nyumba

  1. JamiiForums Tanzania Usanifu wa Majengo: Kwanini ni muhimu nyumba/ Ramani kuakisi hali ya hewa ya mahali husika?

    Kuna ombwe kubwa la ufahamu katika jamii yetu hususani kwenye suala la ujenzi. Nani ni nani na anafanya nini kwenye ujenzi? Hii nitaleta mada yake siku za usoni. Twende kwenye mada! Kuna baadhi yetu nyumba zetu hugeuka makaburi wakati wa joto ila feni hugeuka mkombozi huku tukiomba Tanesco...
  2. JamiiForums Tanzania Geita: Watu 6000 wavamia nyumba ya mtu ili kuchimba dhahabu

    ENEO la nyumba ya mkazi wa Kijiji cha Nyambogo Kata ya Nyakafuru Halmashauri ya Wilaya ya Mbogwe mkoani Geita limevamia na watu zaidi ya 6,000 kwa ajili ya kusaka madini ya dhahabu. Makundi mbalimbali ya watu kutoka maeneo kadhaa yamefika kijijini hapo kwenye nyumba hiyo, baada ya mwanakijiji...
  3. JamiiForums Tanzania Marekani: Kimbunga Ida chapiga New Orleans, nyumba zaidi ya Milioni 1 hazina umeme

    Zaidi ya nyumba Milioni moja Jijini New Orleans hazina umeme kutokana na Kimbunga Ida. Hadi sasa kifo kimoja kimeripotiwa baada ya mti kuangukia nyumba Rais wa Marekani, Joe Biden amesema Kimbunga Ida kitakuwa tishio na upo uwezekano wa uharibifu mkubwa. Ametangaza janga kubwa katika Jimbo la...
  4. JamiiForums Tanzania Mliofanikisha kujenga nyumba, Tupeane uzoefu hapa

    wakuu natumai hamjambo! Kama jinsi ilivyoada, kila mtu anatamani kuwa na mahali pake binafsi pa kuishi yeye na family yake, ingawa kwa upande mmoja kwa baadhi ya watu hili suala si changamoto kwao kwa sababu ya uzoefu ama mfuko umekaa njema kiuchumi, lakini kwa upande mwingine kwa watu aina...
  5. JamiiForums Tanzania Ni masharti gani ya ajabu uliwahi kukutana nayo nyumba ya kupanga?

    Mimi niliambiwa kama nataka kulewa home nataka kumnunulia mama mwenye nyumba bia zake ili anipe kibali. Wewe ulikutana na sheria ipi ya ajabu?
  6. JamiiForums Tanzania Zanzibar: Rais Mwinyi avunja Bodi ya Shirika la Nyumba

    Rais wa Zanzibar, Dkt. Hussein Ali Mwinyi ametangaza kuvunja Bodi ya Shirika la Nyumba kuanzia leo Agosti 27, 2021 Vilevile, Dkt. Mwinyi ambaye pia ni Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi amevunja Bodi ya Uhaulishaji Ardhi Visiwani humo.
  7. JamiiForums Tanzania Upanga, Dar: Nyumba aliyodaiwa kuishi aliyewashambulia Polisi yazingirwa na Jeshi la Polisi

    Hii ndio taarifa mpya inayozunguka mitandaoni kwa sasa, bila shaka jeshi la Polisi linahitaji kufanya upekuzi kwenye nyumba hiyo ili kukusanya ushahidi zaidi na labda kujiridhisha kama kuna magaidi wengine kwenye nyumba hiyo au la. Ngoja tuendelee kutega sikio
  8. C

    JamiiForums Tanzania House4Sale Pata nyumba za bei rahisi

    Kwa Nini ukose nyumba mjini?.Pata nyumba za bei rahisi zote zinapatikana eneo la Mbezi malamba kituo mzalendo ni buku tu kwa bajaji kutoka mbezi stand (Bei na maeelekezo vipo kwenye picha). Vilevile kuna viwanja vya kuanzia Milioni 2 kwa mita kumi kwa kumi na unakatiwa kulingana na hela yako...
  9. S

    JamiiForums Tanzania House4Sale Nyumba inauzwa Pugu Station

    Nyumba inauzwa ina vyumba vitano,gharama ni Tsh.19,000,000/= , ipo Pugu Kigogo Fresh/Pugu Station . Ina Sebule ,master moja, choo cha ndani ,vyumba vitatu vya kawaida.Karibuni maongezi ya bei yapo. Eneo ni 215 sq m. Mawasiliano 0744992266 au 0789581889
  10. JamiiForums Tanzania Nyumba yetu inazidi. Rais onyesha uwepo wako, Uwezo Wako Anza na Wale Marrionates Wote Wawili Pale Wapumzishe. The Drama King wa Pinga Chanjo Apuuzwe

    Wanabodi, Kama kawaida yangu, kila nikipata fursa huja na zile makala zangu Kwa Maslahi ya Taifa, ambazo huchapishwa na gazeti la Nipashe la kila siku za Jumapili. Wajameni, ni mimi tuu au na wengine, naona kama Nyumba yetu inazidi makelele, jee tumshinikize Mama aonyeshe uwepo wake, kwa...
  11. JamiiForums Tanzania TRA: Nyumba za nyasi hazitatozwa

