nyuzi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Nyuzi za 'true story' zilizowahi postiwa hapa JamiiForums

    Habari wanaJF, ninaomba kwenye uzi huu mtume link za nyuzi zote za stori za kweli zilizowahi kubamba hapa JamiiForums Mfano ile stori ya khumbu ya konda msafi, stori ya dereva Uber na mwanamke aliyebadilisha maisha yake n.k
  2. Ubunifu: Kutumia nyuzi kutengeneza midoli

    Kwetu hapa bongo nimeona bado nyuzi jazijatumika kwa ukubwa na upana wake .. Mpaka sasa wanunua nyuzi wengi wamejikita kwenye mavazi kaka Masweta Soksi za watoto Vizibao Kofia nk Vikapu Lakini kuna hili la kutengeneza midoli ya watoto (teddy bear) na ni fursa nzuri kwa wale wajasiriamsli na...
  3. K

    Kama mwana yanga nawashauri Yanga wacheze dabi na Simba iwe jua iwe mvua Simba haiwezi kuifunga Yanga kwa sasa

    Kwanza mpaka sasa Yanga ndo wanaongoza ligi. Wasiwasi wa nini?. Kwa timu ya Yanga ilivyo sasa hivi kamwe hawawezi kufungwa na Simba iwe jua au mvua. Ninajua Bodi ya Ligi mpaka sasa hawajatoa sababu ya kuhairishwa kwa Dabi ya tarehe 8.3.2025. Naomba tuwasamehe. Yanga ni timu kubwa kamwe kwa...
  4. M

    Naanda petition ya kumuondoa member anayeitwa Dennis Roberts na nyuzi zake zote zifutwe jamiiforums

    Huyu mtu anaitwa anaitwa Dennis Roberts ni mjinga wa kiwango cha juu sana hata deo kisandu ana-afadhali Cha kwanza ana-tatizo la akili kubwa sana, Eti anataka urais yaani Rais wa Tanzania awe maskini wa kutupa, njaa kali kapauka mpaka unamuonea huruma kamwe hawezi kuwa Rais Nyuzi zake zote...
  5. Inatisha sana huyu manyara ni nani?mpaka vijana wanashindana humu JF

    Sisi wengine tumezaliwa na kukulia Dar lakini nadhani tuna ushamba mwingi sana. Mimi namsikia sikia manyara sijui manara kwa vijana wanafahamu hadi anavaa nguo gani ya ndani. Na wanabishana sana. Yaani hasa madogo ambao walikulia mbwinde wakaja mjini basi wao wanachofanya humu JF ni kuonesha...
  6. Mshana Jr badilika, rudi kwenye asili Yako

    Huyu mwamba ni legend kabisa wa masuala ya ushauri, biashara fedha na uchawi. Kwa upande wangu ndio role model wangu hapa JF Ila kwasasa ndugu yetu amebadilika sana. Haanzishi tena nyuzi za ukombozi wa vijana, uchawi na mambo ya nyota sikuhizi anahangaika na na nyuzi za ubunifu wa vifuu vya...
  7. Tupunguze kuwa wakali katika ku-approach nyuzi za watu, hatufanani fikra na maono, wengine ni msaada wanataka ili kuwa bora

    Tunaishia kuwabeza kulingana na uandishi wao. Wengine ni madogo humu , hawana experiences zenu, wanaiona duniani tofauti, so anapoleta kitu, msimamoe katika kumboresha , wengine wapo katika msongo hata anavyoandika unaweza kufikiri mbumbumbu. Na wewe pia unaeleta hoja ya kuomba msaada, kuwa...
  8. Ushauri: Someni nyuzi za watu kwa makini

    Baadhi ya watu humu JF hawasomi nyuzi kwa ukamilifu wake,na ama huanza kuziponda nyuzi au kuuliza maswali,ambayo majibu yake yapo kwenye hizo nyuzi. Baadhi hukimbilia kujifanya wao wanajua hizo nyuzi kuliko hao walioandika nyuzi hizo.Huo ni utoto wa hali ya juu.Soma uzi mpaka mwisho,ukiwa na...
  9. Acha kupoteza muda wako kuandika nyuzi zifuatazo, utakuwa maskini milele!

    Kama wewe ni mtoto wa Elon Musk, usisome uzi huu, haukufai! Kila siku, vijana wengi wanatumia muda mwingi kuandika nyuzi mitandaoni kuhusu mambo yasiyo na faida kwa maisha yao ya baadaye. Kwa mfano mtu anaandika uzi wenye kichwa: “Bibi yako alikuwa na vidole vingapi?” Wengine wanazungumzia...
  10. Hawa ni JF Members maarufu wa ku-comment na ku-like ila wazito kuandika nyuzi.

