nyumba

  1. M

    Kwa yeyote anayehitaji nyumba ya kupanga

    Kuna mtu ana nyumba mbili moja karibu na nyingine Buyuni, Chanika. Ni self-contained, na kila moja ina eneo la kutosha. Ni karibu na maeneo yafuatayo: Hospitali binafsi ya Tikaya (ina huduma za kawaida na kibobezi), soko la Buyuni, na ni karibu na usafiri wa kwenda au kutoka mjini. Kwa yeyote...
  2. D

    Kwa Mahitaji ya Nyumba, Vyumba Frem Dar es salaam

    Nimerudia Kazi Yangu Jasiri haachi asili! Nimerudi rasmi kwenye kazi yangu ya udalali kwa nguvu mpya na uaminifu ule ule. Karibuni sana kwa huduma bora na zenye uhakika. Ninapangisha: Nyumba Vyumba Fremu za Biashara Eneo: Jiji zima la Dar es Salaam (kwa haraka zaidi maeneo ya Mbezi...
  3. Ukiwa na milioni 50 utajenga nyumba au ufanye biashara upate faida NDO ujenge?

    Ukiwa na milioni 50 utajenga nyumba au ufanye biashara upate faida NDO ujenge?
  4. NYUMBA YA GHOROFA 5 INAUZWA,IPO MAGOMENI MOROCCO DARESSALAAM TANZANIA,UKUBWA WA KIWANJA 2,850SQM,BEI NI TSH BILLION 1.5

    #houseforsale YA KWANZA KUTOKA BARABARA YA LAMI NYUMBA YA GHOROFA TANO (5) INAUZWA IPO MAGOMENI MOROCCO DARESSALAAM INA APARTMENT NANE (8) ZA VYUMBA VIWILI,SEBULE,JIKO&CHOO PIA INA APARTMENT MOJA YA VYUMBA VINNE,AMBAYO IKO JUU FLOOR YA MWISHO INA FRAME NNE (4) NA ZOTE ZINAFANYA...
  5. NYUMBA NZURI SANA INAUZWA,IPO IYUMBU DODOMA,UKUBWA WA KIWANJA NI 1500 SQM,BEI NI MILLION 350 TSH,

    A House to Call Home – For Sale! 📍 Location: Iyumbu , Dodoma 📐 Plot Size: 1,500 SQM 🏠 Structure: 5 Spacious Bedrooms Servant Quarters (Self-contained) Large Living Room Dining Area Kitchen + Store Study Room Garden & Ample Parking 💰 Goes Cheap! A rare opportunity for a serene home or...
  6. NYUMBA INAUZWA,IPO IYUMBU DOODOMA,BEI NI MILLION 350,NYUMBA NI NZURI SANA NA IPO MTAA MZURI KABISA, 0758844717

    A House to Call Home – For Sale! 📍 Location: Iyumbu , Dodoma 📐 Plot Size: 1,500 SQM 🏠 Structure: 5 Spacious Bedrooms Servant Quarters (Self-contained) Large Living Room Dining Area Kitchen + Store Study Room Garden & Ample Parking 💰 Goes Cheap! A rare opportunity for a serene home or...
  7. "CONTEMPORARY DESIGN (HIDDEN ROOF) ni chaguo kali sana – inakupa nafasi kubwa ya ubunifu na kuifanya nyumba yako iwe ya kipekee. Ila ujue ni ghali

    "CONTEMPORARY DESIGN (HIDDEN ROOF) ni chaguo kali sana – inakupa nafasi kubwa ya ubunifu na kuifanya nyumba yako iwe ya kipekee. Ila ujue, gharama yake ni juu kidogo kulinganisha na za kawaida!" check out this 4bedrooms with balconies call/whatsap us +255624004650 design and construction...
  8. NYUMBA YA NDOTO YAKO UNAIPATA HAPA ,ANGALIA DESIGN AND BUILD YA HII MANSION KALI YA 5BEDROOMS WITH CINEMA ROOM

    TUNAFANYA KAZI NZURI FROM DESIGN TO UJENZI TUNAPATIKANA SINZA DAR ES SALAAM CALL/WHATSAP +255624004650
  9. U

    "Makalio yanaongeza kiburi ndani ya nyumba" Pastor Bosco

    Ni maneno ya Pastor Bosco Tungaraza kupitia HamasikaTV
  10. Chukua hizi tips za ujenzi kuhusu Kuezeka nyumba za contemporary

    Tips za ujenzi Leo nawapa hii kuhusu kuezeka nyumba za contemporary 1.Bati zivaane migongo 3 ( kwa upana) 2. Overlap bati na bati kwa urefu isipungue cm 30 3.Weka treatment nzuri ya waterproof kati ya bati na ukuta 4.Gata ya zege ya kukusanyia maji iwe treated na waterproof na iwe pana...
  11. Nyumba Inauzwa Tabata Liwiti Misewe B

