nyumba

  1. H

    JamiiForums Tanzania Vifaa vya saloon vinauzwa

    Habarini ndugu zangu. Kuna saloon inauzwa ipo Kimara B Kwa Komba (karibu na Stopover), kama huitaji kununua saloon yote then unaweza kununua kitu utakachohtaji. Kinyozi wangu aliekua hasumbui kweny hesabu amehamia mkoani ili kuwa karbu aweze kumuuguza mama yake, namm pia nahamia mkoani kikazi...
  2. H

    JamiiForums Tanzania House4Rent Nyumba inatafuta mpangaji Kimara stopover

    Habari ndugu zangu, Nyumba inatafuta mpangaji, mpangaji amehama jana tar 04/Dec/2022. Location-Kimara stopover Kodi-450K per month Ulipaji-Kila baada ya Miezi 6 Vyumba vi3 (Kimoja masters) Sebule kubwa Room moja ya jiko Public toilet (Ipo ndani ya nyumba) Ipo ndani ya fence, na kuna...
  3. JamiiForums Tanzania House4Sale Nyumba nzuri zinauzwa maeneo mbalimbali jijini Mwanza

    Ni nyumba nzuri kwa ajili ya matumizi ya familia ipo jijini Mwanza, bei yake ni shilingi milioni 37 japo maongezi yapo. Wewe njoo na pesa yako tuongee, hiyo bei wala isikutishe, miliki na wewe nyumba yako jijini Mwanza. Kwani wao waweze wana nini na wewe ushinde una nini? 0769344686
  4. JamiiForums Tanzania Jiunge Leo Katika Mafunzo Ya Siku 10 Kuhusu Uwekezaji Kwenye Viwanja Na Nyumba

    Habari yako rafiki yangu, Naitwa Aliko Musa kutokea jiji la Mbeya. Mimi ni mwandishi mbobezi wa makala na vitabu vya mbinu bora za kuwekeza kwenye viwanja na nyumba. Ninawafikia wawekezaji kupitia mtandao wangu uitwao UWEKEZAJI MAJENGO. Nimekuandalia mafunzo mazuri sana ambayo yatakuwezesha...
  5. B

    JamiiForums Tanzania Anayejua tabia za wanajeshi wanaume katika mahusiano (kuna mwanajeshi ana flirt na nyumba ndogo yangu)

    Kwa mwenye uzoefu na hawa wanajeshi wa kibongo tafadhali afunguke. Description: ~ Huyo mjeda ni mtu mzima above forty. ~ Ana mke na watoto. Huyo nyumba ndogo yangu ni mke wangu wa pili halali wa ndoa, anaishi mtaa tofauti na mke mkubwa. Nilimfungulia biashara so huyo mjeda kakutana naye kwenye...
  6. K

    JamiiForums Tanzania Mabati ya kampuni ya Taishan nani anayafahamu vizur?

    Wakuu Nina ka ujenzi kanaendelea nimefikia hatua ya kupaua nimeona hii kampuni imefungua ofisi hapa mwanza karibu na site yangu na bei zao sio mbaya wasiwasi wangu ni ubora je kuna mtu anauzoefu na Bidhaa hii?
  7. D

    JamiiForums Tanzania Msaada wa mawazo: Kubadilisha nyumba ya makazi kuwa gesti

    Poleni na majukumu wakuu, naombeni mawazo yenu binafsi nimefanikiwa kujenga nyumba ya room 3 zote master, sitting room kubwa, dinning, jiko, stoo na public toilet na kwa sasa nimeshaipaua nategemea kuingia kwenye hatua ya finishing. Baada ya kufika hatua hii likaja wazo kuwa huko mbeleni nije...
  8. JamiiForums Tanzania Luhaga Mpina, wenzio huwa wanachoma nyumba baada kumaliza kuhamisha asset zilizomo ndani!

    Mpina ni shujaa wa kweli, akisimama bungeni kunakuwa kimya! Hana unafiki tatizo kachoma nyumba mapema sana angesubiri kwanza akusanye vitu vyake timing imekuwa shida sio usione kujiunga Tadea!
  9. JamiiForums Tanzania Iran: Waandamanaji watia kiberiti iliyokua nyumba ya Khomeini, wanapinga dhuluma kutoka kwa dini ya kiislamu

    Wananchi wamechachamaa....hadi kieleweke, wamechoka unyanyasaji wa kidini, kila mtu aachiwe huru kwenye masuala ya kiimani, Iran ilikosea sana kumuua mwanamke kisa kipande cha nywele kilichomoza kichwani, serikali inaendelea kuwaua ili kumpigania "mungu" wa waislamu ila wananchi wameamua hata...
  10. JamiiForums Tanzania Panya Road wavamia nyumba za wakazi Kibaha, wapora na kujeruhi wananchi kadhaa