    My Take Ndugu wananchi kama mnaona huyu mama hafai,acheni kulalamika.mwambie atoke
  12. JamiiForums Tanzania Kwamba Serikali ya Tanzania haiwafahamu wenye nyumba kiasi cha kumkata mpangaji kodi ya Majengo ni uongo wa kiwango cha chini sana na ni wizi

    Kodi ya Majengo imelipwa ndani ya nchi hii kwa miaka na miaka , kwa kipindi kirefu ililipwa kwenye Halmashauri na kuwa mapato ya Halmashauri husika ili kusaidia miradi mbali mbali , mimi mwenyewe nina nyumba 2 kwenye halmashauri ya Temeke , nafahamu ninachoandika , Jina langu linafahamika vema...
  13. JamiiForums Tanzania Wabunge wasio na huruma waliamua tuwalipie kodi wenye nyumba

    Kwamba kwa nyumba za kawaida tutakatwa buku kila mwezi. Waliopanga kwenye magorofa buku tano. Hivi hawa wabunge ni wawakilishi wa wa wananchi? Hakuna jinsi wacha tuwalipie kodi wenye nyumba.
  14. JamiiForums Tanzania Donda House, nyumba aliyoishi Kanye West akiwa mdogo

    Msanii Kanye West kupitia mtandao wake wa Instagram amepost picha ya nyumba yao ya zamani alikuwa akiishi pindi akiwa mdogo Na tukumbushane tu kuwa nyumba hii ndio ile ambayo aliinunua mwaka jana 24 April kwa Dollar za kimarekani ($225,000) kwa mujibu wa kanye west mwenyewe anasema nyumba hii...
  15. S

    JamiiForums Tanzania Je, hii ni hali ya kawaida kwa wale wenye uzoefu?

    Saalam! Wahenga walisema mficha maradhi kifo humuumbua, nami leo nimeona niweke wazi mambo yangu ili niweze kusaidiwa kupitia jukwaa hili ambalo kwangu limejipambanua kuwa suluhisho la matatizo mbalimbali katika jamii. Nisiwachoshe ndg wasomaji niende moja kwa moja kwenye lengo mahususi. Mimi...
  16. JamiiForums Tanzania Wapangaji waijulishe TRA kuwa nyumba si zao ili TRA isifanye kosa kuwatoza kodi ya jengo

    Ili kuondoa mgogoro kati ya mwenye nyumba na mpangaji TRA iwatake wapangaji wapeleke namba zao za mita na kuiwezesha TRA iwaondoe kwenye kulipishwa kimakosa. Hata hivyo tatizo litabaki pale mwenye nyumba na mapangaji wanatumia mita moja ambapo mwenye nyumba atalazimisha wapangaji walipe kodi ya...
  17. K

    JamiiForums Tanzania Kwanini nadhani umeme kijijini hautawashwa Japo nyumba Zina umeme?

    Natafakari tu kwamba REA wamepeleka umeme vijijini lakini wananchi awautumii, waliweza kumudu kuwasha taa chache ndani na kwa muda mfupi saa yaani saa moja Hadi saa nne usiku then ukipita vijiji vingi saa tano utadhani umeme hakuna. Wakati wanawasha taa chache kwa muda mchache walikuwa...
  18. JamiiForums Tanzania Serikali ilisema inakata tshs 1000 tu kwa nyumba za kawaida wamekata tshs 2000

    Jamani tupate mrejesho kwa walionunua umeme mmekatwa ngapi? Tozo za Kodi ya nyumba jamani tuliambiwa Ni tshs 1000 Sasa nimekatwa tshs 2000 naambiwa Ni debt collected. Naona kazi imeanza, kwa staili hii unaweza katwa tena hivi shida Ni nini serikali yetuu...Zamani nilikuwa nawaombea Sana...
  19. JamiiForums Tanzania Afghanistan: Taliban 'wafanya msako wa nyumba kwa nyumba' Umoja wa Mataifa umeeleza

    Taliban wako kwenye operesheni ya kuwatafuta watu waliofanya kazi kwa vikosi vya Nato au serikali ya zamani ya Afghanistan, waraka wa Umoja wa Mataifa umeeleza. Usema wapiganaji hao wamekuwa wakienda nyumba kwa nyumba kuwatafuta wanaowalenga na kuzitishia familia zao. Kundi hilo lenye msimamo...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Vipi matumizi ya solar power na makato ya kodi ya nyumba?

    Vipi matumizi ya solar power na makato ya kodi ya nyumba? Serikali naona imeamua kufanya jambo lenye faida huku likiwa na uonevu uliokithiri! Hivi inakuaje kwa mmiliki mwenye vijumba vidogo mfano vitatu kwenye hati moja ya nyumba! Ambayo alirahisisha kwa ku-request meter luku zaidi ya moja...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…