nyumba

  1. JamiiForums Tanzania Hamisi Shaban Taletale aka Babu Tale, fanya hima ujenge kwenu hii nyumba ni aibu kuu

    Aibu sana unasema unanyumba 5 ila nyumba ya kwenu haieleweki ni aibu kubwa sana mimi nilijua ulivokuwa unatunishiana misuli na ruge basi umejiwekeza kumbe hamna kitu?? Maana dar kwenye unahisi nyumba ya kupanga mikocheni TANZIA - Shamsa Tale, mke wa Meneja wa Diamond Platnumz (Babu Tale)...
  2. JamiiForums Tanzania Njombe: Kijana ajinyonga kwa kutumia shuka ndani ya nyumba

    Kijana anayefahamika kwa jina la Chesco Mtega mwenye umri wa miaka 19 mkazi wa kitongoji cha Kanisa A Kijiji cha Ludewa,wilayani Ludewa mkoani Njombe amegundulika amejinyonga kwa kutumia shuka lililofungwa juu ya kenchi na shingoni mwake ndani ya nyumba,huku sababu zikitajwa ni kutokana na...
  3. JamiiForums Tanzania Matumizi ya Bendera ya Taifa kwenye makazi binafsi

    Happy Saba saba day! Niende kwenye mada,Watanzania tuna bendera yetu ya taifa,na nimeona watanzania wengi wakiweka bendera za taifa kwenye magari yao,makanisa yao,ofisi zao nk na wengine kupewa bendera wanapoenda nje ya nchi hasa wasanii. Nauliza je ninaweza kuweka mlingoti wenye bendera ya...
  4. 1

    JamiiForums Tanzania Nahitaji nyumba ya kununua Dodoma iwe ndani ya eneo la meta za mraba 1000 kwenda juu

    Waugwana habari za majukumu. Ninauhitaji wa nyumba kama nilivyoeleza hapo kwenye kichwa cha habari. Lakini kuna sifa ya ziada ambayo hiyo ndo itakuwa kivutio kwa Mimi kufanya manunuzi. Sifa hiyo ni nyumba hiyo wakati tunafanya biashara iwe inaendelea kuingiza pesa { iwe na mpangaji ama...
  5. JamiiForums Tanzania Mmewatesa, kuwanyanyasa na kuwatweza lakini Mioyo yao bado imara. Fundisho

    Hakika ukiangalia haka ka clip kafupi moyo lazima ukusisimke na kujiuliza hawa viongozi wana upendo kiasi gani baada ya kupitia machungu na manyanyaso kiasi hiki kwa miaka mitano? Hakika Chadema ni mpango wa Mungu na kuwaacha hawa na kuchagua wale wajisifiao na kulazimisha kuabudiwa ni sawa na...
  6. J

    JamiiForums Tanzania House4Sale Nyumba inauzwa Mapinga Kerege

    Hii ni nyumba ya kuishi na familia, inauzwa ipo Mapinga-Bagamoyo Road kwa bei ya Tsh. 18,000,000 (Milioni 18) lakini majadiliano yanaruhusiwa. Nyumba ina vyumba vitatu vya kulala ikiwemo Masta, jiko, bafu, seble kubwa kwa ajili ya kulia na kupumzika, pia ina uwanja mkubwa kwa mbele. Masiliano...
  7. JamiiForums Tanzania Kwa mwenye mahitaji ya nyumba za kupanga na kununua Mbezi

    Nyumba inapangishwa ina vyumba 2 ipo mbezi beach 350000. Call 0684709045 0629350247. Tunachaji view fees kwa ajili ya kuona nyumba ni shs 20000.kodi ya mwezi moja.
  8. S

    JamiiForums Tanzania Picha ya nyumba anayoishi Mbowe ikionyesha ngazi za nyumba hiyo ni muhimu ikawekwa hadharani

    Mimi nafakiri picha inayoonyesha mazingira ya nyumba anayoishi Mbowe hasa ngazi za nyumba hiyo zilivyo ni vizuri zikawekwa wazi na kama anaishi gorofani, basi ielezwa alikuwa anaishi gorofa ya kwanza au ya pili au ya tatu,n.k ingawa naamini nymba hiyo haiwezi kuzidi gorofa mbili au tatu...
  9. JamiiForums Tanzania House4Sale Nyumba inauzwa mil90 ipo Mbezi ya Kimara jirani na Stand Kuu Mpya

    Nyumba yenye vyumba 5 ikiwa kwenye hali nzuri. Ina uwanja mbele na nyuma Mita za mraba 1500 Inauzwa mil 90 maongezi yapo Karibuni simu 0768412181 Mbezi Kimara
  10. S

    JamiiForums Tanzania Nyumba ya KUB Mbowe ina CCTV, zinaweza kutoa ushahidi kama alianguka au alivamiwa