    Wananchi waliovamiwa na kundi la vijana Wahalifu wenye silaha mbalimbali maarufu Panya Road maeneo ya Kibaha Mkoani Pwani wamesema vibaka hao waliwavamia kwa makundi huku wakisema hiyo ndio njia yao ya kupata rizki hivyo kila mtu atii amri ya kutoa anachoelekezwa. Wakizungumza kwenye makazi yao...
  11. JamiiForums Tanzania Unahitaji mapazia ya nyumba yako? Pitia uzi huu

    Anza kwa kutazama clip hii⬇️ Then, mengine tutazidi kujuzana.... Ila kama upo interested sana basi waweza kunicheki WhatsApp 0685269533 au ukapitia page yangu ya Instagram kujionea kwa kubonyeza link hii https://instagram.com/flameinteriors?igshid=YmMyMTA2M2Y= Hapo kama uonavyo ni mapazia...
  12. JamiiForums Tanzania Kuweni makini: Nyumba za kisasa zisizoonyesha bati juu zinavuja mno, msikimbilie kujenga

    Wadau habari zenu, Utafiti wangu wa kina umebaini kuwa watu wengi Leo hii wanajenga kwa kasi sana nyumba za kisasa zisizoonyesha bati lake. Ila wengi mno wanalia kipindi cha mvua, hazitililishi maji vizuri na hivyo kuharibu sana Ceiling boards na Gypsum na kulowanisha kuta. Nimeshuhudia wengi...
  13. JamiiForums Tanzania Nyumba ya 150,000,000 iliyojengwa kwa tozo hongereni CCM

    Baada ya jamaa kule kupiga mamilioni huku tutizame nyumba ya Mkurugenzi ya mamilioni ya tozo za watanzania
  14. JamiiForums Tanzania Naomba kufahamishwa taratibu za kupata Hati Miliki ya Nyumba

    Wana-Jukwaa habari ya muda huu, naomba kufundishwa jinsi ya kupata hati miliki ya nyumba, baada ya kuandikishana kwenye kitongoji husika sasa nahitaji kupata Hati Miliki Natanguliza shukurani.
  15. JamiiForums Tanzania Fumanizi la mama mwenye nyumba

    1st Portion: Nimepitia nyumba kadhaa za kupanga, visa na Mikasa ni mingi, ila kuna hii moja sitoweza kuisahau kirahisi. Hii nyumba ipo (ilikuwa) maeneo Fulani, jijini Dar Es Salaam. Baada ya kuoneshwa nyumba kadhaa na madalali, ndio nikaangukia kwenye ile nyumba. Wamiliki ni watu wa...
  16. J

    JamiiForums Tanzania Natafuta nyumba ya ghorofa Arusha yenye uwanja wa kutosha

    Habari wakuu. Natafuta nyumba ya kununua iwe na ghorofa moja hapa Arusha na iwe na uwanja wa kutosha angalau nusu eka.
  17. JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri kumuokoa rafiki yangu, Huu ukarimu wa baba mwenye nyumba umepitiliza, nahisi kamzalisha mke wa rafiki.

    Nahisi baba mwenye nyumba yupo hatua 5 mbele zaidi kuliko rafiki yangu. Ipo hivi, rafiki yangu kapangisha kanyumba kadogo anaishi na mke wake, kwenye kiwanja kuna nyumba ndogo mbili, nyumba nyingine kuna mpangaji mwengine ila hua anasafiri sana. sasa mke wa rafiki yangu alijifungua kama wiki 2...
  18. JamiiForums Tanzania Kwanini watu wanaezeka paa linaenda juu hadi nyumba inakuwa kama piramidi?

    Wakuu sana ni nini kinafanya watu waezeke nyumba na paa linaenda juu kama piramidi? Kuna faida gani? Standard zinasemaje?
  19. JamiiForums Tanzania Usitengeneze kawaida dari la nyumba yako, karibu tukupendezeshee

    Wakuu Karibuni, Tunatengeneza na kudesign ceiling ya nyumba yako kwa mitindo mbali mbali utayoipenda ww. Kokote ndani ya Tanzania utafikiwa. "Kazi tunapata kutokana na kazi, so hakuna kitu nazingatia kama ubora wa kazi. Ni bora nikaiacha kazi kuliko kuona hailipi halafu ukaifanya, mwishowe...
  20. JamiiForums Tanzania Nyumba nyingi zinatelekezwa na wababa kisa akina mama. Hii ni baada kumsikiliza baba yake kijana Majaliwa, baba Dimpozi n.k

    Nyumba nyingi wazazi wa kiume ama kina baba wanazikimbia na kuwaacha watoto kisa kikubwa inaonesha ni kina mama, hii ni baada kujitokeza mara nyingi wazazi wa kiume baada vijana wao kupata maendeleo flani mifano michache ni kama huyu kijana shujaa Majaliwa na watu maarufu kama Dimpoz na Diamond...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…