nyumba

  1. JamiiForums Tanzania Ni wakati gani sahihi wa kuanzisha biashara ya Nyumba au kujenga nyumba?

    Habair wanajamii Ebu tujadili kidogo, kwa mawazo yako ni wakati gani sahihi wa kujenga nyumba. Mtaani kuna kauli kuwa pesa ya ujenzi ni bora ufanye biashara zingine badala ya kujenga, nataka kujua ni wakati gani sahihi unaweza kumiliki nyumba.
  2. JamiiForums Tanzania House4Rent Inapangishwa nyumba Goba inayopakana na mbezibeach

    Chumba Choo ndani ( Masta ), Sebule Na Jiko. Kodi kwa Mwezi ni Tshs 230,000 Mahali Goba ya Karibu Na Mbezibeach Mawasiliano 074214146
  3. JamiiForums Tanzania House4Rent Nyumba inapangishwa Mbezi beach

    Chumba Choo ndani (Masta) Kodi kwa Mwezi ni Tshs 100,000 Mahali Mbezibeach Mawasiliano 0742141467
  4. JamiiForums Tanzania House4Rent Nyumba inapangishwa Tabata250k

    Ipo Tabata kisiwani katikati ya Mwananchi na tabata Mawenzi 1 masters 3 bedroom Dining Sittin room Kitchen. Nb haina tiles
  5. T

    JamiiForums Tanzania Uteuzi: Rais Samia amrudisha Nehemia Mchechu kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC)

    Rais Samia amemteua Nehemia Kyando Mchechu kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba ya Taifa (NHC) akichukua nafasi ya Dkt. Maulid Banyani atakayepangiwa kazi nyingine Aliyekuwa Waziri wa Makazi, William Lukuvi alitengua uteuzi wa Mchechu kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Shirika hilo mnamo Juni 2018...
  6. JamiiForums Tanzania Hongera Rais wa JMT. Nimeona nyumba wanazojengewa wakazi wa Ngorongoro huku Handeni. Kusema kweli unastahili kuwa Rais wa JMT

    Kusema ukweli Huyu mama sio wa kawaida. Nimeona nyumba za kudumu na kisasa wanazojengewa wakazi wa Ngorongoro wanaohamishiwa Mkoani Tanga maeneo ya Handeni na Kilindi. Ni nyumba za kisasa zinazoakisi akili ya Serikali yako katika kupanga na kutekeleza mipango thabiti kwa maslahi ya Tanzania...
  7. JamiiForums Tanzania Natafuta Binti wa kushare naye cost za nyumba

    Wakuuu habarini. Naishi Mbezi beach nimepanga nyumba nzima peke yangu sina familia, natafuta binti wa kushare nae cost asiekuwa na familia ntampa chumba kimoja self kikubwa atalipa laki moja tu na mimi nitabakia na sehemu yangu. Nyumba ina vyumba vitatu na sebule. Pia ntamruhusu kutumia...
  8. JamiiForums Tanzania Gharama ya kupaua nyumba ya ramani hii

    Wataalam na wazoefu maswala ya ujenzi hasa kupaua naombeni msaada kulingana na title hapo juu. Natanguliza shukrani zangu za dhati.
  9. JamiiForums Tanzania Baada ya baba mwenye nyumba kuunga juhudi, ni nini hatma ya wapangaji wake?

    Mmeshindaje ndugu zangu.. Hapa nazungumzia hawa vijana waliokuwa wanafanya siasa za chuki, dhihaka na kejeli dhidi ya viongozi wa serikali, leo hii wataishije baada ya baba mwenye nyumba wao ambae ndio alikuwa akiwaweka mjini na kuwalipa kwa utopolo wao kuamua kuwa upande wa wale waliokuwa...
  10. JamiiForums Tanzania Video: Makonda yamkuta makubwa, Ghalib wa GSM adai nyumba yake

    Mwaka 2019 aliwadanganya GSM wale wafadhili wa Yanga kuwa Jiwe anataka ajengewe nyumba. Kweli GSM wakamuamini na wakajenga. Baada ya hapo GSM wakawa wanataka Jiwe mwenyewe akazindue nyumba hiyo lakini Bashite akawa anawapotezea. Ndipo kwa namna yao wakamfikia Jiwe na mchezo ndipo ulipoharibika...
  11. JamiiForums Tanzania Mambo 8 ya kuzingatia kwenye biashara ya utoaji wa mikopo kwa ajili ya ukarabati wa nyumba za kupangisha

    Biashara ya utoaji wa huduma za mikopo kwa ajili ya ukarabati na maboresho ya nyumba ni moja ya njia za kujenga utajiri kupitia uwekezaji huu. Hii sio njia ya moja kwa moja ya kuwekeza kwenye ardhi na majengo. Njia hii inahitaji uwe na maarifa sahihi na taarifa sahihi za uwekezaji kwenye ardhi...
  12. JamiiForums Tanzania Wataalam wa ujenzi, hii nyumba inaweza kugharimu kiasi gani?