    Ni aibu kwa bunge badala ya kujadili bajeti ya nchi, linatumia siku mbili kujadili tukio la kuvamiwa Mbowe. Cha kusikitisha hawajadili namna ya kumsaidia mbunge mwenzao bali wanapiga majungu. Jana Msukuma kasema Mbowe alikuwa anakunywa Konyagi Kubwa (Faru John) na ndio iliyopelekea kuanguka na...
  11. JamiiForums Tanzania Kuongezwa muda wa Urais: Askofu Emmaus Bandekile awaonya Rais Magufuli na Spika Ndugai

    Nimemsikia Mbunge mmoja akiongea Bungeni akitaka Bunge libadilishe Katiba ya Nchi ili kumfanya Rais Magufuli aendelee kutawala hata baada ya kumaliza kipindi chake cha kikatiba cha miaka 10. Kama hilo halitoshi, Spika Ndugai amesikika akimhakikishia Mbunge husika kuwa kazi hiyo ya kubadilisha...
  12. S

    JamiiForums Tanzania Ndoto yangu usiku wa leo: Wale ndege aina ya "njiwa' walitolewa kama zawadi ili kuwaziba midomo waliopewa huko katika Bara fulani la mbali

    Usiku wa kuamkia leo nimeota kuwa kuna mfalme mmoja katika nchi ambayo jina limenitoka, katoa zawadi ya njiwa wazuri kwa watu mashuhuru katika sherehe aliyoiandaa kwa yeye kutimiza miaka kadhaa ya kuzaliwa (Birthday). Nilijiuliza sana maana ya ile ndoto na baada ya kutafakari kwa kina...
  13. JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu akabidhi nyumba 103 kwa Idara ya Uhamiaji Dodoma

    WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ameikabidhi Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi nyumba 103 zenye gharama ya zaidi ya sh. bilioni tano kwa ajili ya makazi ya Maafisa na Askari wa Idara ya Uhamiaji nchini zilizojengwa na Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) katika eneo la Iyumbu jijini Dodoma ikiwa ni...
  14. JamiiForums Tanzania House4Sale Nyumba mpya ya kisasa inauzwa DSM Madale Mwisho 21,000 (48,000,000)

    NYUMBA MPYA YA KISASA INAUZWA DSM-MADALE MWISHO $21,000 (48,000,000) Karibu wadau "Hii ni nyumba mpya kama inavyoonekana kwenye picha Ipo Dar es salaam - Madale mwisho..barabara ya kuelekea MBOPO (Njia panda ya Msumi-Mbezi). Bei ni dola $21,000 au Milioni 48 za kitanzania )..(Maongezi kidogo...
  15. JamiiForums Tanzania Ni Kitu gani ulitokea ukakipenda/ unakipenda kwenye nyumba za kupanga?

    Habari za jumapili wana jf wote yamkini wote tumeamka salama. Nyumba za kupanga zina karaha yake na sio muda wote tunazichukia, na Kuna muda tunazipenda pia je? Ni kipindi gani ulitokea kuzipenda yani muda huo!
  16. S

    JamiiForums Tanzania House4Rent Nyumba inapangishwa Tegeta Masaiti

    Nyumba inapangishwa Tegeta Masaiti 1km kutokea Kibo complex na pia 1km kutokea nyuki sokoni. Nyumba ina vyumba 2, sebule, dining, choo na bafu. Nje ina servant house ya vyumba viwili na mabanda ya kuku mawili yenye uwezo wa kufuga kuku broiler, kienyeji/ bata au sungura. Eneo zima...
  17. N

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Kiwanja kinauzwa, Mkundi Morogoro, 945 meter square

    Hello
  18. I

    JamiiForums Tanzania House4Rent Nyumba bora za Ghorofani za kupanga za kisasa zinapangishwa Kinondoni

    Nyumba nzuri na zina mvuto na mwonekano mzuri wa kupendeza zikiwa na vyumba viwli vya kulala, jiko, sebule na mahala pa kula. Kodi TZS 750,000 kwa mwezi. Kuziona piga simu au whatsapp +255755312233
  19. JamiiForums Tanzania Msaada: Taratibu za namna ya kujenga nyumba ya kisasa ya mbao

    Habarini ,wakuu Naomba msaada kwa wale wenye uzoefu/walio na ujuzi na pia waliofanikisha ujenzi wa Nyumba za mbao ,,mfano mzuri Nyumba za wenzetu wa ulaya, wanipe msaada na maelekezo juu ya mahitaji muhimu ya kuanzisha ujenzi huu, mazingira yanayofaaa kujenga.. Nimeamua nianze ujenzi huu...
  20. JamiiForums Tanzania Nyumba (Boma) inauzwa Ituha-Mbeya Mjini kwa Shilingi 10.5 Milioni

    -Nauza nyumba yangu, ambayo bado sijaezeka (boma limeshafika kwenye lenta), ina vyumba viwili (kimoja ni master), pamoja na sebule, -Nyumba (Boma) Ipo barabarani kabisa, ni umbali wa kilomita 1 kutoka Ituha mwisho wa lami. -Saizi ya kiwanja ni 20m kwa 20m, nyumba iko ituha-mbeya, karibu kabisa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…