    Nyumba inauzwa Tabata. Mahali: Misewe B, Liwiti. Sifa za nyumba: •Ina vyumba vya kulala 3 na master 1. •Ina sehemu ya chakula(dining), sebule, jiko na stoo. •Ina korido kubwa ya ndani na baraza ya nje kubwa. •Ina umeme, maji pamoja na simtank ya 2000ltr. •Ina sehemu ndogo ya nje ndani ya geti...
  12. Nyumba Inauzwa Kimara Temboni

    Nyumba Inauzwa Kimara. Mahali: Kimara Temboni, Mtaa wa Mtakuja. Sifa za Nyumba: •Ipo km 1 kutoka barabara kuu ya Morogoro. •Ina chumba chenye choo ndani, sebule na jiko. •Ina mpangaji analipa kodi sh. 300,000 kwa Mwezi. •Ina eneo kubwa mbele. •Usafiri wa aina zote unafika mpaka kwenye nyumba...
  13. Nyumba Inauzwa Goba Kwa Robert

    Nyumba Inauzwa Goba. Mahali: Goba Kwa Robert. Sifa za Nyumba: *Ni nyumba mpya anakaa mlinzi tuu. *Ina vyumba vinne vikubwa, kila chumba kina choo chake. *Ina Spanish tiles. *Madirisha ni pvc. *Ina fence(uzio). *Ina vyoo(toilets)5. *Umeme na maji yapo. *The house is new, no one has lived in...
  14. Nyumba Inauzwa Bahari Beach Ununio

    Nyumba Inauzwa Bahari beach, Dar es Salaam. Mahali: Mtaa wa Simba/Mugeta. Sifa za Nyumba: *Iko Mita 100 kutoka barabara kubwa ya ununio. *Ina vyumba vitano vya kulala, vyote ni master. *Huduma zote za kijamii zipo. Ukubwa wa Eneo: SQM 1833. Nyaraka: Ina Hatimiliki. Bei: Tzs Milioni 900...
  15. Nyumba na gari ya kukodi kipindi hiki cha CHAN Zanzibar

    Kwa heshima na taadhwima wakubwa kwa wadogo napenda kuwaarifu kua endapo mtu au watu watataka nyumba za faraghq na sio hoteli kwa kipindi hiki cha CHAN kwa Zanzibar anitafute utakodishwa kwa bei rafiki kabisaa Nyumba zipo full furniture unakuja wewe na nguo zako tu Karibuni
  16. House4Sale House for sale, located at Mbweni mpigi Daressalaam Tanzania,price tsh 670m

    #houseforsale GOROFA LINAUNZWA INA VYUMBA VITANO VYA KULALA NA BYCOTA ENEO SQMT 1200 OFFER MILLION (670) MAONGEZ HAT IMENYOOKA LOCATION LOCATED AT MBWEN MPIGI 🇹🇿Call/WhatsApp +255758844717
  17. Nyumba Inauzwa Goba Lilian Kibo

    Nyumba inauzwa Goba, Dar es Salaam. Mahali: Lilian Kibo kwa Mwakifulefule. Sifa za Nyumba: *Nyumba haijakamilika, imefikia kwenye hatua ya umaliziaji. *Iko mita chache kutoka barabara ya Goba. *Iko upande wa kushoto ukitokea mbezi beach, na upande wa kulia ukitokea mbezi stendi ya Magufuli...
  18. Tanzania ina uhitaji wa zaidi ya nyumba milioni 26 ifikapo 2050

    Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam Tanzania inauhitaji mkubwa wa nyumba kutokana na kasi ya ukuaji wa miji nchini ambapo inakadiriwa kuwa na mahitaji ya nyumba 26,840,909 ifikapo 2050 ili kukidhi mahitaji wa watu milioni 118.1. Akizungumza na waandishi wa Habari mara baada ya kufungua semina...
  19. ChatGPT sio wakuwaamini, kwamba nyumba ya mfalme wa Saudia imegharimu trillion 1.5 US Dollars??? 😳

    Au wamechanganyikiwa kumbe ndonimeanza kuamini kuwa sio Kila kilichopo mitandaoni cha kuamini nahisi hizi figure Wali wrong. Haiwezekani nyumba tu iwe bei mara tano ya utajiri wa Elon Musk. Hivi wanaijua dollar trillion hawa 🤣🤣🤣 Kwa maana hiyo ni matajiri Sasa kuliko Elon Musk ambae ni tajiri...
  20. Tusio na nyumba tukutane hapa

    Mimi kama raisi wa ma jobless pro max, nime ona niitishe kikao hiki cha dharura. Lengo la kuitisha kikao hiki ni kujua idadi ya ma jobless tusio na nyumba , maana humu jf kila niki zunguka kila mtu ana nyumba au mjengo mkali na wa maana. tuki ijua idadi yetu, tuna weza tuka ungana kuweka...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…