    Wataalam wa ujenzi hii nyumba inaweza kugharimu kiasi gani nimeipenda.
  13. JamiiForums Tanzania Nyumba ya Ahmed Adam aliyofikia Baba wa Taifa wakati wa kupigania Uhuru inakarabatiwa

    NYUMBA YA AHMED ADAM ALIYOFIKIA MWALIMU NYERERE MIKINDANI INAKARABATIWA Mwaka ulikuwa ni 1955 na katika mkutano mkuu wa kwanza wa TANU ulifanyika Ukumbi wa Hindu Mandal Dar es Salaam Lindi iliwakilishwa na Salum Mpunga na Ali Ibahim Mnjawale. Baada ya mkutano wawili hawa walibakia kwa ajili ya...
  14. JamiiForums Tanzania Kuna waamini wanapata raha sana ktk hizi nyumba za ibada wanapoenda abudu.

    Hivi unaweza kosa ibadani kweli. mungu ka huyu anapoongoza ibada..😂😅😆🤣🤣
  15. JamiiForums Tanzania Nini kinasababisha tatizo la nyumba kupasuka madirishani

    Habari wakuu; Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, nina nyumba yangu yangu ambayo niliijenga mfululizo (non stop) hadi nahamaia, na sasa imetimia mwaka mmoja. lakini jambo la kushangaza madirishani kunatokea mipasuko hadi inaninyima raha yaani kila dirisha la nyuma yangu lina mipasuko at...
  16. S

    JamiiForums Tanzania Mtaalamu wa kukata miti pembeni mwa nyumba

    Wana JF habari za muda huu? Nahitaji mtaalamu wa kukata miti pembeni ya nyumba ni miashoki imekuwa mirefu sasa nataka kuikata bila kuathiri nyumba pembezoni aliye na utaalamu huo tuwasiliane inbox ni maeneo ya Tabata.
  17. JamiiForums Tanzania Dc Lushoto kufanya msako nyumba kwa nyumba kuwasaka wanaotorosha watoto mashuleni

    Serikali wilayani Lushoto imeanzisha oparesheni kabambe ya nyumba kwa nyumba inayolenga kuwasaka baadhi ya watu wanaoshiriki vitendo vya kuwatorosha watoto hususani wanafunzi ili kwenda kufanya kazi za ndani nchini Kenya. Baadhi ya watoto hao ni wale walio katika shule za msingi na sekondari...
  18. JamiiForums Tanzania Ujenzi wa nyumba ya vyumba sita kwa lengo la kupangisha ni sawa na biashara ya reja reja

    Nyumba hizi hujengwa nyumba vikiangaliana, ni ujenzi maarufu katika nchi nyingi za Afrika. Choo, bafu na jiko la jumuia hukaa katika vyumba vya nyuma. Siku hizi wengi hupikia majiko ya gesi hivyo chumba cha jiko hutumiwa na wachache wale wa kupikia kuni au wanao kaanga samaki. Biashara hii ni...
  19. N

    JamiiForums Tanzania House4Sale Nauza nyumba yangu Kivule Kwa Wamakonde 22 mil

    Habari wana JF, Nauza nyumba yangu iko Kivule kwa wamakonde kwenye kiwanja cha s.meter 500, haijaisha ila tayari ishapauliwa na mabati ya msauzi. Kwa walio serious karibuni..22mil Mawasiliano 0767940945 Asanteni..
  20. JamiiForums Tanzania Jinsi ya kuandaa mkataba kati ya mpangaji na mwenye nyumba

    Makubaliano kati ya mpangaji na mwenye nyumba ni jambo muhimu sana kufanyika. Makubaliano kati ya watu hawa wawili ndio muongozo wa mahusiano, na jinsi ya kukabiliana na changamoto mbalimbali zinazoweza kujitokeza kipindi ambacho mpangaji atakuwa katika nyumba ya mwenye nyumba. Uwekezaji...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…