA. Tupo Makumbusho stand Bei ni 15,000/= 0689 209 209 Mikoani tunatuma kwa uaminifu mkubwa.
  8. H

    JamiiForums Tanzania Nauza mashine ya kunyolea nywele ni mpya kwenye boksi lake, KEMEI Model 809A

    Bei 50,000/= KEMEI model 809A. Ni ya kuchaji, inatunza chaji mpaka masaa 4. Ni mpyaa, kwenye boksi lake na kila kifaa chake kipo ndani ya boksi.
  9. Dr isaya febu

    JamiiForums Tanzania Ujue ugonjwa unaoshambulia nywele (Trichomycosis)

    Je umeshawahi kukutana na mtu mwenye hali hii hapa chini kwenye picha katika sehemu yake ya kwapa/sehemu za siri? Hali hiyo hapo juu kwenye picha ni ugonjwa hujulikanao kwa kitaalamu kama Trichomycosis (trichobacteriosis). Trichomycosis ni hali ambayo inahusisha ukuaji wa bakteria kwenye...
  10. kyagata

    JamiiForums Tanzania Harufu ya manukato porini na nywele kusisimka ina maana gani?

    Habari JF, Kwa wenye uzoefu wa hili jambo naomba mnisaidie ni ishara ya nini? Siku tatu nyuma nilienda kijijini kwetu kusalimia,sasa kama mjuavyo ndugu kijijini huwa ni wengi na ukifika huko basi ni lazima ujitahidi uwatembelee wote kuepusha lawama. Kilichonishangaza ni kwamba kuna siku...
  11. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Unafahamu majina ya nywele za sehemu zote za mwili wako?

    Mathalani, za kwenywe kidevu zinaitwa ndevu, chini ya pua kwenye lip ya juu ya mdomo zinaitwa sharubu, za machoni zinaitwa kope, za juu ya macho zinaitwa nyusi, za kifuani zinaitwa love garden, za kichwa zinaitwa nywele, na za huko chini ndio kama mnavyojua tena. Sasa, hizi za kwenye kwapa...
  12. Jumlisha

    JamiiForums Tanzania Je, ni kweli kutokuosha nywele kunachangia nywele kukua kwa haraka?

    Bila kupoteza muda, habarini wana JF. Siku za hivi karibuni niliamua kuanza kufuga nywele, sasa kila mtu ananiambia ukitaka nywele zikue naambiwa niache kuziosha kabisa kwa maji. Nimefatilia kwa watu hasa jinsia KE naona nao wananiambia hivo hivo. Je, kuacha kuosha nywele ili kufanya zikue sio...
  13. nyaggad

    JamiiForums Tanzania Ijue biashara ya nywele bandia faida na changamoto zake

    Habari wadau! Kama kichwa cha uzi kinavyojieleza,ijue biashara ya nywele faida na changamoto zake,kwanza kabisa naweza kusema biashara ya kuuza nywele za bandia ni kama biashara zingine,inakuhitaji ufanye tafiti kabla ya kuingia kwenye biashara hiyo ili uweze kujifunza namna ya kuifanya kwa...
  14. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Tunza vizuri sehemu za mwili wako zilizoota nywele

    Ni vizuri kupatunza vema mahali panapoota nywele katika sehemu mbalimbali za miili yetu. Ni muhimu kupapenda na kupajali kwa kupafanyia usafi mara kwa mara kwa kunyoa lakini sio kila siku, ili pawe nadhifu katika uasili wake. Na ni vizuri zaidi kutumia vifaa vipya vya kunyolea kama vile nyembe...
  15. P

    JamiiForums Tanzania In case you are using hair dye: Read carefully before going to salon. Kwa wanaopaka rangi nywele.

    Hair dye reactions Many hair dyes contain ingredients that can irritate your skin or cause an allergic reaction. It's important to be aware of this risk, and know what to do. Reactions to hair dye are avoidable if you follow some simple safety advice. This page offers advice to anyone who...
  16. Kittie89

    JamiiForums Tanzania Nilinyolewa nywele na mpenzi usiku

    Jamani, kichwa cha Habari kinajieleza. Mimi nilikuwa na mwanaume nimemzidi miaka 10, mwanzoni hata haikuwa serious maana tuko tofauti, ila mi ni wale wanawake ambao nikiwa na mwanaume basi bahati hazimkauki (nna walinzi) Baada tu ya miezi 3 nikapata kazi na kijana akapata kazi ya pili tena...
  17. Mwanadiplomasia Mahiri

    JamiiForums Tanzania Mkasa wa Marcelo kufuga nywele ili tu watu wasimchanganye na Robinho

    Baada ya Marcelo kwenda Real Madrid walikutana pale na Mbrazil mwenzake Ribson Robinho aliyekuwa star wa timu. Marcelo akiwa ananyoa kipindi hiko akajijuta anafanana sana na Robinho kiasi cha baadhi ya mashabiki kushindwa kuwatofautisha mpaka waangalie namba za jezi. Marcelo akaona isiwe tabu...
  18. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Neema: Wenye vipara sasa kuoteshwa nywele

    Taarifa hii njema imetolewa na Hospitali ya Muhimbili
  19. Mjanja M1

    JamiiForums Tanzania Upasuaji wa urembo kuotesha Nywele kwenye Kipara wafanyika Muhimbili

    Watalaam wa upasuaji Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) kwa kushirikiana na wenzao kutoka nchini Marekani wamekamilisha kambi maalum ya siku tano iliyohusisha upasuaji wa urembo na upasuaji wa matibabu (Cosmetic and Reconstructive Surgery) kwa wagonjwa nane. Akizungumza wakati wa kuhitimisha...
  20. SuperHb

    JamiiForums Tanzania Msaada kwa mtu aliyeunguzwa na mafuta ya dawa za nywele

    -Habari za majukumu? Kuna mtu anahitaji msaada wa nini cha kufanya -Alipaka Dawa ZA kuweka waves kwenye nywele(Movit relaxer), Kwa Bahati mbaya kuna maeneo ya kichwa chalet ni kama yameungua. Kila Muda anatokwa na majimaji kichwani na kupelekea vidonda kama anaoza Hivi, anapata maumivu ya...
Back
Top Bottom