House4Sale Nyumba (BOMA) naiuza bei poa Chanika Buyuni DSM

usedphotocopytz

Senior Member
Aug 18, 2015
171
14
Nyumba imekamilika BOMA lenye vyumba vitatu kimoja masta, mashimo ya choo tayari nishafunika , fensi tayari imekamilika.

Naiuza mimi mwenyewe mmiliki hakuna dalali , ina square mita 400 , ipo buyuni chanika kama unaelekea sekondari ya buyuni, sio mbali na barabarabi ni kama mita 100 tu, umeme uko karibu.

Nilijenga kwa matumizi yangu iko imara sana RUKHSA kuja na fundi kukagua, bei naanza milion 60 tshs lakini usiogope bei uko unauhitaji nipigie nipe ofa yako niiskie usjali. biashara maelewano.

0715331233
Picha naweza, anayetaka videos ataniambia ntamtumia watsapp.

20210411_160315.jpg
20210411_160443.jpg
20210411_160447.jpg
20210411_160607.jpg
20210411_160632.jpg
20210411_160633.jpg
20210411_160716.jpg
20210411_160729.jpg
20210411_160217.jpg
20210411_160308.jpg
 
Back
Top Bottom