nyumba

  1. JamiiForums Tanzania Dodoma: Tunauza Viwanja na kutafuta wapangaji wa nyumba

    Inatokea unataka kuja DODOMA kusoma, kuishi au hata kikazi, nakusihi uwasiliane namimi endapo mahitaji yako ni chumba cha kuishi, nyumba au hata appartment. Mpangaji huweza kulipia mara baada ya kuona chumba Kama ni mhitaji wa chumba,nyumba kama ni mhitaji wa nyumba. Mpangaji hutoa chaguo lake...
  2. J

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Tunauza Viwanja, Nyumba na Mashamba Dar es Salaam

    1- kinauzwa kiwanja mbezi ya goba kulangwa sq 400 Bei million 17 (maongezi yapo) kilipo si mbali na barabara (dk7- 10 main road) 2- kiwanja kinauzwa MBEZI GOBA sqm 1000 Bei million 57 (maongezi yapo)pia hakipo mbali na barabara 3. Nyumba ya vyumba 6 Mbezi beach Goigi (dk 10 bagamoyo road)...
  3. JamiiForums Tanzania Kanisa Katoliki lamtenga Padri Soka, lamuondoa kwenye nyumba za Mapadri

    Kanisa Katoliki Jimbo la Moshi, limemuamuru Padri Sosthenes Bahati Soka (41) anayekabiliwa na mashtaka ya kubaka watoto watatu wa kike kuondoka katika nyumba za kanisa hilo. Badala yake, barua ya Askofu wa Jimbo hilo, Ludovick Minde ya Septemba 26, mwaka huu ambayo gazeti hili limeona...
  4. JamiiForums Tanzania Marekani: Kimbunga IAN chaua watu 45 na kuharibu nyumba zaidi ya 80,000

    Pia, Kimbunga hicho kinachoanza kutoweka kimeharibu takriban nyumba 80,000 katika mji wa Fort Mayers, na kuwaacha gizani zaidi watu Milioni 1.8 kutoka miji kadhaa ya jiji la Florida. Kituo cha Taifa cha Udhibiti wa Vimbunga cha Marekani, (NHC) kilisema Kimbunga Ian kilichopungua nguvu kufikia...
  5. JamiiForums Tanzania Mwenye kujua taratibu za kuomba mkopo benki kwa dhamana ya nyumba

    Habari, Naomba maelekezo kutoka kwa members ambao walishawahi kukopa bank kwa dhamana ya nyumba,maana mambo yashakuwa magumu, nyumba iko DSM, ilala kata ya kitunda. Mwenye uzoefu tafadhali naomba maelekezo.
  6. JamiiForums Tanzania Mliokutana na mauzauza katika ujenzi wa nyumba, naomba msaada wa hatua mlizochukua

    Wadau niombe msaada kihusu mada tajwa hapo juu. Nimekuwa napambana na ujenzi wa kibanda changu cha ndoto yangu kwa kipindi cha miaka mitano hivi. Ilivyofika mwaka jana wakati wanapiga plasta nilikuta kitu kisichocha kawaida katika mchanga, nilimkuta sungura aliyechinjwa akiwa amefukiwa kwenye...
  7. D

    JamiiForums Tanzania Nalaani vikali DC MOSHI kukamata mafundi ujenzi site kisa wanajenga nyumba isiyokuwa na kibali cha ujenzi

    Pamoja na ukiritimba wa vibali vya ujenzi kuwa bei juu ukiambata na mazingira ya rushwa kuanzia wapimaji katika halimashauri nyingi Tanzania! Lakini haiondoi haki na wajibu wa kila mtu! Taratibu za ujenzi katika halmashauri zote zinataka mtu yoyote anayehitaji kufanya ujenzi Tanzania lazima...
  8. JamiiForums Tanzania Je tutaweza kufungua nyumba kwa kutumia ufunguo wa gari?

    Mkoloni alipofika tu kwetu alikimbilia kuzinyonga mila na tamaduni zetu maana alifahamu mila, desturi na utamaduni ndizo nguvu na nguzo za kila mtu, kila familia, kila ukoo na kila taifa. Hizo ndizo anuani za mawasiliano kati yako, familia, ukoo, kabila, taifa na Mungu wao, ndio ufunguo wa...
  9. JamiiForums Tanzania Nyumba inahitajika barabara ya Goba hadi Mbezi Magufuli

    Habari zenu Najua hapa jf Pana wengi ikiwemo wenye nyumba na wenye taarifa kuhusu nyumba. Inatafutwa nyumba ya Vyumba viwili vya kulala, sebule, jiko na choo. Mitaa iwe ya barabara ya mbezi magufuli kuelekea Goba hadi Goba penyewe. Pesa iliyopo 250000 kwa mwezi. Malipo hata yakiwa ya miezi...
  10. JamiiForums Tanzania Ramani za nyumba bora tz

