nyumba

  1. K

    JamiiForums Tanzania Tanzania ndiyo inarudisha nyumba ukanda mzima kwenye haki (Kenya -Africa kusini)

    Tanzania kwasababu ni kati ya nchi kubwa kwenye ukanda wa bahari hindi kutoka Kenya mpaka South Africa kwa masikitiko makubwa ndiyo tunarudisha nyuma jitihada za maendeleo kwa kuzuia demokrasia nchini kwetu tena ni watu wachache tu. Tanzania ingekuwa nchi ya demokrasia nzuri na katiba nzuri...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Nina Milioni hamsini, naweza kujenga nyumba Dar?

    Wakuu hbr za majukumu, Nina milioni 50, nataka ninunue kiwanja milionin 15, afu milion 30, nijenge nyumba vyumba vitatu, Vipi wadau ntatoboa kweli?
  3. A

    JamiiForums Tanzania KERO Baa ipo Manzese inapiga mziki kwa sauti kubwa hadi nyumba zinatikisika, tukiripoti hakuna hatua zinachukuliwa

    Kero yangu kubwa ni hapa Manzese Bar ya Kwa Mkwere wanafungua sana mziki kwa sauti ya juu mpaka nyumba zinatetemeka. Wanapiga kuanzia jioni mpaka asubuhi, ni miaka zaidi ya mitano sasa tunakosa usingizi, tukiripoti hakuna hatua zinazochukuliwa.
  4. JamiiForums Tanzania Vitu vya kuzingatia unapojenga nyumba ya makazi kwenye eneo lenye udongo wa mfinyanzi

    vitu vya kuzingatia unapojenga nyumba ya makazi kwenye eneo lenye udongo wa mfinyanzi Udongo wa mfinyanzi (clay soil) ni mgumu kujengea kwa sababu huvimba ukiwa na maji na kusinyauka ukikauka. Hii husababisha nyufa kwenye kuta na msingi. Haya mambo 8 muhimu ya kuzingatia ukijenga kwenye udongo...
  5. JamiiForums Tanzania Fundi wa kukarabati nyumba ya zamani iwe ya kisasa

    Habari. Nina nyumba ina vyumba vitatu vta kulala, dining, siting room na public toilet. Nahitaji fundi anayeweza Kuikarabati iwe ya kisasa kidogo maana lengo langu ni kupata master na jiko moja upande mwingine anitengenezee master jiko na sebule kama itawezekana. Ahsante. Eneo liko Dar es...
  6. A

    JamiiForums Tanzania KERO Nyumba 2,450 zilibomolewa Mitamba-Kibaha, CAG kaibua upigaji wa Halmashauri eneo hilohilo, je, hatukutendewa haki?

    Mimi ni Mwananchi kutokea Pwani, Wilaya Kibaha kero yangu ni kuwa ninachukizwa na ukiukwaji na ukatili tuliofanyiwa na Serikali kuvunja nyumba takribani 2,450 wakidai ni wavamizi waliovamia pori maeneo Mitamba Kata ya Pangani kisha wakapima maeneo na kuuzia watu wengine. Juzi tunasikia Ripori...
  7. JamiiForums Tanzania Una miaka zaidi ya 65, unajenga nyumba ya nini?

    Huu ni umri wa kupumzika na kutafakari yale yote uliyoyatenda katika ujana wako, kuanzia kimasomo, kimaisha, kikazi n.k Ni umri ambao hauna tija tena katika uzalishaji; ndio maana wengi wakifikia huo umri hulazimishwa kustaafu. Swali, ni wangapi wako tayari kustaafu wakifikia huo umri...
  8. JamiiForums Tanzania Baba Levo: Nataka V8 ya Tsh. Milioni 270 ila siwezi nunua gari hela yote wakati Wananchi nyumba zinaanguka

    Baba Levo amesema anataka V8 ya Tsh. Milioni 270 ila siwezi nunua gari hela yote wakati Wananchi nyumba zinaanguka.
  9. JamiiForums Tanzania Dkt. Tulia amkabidhi nyumba mwananchi mwenye uhitaji jimbo la Uyole

    Aprili 2, 2026 Mkurugenzi wa Taasisi ya Tulia Trust ambaye pia ni Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani(IPU) na Mbunge wa Jimbo la Uyole Mhe. Dkt. Tulia Ackson amesema nyumba zinazojengwa kwaajili ya watu wenye uhitaji zinajengwa kulingana na mahitaji ya familia husika. Dkt. Tulia ameyasema hayo...
  10. JamiiForums Tanzania Meya Kinondoni: Wamiliki wa Swimming kwenye hoteli na nyumba binafsi watalipa laki 1 ya Usajili na 50, 000 kila baada ya miezi 6

    Akizungumza katika mahojiano na Millard Ayo Meya wa Manispaa ya Kinondoni, Songoro Mnyonge, ameendelea kushikilia msimamo wa kutoza ushuru na ada ya usajili kwenye Swimming Pools usajili huo utahusu mabwawa yaliyopo katika maeneo mbalimbali yakiwemo mahoteli, shule, na nyumba binafsi. Utaratibu...
  11. JamiiForums Tanzania Achukuliwa nyumba kisa kumdhamini rafiki mkopo

    #HABARI Mwanamke mmoja jijini Dar es Salaam aliyefahamika kwa jina Gift Mtanda, amekumbwa na mkasa mkubwa baada ya nyumba yake kupigwa mnada kufuatia mkopo wa benki alioudhamini kwa rafiki wa familia. Inadaiwa kuwa nyumba hiyo iliwekwa dhamana benki ili kumsaidia rafiki huyo kupata mkopo...
  12. JamiiForums Tanzania Nyumba yenye vyumba 6 inahitaji tofali ndogo ndogo za kuchoma ngapi?

