nyumba

  1. JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri kumuokoa rafiki yangu, Huu ukarimu wa baba mwenye nyumba umepitiliza, nahisi kamzalisha mke wa rafiki.

    Nahisi baba mwenye nyumba yupo hatua 5 mbele zaidi kuliko rafiki yangu. Ipo hivi, rafiki yangu kapangisha kanyumba kadogo anaishi na mke wake, kwenye kiwanja kuna nyumba ndogo mbili, nyumba nyingine kuna mpangaji mwengine ila hua anasafiri sana. sasa mke wa rafiki yangu alijifungua kama wiki 2...
  2. JamiiForums Tanzania Kwanini watu wanaezeka paa linaenda juu hadi nyumba inakuwa kama piramidi?

    Wakuu sana ni nini kinafanya watu waezeke nyumba na paa linaenda juu kama piramidi? Kuna faida gani? Standard zinasemaje?
  3. JamiiForums Tanzania Usitengeneze kawaida dari la nyumba yako, karibu tukupendezeshee

    Wakuu Karibuni, Tunatengeneza na kudesign ceiling ya nyumba yako kwa mitindo mbali mbali utayoipenda ww. Kokote ndani ya Tanzania utafikiwa. "Kazi tunapata kutokana na kazi, so hakuna kitu nazingatia kama ubora wa kazi. Ni bora nikaiacha kazi kuliko kuona hailipi halafu ukaifanya, mwishowe...
  4. JamiiForums Tanzania Nyumba nyingi zinatelekezwa na wababa kisa akina mama. Hii ni baada kumsikiliza baba yake kijana Majaliwa, baba Dimpozi n.k

    Nyumba nyingi wazazi wa kiume ama kina baba wanazikimbia na kuwaacha watoto kisa kikubwa inaonesha ni kina mama, hii ni baada kujitokeza mara nyingi wazazi wa kiume baada vijana wao kupata maendeleo flani mifano michache ni kama huyu kijana shujaa Majaliwa na watu maarufu kama Dimpoz na Diamond...
  5. JamiiForums Tanzania Nitumie dawa gani kutokomeza wadudu warukao na watambaao nisiwaone angalau kwa mwaka 1 ndani ya nyumba

    Wadau ni dawa gani naweza tumia kutomeza wadudu watambaao na warukao ndani ya nyumba. Nataka dawa ambayo nikitumia Mara moja naweza kaa angalau kwa muda mrefu bila kutumia. Sitaki dawa ya kutumia kila siku au kila wiki. Nataka mende,sisimizi,siafu,mbu n.k viwe vitu adimu ndani ya nyumba.
  6. JamiiForums Tanzania Tunauza Viwanja na Mashamba Chalinze na Dar Es salaam

    *ENEO LINAUZWA* Eneo lenye ukubwa wa *ekari ishirini* linauzwa *Pingo, Chalinze*. Eneo linapakana na *Chuo cha Ualimu Chalinze* kwa mbele na kwa upande wa kulia ni *kiwanda kipya cha vigae cha Twyford* kinachojengwa hapo Pingo.Kama ambavyo baadhi watakuwa wanajua, kiwanda cha vigae kitaajiri...
  7. JamiiForums Tanzania Wanaume (baadhi) wa Tanzania kufurahia Sensa, Low IQ!

    Majibu ya Sensa yameonyesha kwamba Wanawake ni wengi zaidi kuliko Wanaume, baadhi ya Wanaume wanaona ni jambo zuri kwao, lakini ni wajinga kwani wasichokijua ni kwamba Wanaume ni wachache kuliko Wanawake kwa sababu Wanaume wanakufa mapema kuliko Wanawake, Kibaologia uwiano kati ya Wanawake na...
  8. JamiiForums Tanzania Najuta kuvunja nyumba yangu Ubungo Kibo sababu ya utanuzi wa barabara, ambao hawajabomoa wanakula maisha

    Yaani kila nikipita pale Kibo naumia sana tulikuwa na nyumba tatu zilizoungana ambazo moja tukiishi zingine zilikuwa za kibiashara tukaja kubomoa baada ili kupisha barabara eneo ambalo kwasasa wamekuja watu wamevamia na kujenga mabanda ya biashara. Ukija maneno mengine kama Kona na Baruti kuna...
  9. Q

    JamiiForums Tanzania Kumbe ACT-Wazalendo wamepanga nyumba ya Maalimu Seif

    Hii "Self"ni ya Seif Hamad, lilitumika na CUF Maalimu baada ya ugomvi na Lipumba. Baada ya CUF Maalimu kuhamia ACT makao makuu yamehamia hapa. Tumefanya vikao vingi hapa katika uchaguzi Kinondoni. Sasa lina rangi ya ACT. Hakuna ugomvi tuna jibu nia OVU tu ya CCM na washirika wake. - Godbless...
  10. Z

    JamiiForums Tanzania House4Sale Nyumba inauzwa Goba

    Ipo goba mpakani, vyumba vitatu kimoja master. Ukubwa wa eneo square meter 500 Milioni 65 0762689034
  11. JamiiForums Tanzania Tunajenga Madarasa 8000 halafu Nyumba za Walimu 0, hapa kuna shida mahali...