    Tunachora Ramani za nyumba za kisasa kwa ajili ya kuchukulia kibali za ujenzi manispaa kwa bei nafuu sana Tunakufikia mikoa yote Tanzania Wasiana nasi leo kwa simu / whatsapp 0717 040 837 au 0767 267664
  11. JamiiForums Tanzania House4Sale Nyumba inauzwa Makabe, imejengwa mpaka kufikia kwenye Lenta

    Ukubwa wa kiwanja - 20 kwa 20 Ramani yake - Vyumba vitatu ( 1master) Sebule Dinning Jiko Stoo Bei - 15MILION🔥🔥🔥 Mahali - MBEZI-MAKABE Mawasiliano - 0688986066/0747840807
  12. JamiiForums Tanzania Kiongozi wa upinzani Gabon atakiwa kutotoka nje ya nyumba yake

    Kiongozi wa upinzani wa Gabon, Guy Nzouba-Ndama, amewekwa chini ya kizuizi cha nyumbani ikiwa ni siku tano baada ya kukamatwa kwenye mpaka wa Congo akiwa na mabegi yenye zaidi ya dola milioni 2. (Tsh. Bilioni 3). Kukamatwa kwake kulirekodiwa na kufunguliwa kwa masanduku hayo kuchapishwa kwenye...
  13. JamiiForums Tanzania Tetesi: Nasikia kuna nyumba zinatakiwa kuvunjwa maeneo ya Mbuyuni Tegeta ili kupisha stendi ya Mwendokasi

    Wakuu Kuna dada ana mji wake na gesti maeneo ya karibu na mizani ya pale njia ya tegeta, Ananiambia kuanzia pale mbuyuni upande wa kulia yanapopaki maroli kwenye eneo la Rupia,na nyumba zote za upande hule kwendea Hadi kule upande wa chini karibu na hilipo mizani ya TANROAD, Kuna nyumba...
  14. L

    JamiiForums Tanzania Tajiri wa Kariakoo ajulikanaye kama Primi Mushi kununua na kutapeli nyumba za watu Kariakoo na maeneo mengine nchini yuko nyuma ya nani?

    Tajiri wa Kariakoo ajulikanaye kama Primi Mushi kununua na kutapeli nyumba za watu K/koo na maeneo mengine nchin yuko nyuma ya nan? Wanabodi kama uzi ulivyokaa hapo juu huyu ni mfanyabiashara wa vitengee Karikoo lkn speed yake ya kuwafua watu nyumba K/Koo inatisha yuko nyuma ya nani? Kwasasa...
  15. C

    JamiiForums Tanzania Natafura mfumo bora wa ukusanyaji kodi katika nyumba za kupanga

    Wakuu salamu. Naomba niende kwenye point moja kwa moja. Kama mnavyojua miaka inasogea na watoto wanakua na wakubwa wanazeeka. Na maisha yanasonga mbele na TOZO zinayoyoma. Pamoja na 10% inayopendekezwa na serikali ya CCM, kwenye nyumba za kupanga. Sasa Mungu katubariki vijumba viwili vitatu...
  16. C

    JamiiForums Tanzania House4Sale Nyumba inauzwa Manzese Tiptop

    Nyumba inauzwa (lakini ni muhimu zaidi ukiwa unanunua kama kiwanja ukubwa wa eneo 20 kwa 25 sqr 450. Umbali kutoka manzese tiptop stand ni km 1. Kwa unayeijua Manzese hii sehemu ni potential kibiashara gari linafika mpaka sehemu husika ni kuna barabara ya mtaaa hata nyumba ya makazi .Bei ya hiyo...
  17. JamiiForums Tanzania Karibu tukupaulie nyumba yako

    Karibuni sana tuwahudumie.
  18. JamiiForums Tanzania INAUZWA Nauza Viwanja, nyumba na Mashamba Kigamboni Dar es Salaam

    Kina ukubwa wa sqm 1566 kipo karibu na magorofa ya NSSF kimepimwa tayari hati inatoka moja kwa moja kwa jina lako huitaji transfer Bei ml 20 kipo mita 150 toka lami ilipo nicheki 0713672719/0787672719
  19. JamiiForums Tanzania Uzio wa nyumba usiathiri ukuaji wa mtoto

    Wanaharakati wa haki za watoto kisiwani Pemba, wamewataka wazazi na walezi, wanaomiliki nyumba zilizozungushwa kuta ‘fens’ kuwapa muda watoto wao kuchangamana na wenzao, ili kucheza pamoja, ikiwa ni sehemu moja wapo ya kukuza ubongo wao. Wamesema, njia moja na rahisi ambayo haihitaji gharama...
  20. JamiiForums Tanzania Shamba linauzwa pamoja na majengo (nyumba)

    Maelezo: Shamba linauzwa Liko maeneo ya Lutukila,Madaba(Km 1 kutoka barabara ya Songea -Njombe)Ukubwa wa shamba eka 100; Mazao yaliyopo,korosho eka 20,mitiki eka 5,parachichi eka 3,Kuna bonde la eka 6 la kulima mpunga,banda la nguruwe, banda la mbuzi. Majengo: Godown kubwa(kubeba si chini ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…