nyumba

  1. JamiiForums Tanzania Hii inamaanisha nini, BUNDI kukaa nje ya Nyumba zaidi ya Mwezi kila Usiku na haondoki?

    Wakuu wa Jukwaa, leo na mimi nina swali ambalo linakua linanitatiza sana kichwani kwangu kwa muda kidogo sasa. Nimekua napitia hali ya kujiuliza maswali mengi sana juu ya kiumbe hiki kinachoitwa BUNDI. Bundi ni ndege mwenye sifa kede wa kede. Sitaki kuzungumzia sifa za ndege huyu, leo nimeona...
  2. JamiiForums Tanzania Nyumba Inauzwa Bahari Beach Simba/Mugeta st

    Nyumba Inauzwa Bahari beach, Dar es Salaam. Mahali: Mtaa wa Simba/Mugeta. Sifa za Nyumba: *Iko Mita 100 kutoka barabara kubwa ya ununio. *Ina vyumba vitano vya kulala, vyote ni master. *Huduma zote za kijamii zipo. Ukubwa wa Eneo: SQM 1833. Nyaraka: Ina Hatimiliki. Bei: Tzs Milioni 900...
  3. JamiiForums Tanzania Ushauri: Rangi ya kupaka ndani ya nyumba

    Salama wakuu. Naombeni idea ya rangi nzuri ya kupaka ndani ya nyumba. Nimejaribu kuperuzi rangi nyingi mbali mbali nimeshindwa kufika muafaka. Ni rangi gani nzuri ikipakwa ndani panakaa murua. Nategemea kutumia kampuni ya plascon.
  4. A

    JamiiForums Tanzania Wakazi wa maji chumvi walia na uchimbaji haramu wa mchanga unaotishia kuangusha nyumba zao

    Wakazi wa Majichumvi Mtaa wa Tembomgwaza-Kimanga, wilayani Ilala jijini Dar wamefunua vinywa vyao kulalamikia uchimbaji haramu wa mchanga pembeni ya Mto Luhanga unaofanywa na vijana, hivyo kusababisha mmomonyoko unaohatarisha kuanguka kwa nyumba zao. Kwa mujibu wa baadhi ya wakazi wa eneo hilo...
  5. JamiiForums Tanzania Nyumba Inauzwa Goba Lilian Kibo

    Nyumba inauzwa Goba, Dar es Salaam. Mahali: Lilian Kibo kwa Mwakifulefule. Sifa za Nyumba: *Nyumba haijakamilika, imefikia kwenye hatua ya umaliziaji. *Iko mita chache kutoka barabara ya Goba. *Iko upande wa kushoto ukitokea mbezi beach, na upande wa kulia ukitokea mbezi stendi ya Magufuli...
  6. JamiiForums Tanzania Hivi inakuwaje mtu anauziwa kiwanja/ nyumba bondeni ambako hata bajaji haiingii. Ni matatizo ya akili?

    Dar es salaam ukifika huko mbezi juu kuna mahali mtu kajenga nyumba tena zingine za gharama lakini hawezi kuingia nyumbani kwake na gari . Wengine ni pabaya mno hata pikipiki haiingii. Sasa unajiuliza huyu mtu kichwani zipo timamu kweli? Huko Keko nako nimekaa aisee asubuhi mpaka jioni ni kunusa...
  7. JamiiForums Tanzania Njombe: Mvua na upepo mkali vyabomoa na kuezua nyumba tano Makambako

    Soma pia: Bukoba: Zaidi ya nyumba 300 zazingirwa na maji baada ya mvua kubwa kunyesha Mvua yabomoa, kuezua mabati kwenye nyumba tano huko Makambako mkoani NjombeNyumba tano zilizopo Mtaa wa Idofi, Kata ya Mlowa mjini Makambako mkoani Njombe zimeharibiwa baada ya mvua kubwa iliyoambatana na...
  8. R

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Bobi Wine asema nyumba yake imewekwa chini ya Ulinzi na Jeshi baada ya kutishiwa kuuawa na Jenerali Muhoozi

    Kiongozi wa upinzani nchini Uganda, Bobi Wine, amesema kuwa nyumba yake imewekwa chini ya udhibiti wa kijeshi huku Mkuu wa Majeshi ya Uganda, Jenerali Muhoozi Kainerugaba, akimtishia kumuua na kutoa agizo la saa 48 ajisalimishe. Bobi Wine amesema wanajeshi bado wamepiga kambi ndani ya nyumba...
  9. JamiiForums Tanzania Confirmed, Nyumba ya Stevin Wassira ilichomwa moto kwenye MO29

    Mzee wasira alikua na mdomo aswaaa, kwenye kampeini alikuwa anaongea Kwa dharau, kebehi na majivuno. Mungu si Abdul Wala Mchengerwa kwenye MO29, vijana walipiga kiberiti nyumba ya Wasirra. Hii habari nilileta humu watu wakabisha Leo Mzee Butiku amedhibitisha kuwa nyumba ya Wassira ilipigwa...
  10. JamiiForums Tanzania Arusha: Polisi wakanusha taarifa za kuchomwa Kwa nyumba ya polisi

