Humu jf kuna watu story zao ni zaidi ya movie,
Uzi wa kwanza ni WA huyu jamaa anajiita analyse, title ya Uzi inasema sijivunii mama wa mtoto wangu, jamaa alipigwa na dingi yake kabari sababu ya kuzalisha jimama, jamaa alipigwa kabari hadi akajinyea,😂😂😂 alivoachiliwa akajisemea kichwani...