    Jamaniiiiii habari za asubuhi! Kuna fundi anaeweza kunisaidia kukadiriae...? Nikitaka kujenga nyumba yenye vyumba 6 .. nahitaji kutumia tofali ndogo ndogo za kuchoma ngapi? Na bati ngapi?
  13. JamiiForums Tanzania Angalieni hii ramani ya nyumba alafu mnishauri kitu

    Ndugu Je hii ramani inaenea kwenye eneo la aquare mita 150 na kubakiza sehemu ya kupaki kagari na kuanika nguo.... Naombeni mawazo yenu ikibidi sana naombeni na vipimo Mimi nilikuwa na waza icheze kwenye square mita 72 au 81 square meter... Naombeni mawazo yenu na vipimo vizuri kadiri muwezavyo
  14. JamiiForums Tanzania Si busara kuchanganya nyumba ya makazi binafsi na ya wapangaji

    Uamuzi wa kutokuchanganya nyumba yako ya kuishi binafsi na nyumba za wapangaji kwenye kiwanja kimoja ni mada yenye mashiko sana kwa wataalamu wa ujenzi na uwekezaji. Ingawa wengi hufanya hivi ili "kusogeza kodi karibu," kuna changamoto nyingi za kijamii na kiuchumi zinazoweza kujitokeza. Hizi...
  15. JamiiForums Tanzania Bundi kwenye Paa la Nyumba Yangu na hataki kuondoka

    Leo wakati nakwenda kazini nilimwona ndege huyu kwenye sehemu ya paa langu hivi; asubuhi tulikuwa na snow kidogo. Niliporudi nyumbani baada ya kazi saa 10 jioni nilimkuta bado yupo ila nilipofungilia geti, ule mlio wa geti ukamshtua akarukia juu ya paa kuu kama inayoonekana hapa huku akiacha...
  16. JamiiForums Tanzania Nyumba Inauzwa Goba Lilian Kibo

    Nyumba inauzwa Goba, Dar es Salaam. Mahali: Lilian Kibo kwa Mwakifulefule. Sifa za Nyumba: *Nyumba haijakamilika, imefikia kwenye hatua ya umaliziaji. *Iko mita chache kutoka barabara ya Goba. *Iko upande wa kushoto ukitokea mbezi beach, na upande wa kulia ukitokea mbezi stendi ya Magufuli...
  17. JamiiForums Tanzania House4Sale Nyumba inauzwa Mbezi Maramba Mawili

    INASIFA ZIFUATAZO; Room 3 moja Master, sitting Room, Kitchen,Daining room, Store, public toilet, na jiko, Baraza mbele na nyuma. Ukubwa wa eneo lake ni sqm 380 tu. Maji Dawasa tayari tumevuta yapo Umeme ni kushusha nguzo ipo uwanjani Nyumba ipo mbezi Maramba mchikichini. Kutoka Zinapoishia...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Uchawi wa kupeperushwa unaosahaulisha mtu kuhamia nyumba iliyokamilika, kusahau kiwanja, kuhesabu mzigo wa dukani, kusahau deni, n.k

    watu hurogana kwa aina nyingi za uchawi ila kuna huu uchawi mwengine ambao wengi hamjawahi kuusikia KUPEPERUSHWA - Ni uchawi wa kumsahaulisha mtu asifuatilie mali zake Baadhi ywa watu wanapojenga nyumba zao huwa wanaweka watu wengine kuwa walinzi wa nyumba zao , lakini ujenzi ukikamilika...
  19. JamiiForums Tanzania Nyumba inapangishwa Mbezi Maramba

    Nyumba inapangishwa Mbezi maramba Unashuka Kituo cha Makuti Ni Chumba master na sebule na jiko Kutoka lami Mpaka nyumba ilipo unatembea kwa miguu dk 8 Kodi 100,000 x miezi 6 Umeme unajitegemea pekee yako Mtakua Wapangaji 2 tu,Mwenye nyumba hakai hapo 0675 065906 Utanipoza kidogo ya udalali
  20. JamiiForums Tanzania Ssebo hakujenga nyumba Dar?

    Nimeshangaa msiba kuwekwa kwa wakili msomi mwingine badala ya Nyumbani kwake. Hii imekaaje Wadau? Au mambo ya apartment kama Le Mutuz?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…