nyumbani

The Nyumbani Children's Home was founded by Father Angelo D'Agostino and Sister Mary Owens in 1992 to serve mostly abandoned children created by the AIDS pandemic. Since then, three more programs (Nyumbani Village, Lea Toto and Nyumbani Diagnostic Laboratory) have been added to the organization.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Kuwa makini na usijenge aina hii ya fence nyumbani kwako

    Hizo isolated posts ni rahisi kutumika kama ndoano ya kamba za panya road ili kupanda ukuta na kufanya yao
  2. L

    JamiiForums Tanzania Job Opportunity: Full-Time Nanny Wanted

    POST AQUIRED. a person has been found for the position of the advertised jobs.
  3. JamiiForums Tanzania Sheria inasemaje kuhusu mtu kujitengenezea pombe ya kunywa nyumbani?

    Wakuu Sheria yetu inasemaje kuhusu mtu kujitengenezea hombwa ya kunywa home? Nchi kama US nyumba inaruhusiwa kutengeneza hadi lita 1000 kwa mwaka. Hapa Tz muongozo ukoje? Na vipi mtu akifungua baa na kutengeneza bia yake hapo hapo?
  4. N

    JamiiForums Tanzania Wanandoa wazoefu, Niendelee kurudi nyumbani kula chakula cha mchana au nianze kununua chakula ?

    Nyumbani ni mwendo wa dakika 20, kwahiyo kwenda na kurudi nikijumuisha na kupumzika ni kama saa 1 na nusu. Nikifika wife ananipakulia na kuniandalia meza nile, ni mke wa nyumbani. Kazini kuna restaurant wanayokwenda wenzangu wengi inayouza chakula, gharama sio tatizo Siku pekee ambazo sina...
  5. G

    JamiiForums Tanzania Familia ziko Ulaya, lakini anataka kukinukisha hapa nyumbani Je, nani atabeba machungu ya vurugu?

    Katika siasa, kuna nafasi ya mjadala. Kuna nafasi ya upinzani wa hoja. Na kuna nafasi pia ya kuchochea taharuki isiyo na majibu jambo ambalo linaweza kugharimu maisha ya watu wasiokuwa na hatia. Miezi kadhaa iliyopita, Tundu Antipas Lissu mmoja wa viongozi wakuu wa upinzani kupitia chama cha...
  6. JamiiForums Tanzania Fundi Wiring umeme wa Nyumbani

    Habari wadau humu! Hii kazi unaipa marks ngapi?
  7. JamiiForums Tanzania Una deal vipi na matengenezo ya nyumbani kwako usiyoweza kuyamaliza?

    Ni mimi pekee yangu hili linanitokea au hata kwa wanaume wengine/wababa? Utakuta kwa mfano kuna socket haifanyi kazi nyumbani, baiskeli ya mtoto, mlango au kifaa cha umeme,-kinapoharibika mara nyingi sitafuti fundi. Ninauhakika nitatengeneza kama sijui kutengeneza nitajifunza. Kama ni...
  8. JamiiForums Tanzania Kama unataka kugundua kipaji cha mwanao upande wa compyuta au laptop weka nyumbani kwako utanishukuru baadae

    Sio wote watakao kuja kuipenda compyuta au laptop kwenye matumizi wanayotaka ila inamchango mkubwa kama utajiwekea nyumbani kwako watoto wakitumia. Naeleza ili sababu nimeshuhudia vipaji vingi ambavyo ukifatilia nyumbani kwao walikuwa wamewekewa mfano kama maproduza,wahandisi wa...
  9. JamiiForums Tanzania Ukimya ulivyompa ndoa, endeleeni na kelele mtazalia nyumbani

    PART 16 JINSI UKIMYA ULIVYONIPA NDOA Kwanza pale pale kanisani baada ya kuaga Mama yangu wa kambo na Ndugu zangu wakanifwata na siku hiyo Baba alikuwepo ibadani, akaniambia kila laheri mwanangu Mungu akutangulie, angalau ubadilishe mazingira upate na mwanaume wa Kijijini huko akuoe. Aliongea...
  10. JamiiForums Tanzania Muhammad Nasser aliyekuwa ameshikilia Emily Damari nyumbani kwake naye AANGAMIZWA!!!

    BREAKING: Muhammad Nasser, gaidi wa Kipalestina aliyemshikilia Emily Damari nyumbani kwake huko Gaza, aliangamizwa kwa mafanikio na IDF. Hakuna mahali pa kujificha. Israeli itawapata wote walio Husinka na mauaji ya kinyama Oct 07,2023 === Quneita was a member of Hamas' Al-Furqan Battalions'...
  11. S

    JamiiForums Tanzania Naturally, mbwa hutikisa mkia na siyo mkia kumtikisa mbwa. Kulikoni kwenye kaya yetu?