    POLISI WAKANUSHA TAARIFA YA KUCHOMWA KWA NYUMBA YA ASKARI ARUSHA. Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha limekanusha taarifa inayosambaa katika mtandao wa kijamii ikieleza kuwa nyumba ya kiongozi wa Polisi Mkoani humo imechomwa moto. Akitoa taarifa hiyo leo, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Arusha, Kamishna...
  11. JamiiForums Tanzania Kuna nyumba hapa wanachinja kuku na kufanya tafrija Kila wakisikia kiongozi au mke/mume wa kiongozi amefariki

    Hamjambo! 1. Kuna nyumba hapa mwaka mpya na Christmas hawakusherehekea. 2. Hawakupika chakula cha maana. 3. Lakini Kila wakisikia taarifa msiba ya kiongozi wa kiserikali wanafanya tafrija. Wananunua pombe, wanapika chakula kizuri, wanachinia kuku. 4. Wanaweka Muziki. Katafrija kadogo kwa...
  12. JamiiForums Tanzania Hivi wakubwa bado kuna nyumba wanatumia ving'amuzi badala ya streaming kwa kutumia internet kwenye TV?

    Mimi sijalipia king'amuzi mwaka wa tatu sasa huduma nyingi natumia mtandao
  13. A

    JamiiForums Tanzania KERO Wanaochimba mchanga Bunju Dogodogo Centre wanahatarisha maisha ya nyumba zetu, NEMC hawasaidii chochote

    Mimi ni mkazi wa Bunju Dogodogo Centre, kero yangu ni malori ya mchanga kuchimba mchanga bondeni karibu na makazi ya watu. Hali hiyo imekuwa ikihatarisha nyumba za Wakazi kubomoka kwa kupitiwa na bonde linaloendelea kujitokeza. Serikali ya Mtaa imejaribu kila njia lakini bila mafanikio...
  14. JamiiForums Tanzania Fela na Yamoto : Zile Nyumba Ziliishia Wapi?

    Miaka ile meneja wa Yamoto Ndugu Saidi Fela, kuna nyumba aliwajengea/aliwanunulia vijana wake wa Yamoto bendi. Hivi zile nyumba walipewa jumla au zilikuwa geresha tu za Bwana Fela!?
  15. JamiiForums Tanzania Hii nyumba inaweza kufikia gharama za ujenzi kiasi gani?

    Naomba kuuliza wataalamu wa ujenzi hizi nyumba za hivi (kama zinavyoonekana sio kubwa) zinaweza kufikia gharama za ujenzi na finishing kali kiasi gani? nataka nikiwa na pesa kamili au inayokaribia kumaliza nyumba ndo nijenge, vyumba viwili au vitatu vidogo na bati llitolee maji nyuma hiyo...
  16. N

    JamiiForums Tanzania Kazi za kuangalia Nyumba, ulinzi wa Nyumba na pia usafi

    Natafuta kazi za kuangalia Nyumba kama vile usafi nakutuzia Nyumba mpaka pale utakapokuja ikiwa na mtu wa kuangalia, pia kama una chochote kile kulinda hapo Nyumba hapo pia nitakilinda , Miaka mpaka kumi nakaa kuangalia ulinzi na kazi zingine nafanya pia, pia wenye hotel naangalia mazingira...
  17. JamiiForums Tanzania Wachina wakamatwa maeneo ya Oysterbay wakiwa na takriban Tsh. Bilioni 6 taslim zikiwa zimefichwa ndani ya nyumba

    Leo majira ya saa 5:30 asubuhi, Uongozi wa Serikali ya Mtaa wa Oysterbay, ukiongozwa na Mwenyekiti wa Kamati ya Ulinzi na Usalama, umefanikiwa kuwatia mbaroni raia wa kigeni wenye asili ya Kichina wakiwa na kiasi cha takriban Tsh. Bilioni 6 taslimu. Fedha hizo zilikutwa zimefichwa katika...
  18. JamiiForums Tanzania Ramani ya nyumba

    Habari,ebana samahani, unaweza ku forge hii nyumba? Nemtafuta engineer aliedesign Hiyo duu ana matusi kweli kweli.. Nisaidie ea kuforge ramani ya hii nyumba pls
  19. JamiiForums Tanzania WALE WENYE NYUMBA NYINGI NIMEKUJA NA Solution

    WALE WENYE NYUMBA NYINGI NIMEKUJA NA Solution fanya hivi 1. Kama bebe 😍 wako anapenda kukagua simu na ww huwezi kuwa na mtu mmoja ushazoea kutangatanga 2. Piga hii code *33*0000# hii code inaitwa code ya call bairing ukipiga hiyo itazuia message na calls zozote kuingia kweny lain yako...
  20. JamiiForums Tanzania Rais ni mwanasiasa sio Mungu inapaswa achukuliwe kama mjumbe wa nyumba kumi au mbunge mitizamo hasi juu ya Rais ni kichocheo cha matatizo

    Rais ni mwanasiasa sio mungu inapaswa achukuliwe kama mjumbe wa nyumba kumi au mbunge mitizamo hasi juu ya rais ni kichocheo cha matatizo. Rais ni mwanasiasa yule ni sawa na mbunge tuwekeni mizania sawa ili kuwepo na uwajibikaji rais atumike na sio atumikiwe. Mfano uchaguzi wa oct 29 kwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…