    SERIKALI imetoa Sh bilioni 160 kwa ajili ya ujenzi wa vyumba vya madarasa 8,000 vitakavyopokea ziada ya wanafunzi zaidi ya 400,000 wa Kidato cha Kwanza mwakani ambao ni zao la elimumsingi bila ada. Aidha, Naibu Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais-Tamisemi, Dk Charles Msonde ameelekezwa kufanyia kazi...
  12. JamiiForums Tanzania Iringa: Watoto wawili wafariki nyumba ikiungua moto

    Watoto Rehema Masanga wa miaka 7 na Amos Masanga mwenye miaka 5 wamekutwa wakiwa wamekumbatiana baada kushindwa kujiokoa kutokana na kufungiwa ndani na mama yao. Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa wa Mafifi, Rabi Mgata amesema chanzo cha moto ni mshumaa ulioshika Godoro na kuunguza nyumba wakati...
  13. JamiiForums Tanzania Je, ni sahihi baba mwenye nyumba naye kupangiwa zamu ya kupika na kuosha vyombo?

    Habari za Muda huu Nipo na rafiki yangu, nimekua nikiona ana ratiba yake ya kupika na kuosha vyombo. Watu huku wenzetu wanamapenzi ya kizungu yaani huyu rafiki yangu kila Jumapili huwa anashinda Nyumbani na kufanya shughuli za kupika na kuosha vyombo achilia mbali kufua na kufagia uwanja. Je...
  14. JamiiForums Tanzania Waziri Makamba: Kila nyumba itakuwa na mtungi wa gesi

    Serikali imesema ina mikakati ya kuhakikisha kila nyumba inakuwa na mtungi wa gesi ya kupikia na kuandaa mifumo mbalimbali kupitia uvumbuzi wa kibiashara ikiwemo kutumia teknolojia ya kupima gesi kidogo kidogo. Hayo yamesemwa leo Ijumaa, Oktoba 21, 2022 na Waziri wa Nishati, January Makamba...
  15. JamiiForums Tanzania Nyerere Day 2022: Nyumba ya Bi. Mwamtoro bint Chuma Mtaa wa New Street na Kariakoo

    NYUMBA ALIYOJENGA NA ALIYOISHI MWALIMU MTAA WA IFUNDA MAGOMENI 1958 Tulipomaliza mahojinao yetu nje ya nyumba ya Bi. Mwamtoro bint Chuma nyumba ambayo iko nyuma ya Ofisi Ndogo ya CCM tukaelekea Magomeni Mtaa wa Ifunda kwenye nyumba aliyojenga Mwalimu mwaka wa 1958 na akaishi pale kwa kipindi...
  16. JamiiForums Tanzania Je, ni kweli nyumba mnazoziita contemporary (Hidden roof ) zinapunguza gharama ya kupaua?

    Hidden roof houses ni Kama hizi hapa Ni kweli kabisa hidden roofing hupunguza gharama ya mbao kwa zaidi ya 80% na hupunguza pia gharama ya bati kwa zaidi ya 70%. Endapo idadi ya mbao inapopungua basi pia gharama za misumari bati na misumari mbao hupungua kwa asilimia zile zile pia...
  17. JamiiForums Tanzania Niliuza nyumba yangu nikawekeze Kalynda, nikiamini baada ya muda mfupi ningerudi kuinunua tena. Nyumba imeenda, hela imeenda

    Wahenga walisema tamaa iliua fisi. Nyumba imeenda, pesa imeenda. Sijui niwalaumu Brela, sijui niwalaumu Usalama wa taifa? Sijui nimlaumu yule dada aliyekuja kunishawishi? Mshana Jr, nitafutie ndumba ya kuwafuta wote waliosababisha niwe zuzumagic, mpenda miujiza, niliyejawa na tamaa ya fedha na...
  18. Z

    JamiiForums Tanzania House4Sale Nyumba zinauzwa Kibaha

    Nyumba zinauzwa, kibaha kwa Mathias,za kibiashara kwa ajili ya wapangaji na moja inayojitegemea,ziko tatu katika sehemu moja ,ya kwanza vyumba vitatu na sebule zake inajitegemea,ya pili vyumba viwili na sebule zake,ya tatu Ina vyumba 4 kimoja master na jiko na sebule,km 2 toka morogoro road...
  19. V

    JamiiForums Tanzania House4Rent Nyumba inapangishwa Kimara Temboni DSM

    Ina Chumba na Sebule na Jiko plus Choo Ipo karbu kabsa na Morogoro Road bei 120,000/= *Maji *Parking Space 0753595520
  20. JamiiForums Tanzania House4Rent Nyumba ya ghorofa inapangishwa kwa laki tano maeneo ya mtaa wa Chang'ombe B karibu na kituo cha Serengeti

    Nyumba ya ghorofa inapangishwa kwa laki tano (500,000 Tsh) maeneo ya mtaa wa Chang'ombe B karibu na kituo cha Serengeti. Kinachopangishwa ni hiyo ghorofa ya juu. Ipo mtaa mzuri sana nyumba zimejipanga freshwi kabisa. Nyumba hiyo ina: 1. Vyumba vya kulala viwili vyote self contained. 2. Open...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…