    Mkia wenyewe wala siyo wa asilia, lkn unaonekana kuyatikisa majibwa. Kila mwanafamilia asilia wa kaya hii anajiuliza, kwann mkia huu bandia unatikisa majibwa kiasi hiki? Majibwa haya yatavumilia mtikisiko huu? Mkia huu bandia umekuwa ukitikisa hata majibwa makubwa ambayo yaliaminiwa hapa...
  12. JamiiForums Tanzania Fanya kunifukuza nyumbani kwako bila kuniambia niondoke!

    Maneno ya direct magumu magumu yanaumiza sana mioyo🤣. NB: Nachukua notes kwa matumizi ya baadae
  13. JamiiForums Tanzania Baadhi ya watoto wa maboss huwanyanyasa kingono wasaidizi wa kazi za nyumbani

    Wasaalam wote. Huenda visa viko vingi ila, vinafichwa na kimoja kati ya hivyo ni kama hiki ambacho, kimefikishwa kwangu kwa ufupi: ...."Nimefanyiwa ukatili na mtoto wa boss kwa kupigwa sana kisa nimekataa kutoka naye kimapenzi. Alinitishia kuniua kwa sababu nimekataa kufanya naye mapenzi...
  14. JamiiForums Tanzania Kura yako ipo kituoni sio nyumbani kwako

    Kuna watu wanajidanganya kwamba bora asiende kupiga kura eti kura yake itakuwa salama.iko hivi usipoenda kuhakikisha kura yako kituoni na kupiga kura Mtu mwingine atakupigia kura kwasababu kuna watu wa Ccm wanamajina yenu na wanawafahamu kuna watu watapewa majina yenu na kwenda kukupigia kura...
  15. W

    JamiiForums Tanzania Hujapitia msoto wa kweli kama hujawahi kuishi nyumba ambayo unajua hawakutaki nyumbani kwao ila tu hauna namna nyingine

    Kama umeishi kwenu au ulikuwa na kwenu penye familia yenu hadi ukaondoka kwenda kuanza maisha yako shukuru sana, watu wengi sana huwa mnachukulia poa kuwa na kwenu lakini ni utajiri mkubwa sana. kuishi nje ya kwenu "YATAKA MOYO" ni bahati kwenda sehemu isiyo kwenu na ukaishi vizuri. Unakaa...
  16. JamiiForums Tanzania Ukienda kufanya zinaa muache mtoto nyumbani

    Unakuta mdada single mother au yupo kwenye ndoa anataka kuchepuka anambeba na mtoto mbaka eneo la tukio. Unamtia mtoto majanaba bila sababu za msingi, unakuta wamekalaza katoto pembeni ya kitanda huku wenyewe wakiendelea na tendo. Mwisho wa siku mtoto amekengeuka unaanza kumtafuta mchawi nani...
  17. JamiiForums Tanzania USA wako mbali sana: Sahivi Tesla inatoka kiwandani ilikotengenezwa hadi nyumbani kwa Mteja bila dereva!

    Ni Tesla tena. Juzi wameshazindua officially huduma ya robotaxi, kwa kuanzia Austin, Texas, ambapo mteja utaita gari like Uber/Bolt hafu itakuja Tesla bila dereva, na kukupeleka unapoenda. Makato juu kwa juu. Sasa sahivi wameenda next level na autonomous driving. Gari ikitoka kiwandani...
  18. JamiiForums Tanzania Kuwaambia wabunge waende nyumbani leo jioni kutaleta political instability

    Hakuna wakati kama sasa katika historia ya nchi hii tokea tulipopata Uhuru ambapo wananchi wamekuwa katika hali ya wasiwasi mkubwa. Wananchi wameshindwa kuelewa Serikali inafanya maamuzi kwa kutumia vigezo gani na wananchi wengi wanakuwa na hofu kuhusu Usalama wao. Ukiwarudisha wabunge nyumbani...
  19. JamiiForums Tanzania BEST HOME TUTORING – Elimu Bora Nyumbani Kwako (primary ,Form One to A-Level)

    Habari wakuu, Katika zama hizi ambapo ushindani wa kielimu ni mkubwa sana, wazazi wengi wamekua wakijitahidi kuwapatia watoto wao msaada wa ziada nje ya shule ili kuhakikisha wanafanikiwa kitaaluma. Ndio maana nawaletea huduma bora inayoitwa Best Home Tutoring – Elimu bora, nyumbani kwako. ✅...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Mashabiki wa Simba hawakumwelewa Ahmed Ally alipowaambia kesho ni mechi ya mwisho Simba kucheza nyumbani na Kagera Sugar, alimaanisha hivi

    Washabiki wa soka nchini ni mtihani mkubwa sana, wana uelewa mdogo sana wa mambo, juzi Ahmed Ally amewaambia washabiki wajazane na familia zao kuwaaga wachezaji kwa sababu itakuwa mechi ya mwisho kwao kucheza nyumbani, wengi wametafsiri kauli hii kuwa Simba inamaliza mechi kesho.La hasha...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…