    1. raraa reree 2. min -me 3. Smart911 4. Anastasia21 5. mrangi 6. Kiranga 7. Tlaatlaah 8. USSR 9. Extrovert 10. Magonjwa Mtambuka 11. Binti Sayuni03 12. leo dada 13. Cocastic
  11. Atheists, leo mtajua hamjui. Jibuni haya maswali—mkishindwa, msilete tena hapa nyuzi za kuhoji uwepo wa Mungu

    You atheists claim there is no God, that the universe is a product of chance, and that morality and purpose need no Creator. You trust science and reason—but have you truly tested your beliefs? Let’s put it to the test—answer these 25 questions. If your atheism is as solid as you claim, these...
  12. Kwanini nyuzi za bizness hazitembei ukilinganisha na majukwaa mengine

    Wakuu Spidi ya nyuzi za jukwaa hili la bzness hauwezi kulinganisha na majukwaa mengine kama MMU, Jit Chat, Mchanganyiko Siasa, Celebrity, Entertainment n.k. Hii kidogo mimi inanishangaza maana tuna bizness community kubwa tu lakini ukiangalia nyuzi nyingi za hapa zinaenda mwendo wa konokono...
  13. Wana-Palestina wanapendaga kujifariji humu ni nyuzi za kuonesha kuwa wana nafuu richa ya kuchakazwa na Israel.

    Kuna mwamba aliwahi kuja na uzi humu akasema "kujifariji sana ni tatizo, utajifariji mpaka uongo" Mfa maji maji utapa tapa, sasa nyie INTIFADA wa matumbe mnatapa tapa kutafuta vijihabari vinavyo onesha mapungufu ya Israel ili tu mtuoneshe kuwa bado mna oxygen, lakini kiuhakika mko very...
  14. Hizi ni baadhi ya nyuzi za Jamii Forums zilizonigusa kwa mwaka 2024, zako ni zipi?

    Leo ni Desemba 31 ikiwa ni siku ya mwisho kabisa ya mwaka 2024. Tunafunga mwaka na kuukaribisha mwaka 2025. Na hizi ndizo nyuzi zangu zilizonigusa kwa mwaka huu 2024… https://www.jamiiforums.com/threads/nape-makamba-kuondolewa-baraza-la-mawaziri.2236892/...
  15. Moderator safi sana, Futeni kabisa nyuzi za ngono na uwasherati, Nyeto, na mambo yote yanayoamsha hisia.

    Kwa hili nawapongeza sana JF, Tena ingieni kabisa kwenye database zenu futeni kabisa mambo ya kula tunda kimasihara. Swali kidogo; Hivi Miss world na world most sexiest woman nani mzuri kusema ukweli ? Nawasilisha.
  16. M

    Kwanini nyuzi nyingi zinazo muunga mkono Mbowe zinaanzishwa na vijana wa CCM na sio wenyewe CHADEMA.

    Inashangaza wana, Mbowe wakuitwa gaidi enzi za Magu, wakuitwa zero wakuitwa muchochezi, mlevi. Leo upande ululeule unakuja na nyimbo mpya za sifa za kinafiki eti Mbowe jembe, mwamba . Nini kimewakuta au kimebadlika?
  17. Tumefikia huku? Inakuwaje wengine tunabaniwa tusione nyuzi za mechi za Utopolo?

    Leo nimeshangaa hadi mechi inaendelea ya Yanga vs Prisons sioni uzi wake. Nikasema labda wamesusia litimu lao. Mara kuna mtu akaanzisha uzi unaohusiana na matokeo ya mechi, nilipoufungua, kumbe mods wameuunganisha, nikapelekwa kwenye uzi rasmi wa mechi ambao kwangu hauonekani. Nikasema mmmh...
  18. JamiiForums Usiku wa manane

    Nimefungua uzi huu kutokana na kuwa na janga la kukata usingizi usiku. Kama na wewe ni mmojawapo naomba tuungane pamoja hapa kwa kuandika ulipo na unafanya nini kwa wakati huo baada ya kukosa usingizi. Muda wa jukwaa ni kuanzia saa 6 usiku mpaka 11 asubuhi. Mimi hapa leo tangu nimeamka nimeamua...
  19. Ni nyuzi zipi unapenda kuzisoma na huwa za member Gani wa JF?

    Binafsi mimi Mshana Jr. Maandiko yake ya kiuchunguzi ya ulimwengu mwingine. Kongole kwa Mshana Jr. Wewe nani anakuvutia hapa JF?
  20. Hakuna Taifa linaloitwa Palestina liliwahi exists tangu dunia iumbwe kumbe

    HALIJAWAI KUWAPO TAIFA LINALOITWA PALESTINA! NI HAKI YA WA ISRAEL KUKOMBOA ARDHI YAO! Kama hujapita shule au kufuatilia historia huwezi Jua haya 1. Kabla ya Taifa Kuundwa Upya na kuitwa Israel (1948) Lilikuwapo Taifa linaitwa British mandate yaan eneo Lilikuwa chini ya Uingereza 1920-1948 wala...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…