nyumba

  1. JamiiForums Tanzania Tanga: Mwanaume anyanyaswa na mwanamke kwa miaka 7

    Bwana Saidi mkazi wa Jijini Tanga anaelezea alivyonyanyasika na mkewe ambaye kwa sasa amemuacha na kuivunja ndoa yao kwa Kadhi. Huku bado manyanyaso hayo yakiendelea baada ya mkewe kutaka nyumba waliokuwa wakiishi iuzwe wagawane mali. Majirani wamesema mwanaume huyo alikuwa akimpenda mkewe hadi...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta nyumba Arusha ya kupanga

    Natafuta nyumba Arusha ya kupanga maeneo ya Sakina, Ngarenaro shule ya msingi au Kambi ya Fisi...Budget 150000 tsh
  3. JamiiForums Tanzania Ni hatua gani zinastahili kufuatwa ili kanunua nyumba au kiwanja kuepuka migogoro hapo baadae

    Wataalamu wa ununuzi wa Majengo, viwanja na mali zisizohamishika. Naomba kujuzwa hatua za kufuata ili kununua nyumba, au kiwanja lakini nisipate matatizo au migogoro, stage 1, mpaka stage ya kuingia kwenye nyumba uliyoinunua! Nitashukuru kwa hili.
  4. JamiiForums Tanzania Utafiti waonesha Wanaume Wengi Wasio na Kisomo Wanamiliki Nyumba Kuliko Waliohitimu

    Utafiti wa KNBS umeonesha kua asilimia 46.7 ya wanaume ambao wana nyumba hawana ELIMU rasmi, ikilinganishwa na asilimia 32.2 ambao wamepita shule ya upili..... Kulingana na utafiti huo Hilo linatokana na kwamba wasomi wengi huishia mijini kusaka ajira na kuishi nyumba za kupanga huku wenzao...
  5. JamiiForums Tanzania Orodha ya Watanzania maarufu waliokufa bila kujenga nyumba

    1. Dkt. Omar Alli Juma Huyu alikuwa VP kipindi cha BWM, baada ya kufariki akiwa madarakani, familia yake ilitakiwa kupisha nyumba rasmi ya VP iliyopo nyuma ya St Peters Oysterbay ili Dkt. Shein VP mteuliwa aweze kuingia humo, wakawa hawana pa kuweka vyombo, hawana nyumba, ikabidi lori la...
  6. K

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Serikali punguzeni kodi kwenye manunuzi ya Nyumba

    Kuna wanaoshangaa kwanini nyumba za NHC zina bei sana kulinganisha na kujenga nyumba yako hii ndiyo sababu Tuchukulie NHC wamejenga nyumba kwa 1 Tsh 100M. Inabidi waongeze faida yao mfano 10% halafu kodi ni 18% Hivyo nyumba ya tsh 100M inabidi iuzwe tsh 128M. Wakati nyumba ile ile ukijenga wewe...
  7. L

    JamiiForums Tanzania Quantity Surveyor natafuta kazi

    Habari ndugu zangu kama kichwa cha habari hapo juu kinavyojieleza mm ni quantinty surveyor nimesomea chuo kikuu cha ardhi Dar es salaam hivyo bas napenda kutaarifu jamii kuwa nafanya kazi mabali mbali za kuushu ujenzi wa majengo kama vile .ukadiliaji gharama za ujenzi mfano kama una raman yako...
  8. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Polisi wavamia nyumba ya Waziri wa Mambo ya Ndani Mstaafu, Fred Matiang'i

    Uvamizi huo ni utekelezaji wa agizo la kuchukua Vifaa vya CCTV kwaajili ya kufanyiwa uchunguzi kuhusu madai ya Matiang'i kuwa wiki iliyopita alivamiwa nyumbani kwake na kundi la Askari wasio na Vibali. Kwa mujibu wa Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai (DCI) wa Kenya, Amin Mohamed...
  9. JamiiForums Tanzania Mahakama yakamata Nyumba na Yacht, mali za Makamu wa Rais wa Equatorial Guinea

    Nyumba 2 na Jahazi (Super Yacht) 1, mali za Teodoro Nguema Obiang zimewekwa chini ya Ulinzi kwa agizo la Mahakama baada ya Mfanyabiashara Daniel Janse Van Rensburg kudai Kiongozi huyo alimkamata kinyume cha Sheria na kumtesa. Mfanyabiashara huyo anataka kulipwa fidia ya Tsh. Bilioni 5.1...
  10. B

    JamiiForums Tanzania Shabani Matola amuua baba mwenye nyumba baada ya kudaiwa kodi ya pango

    Shabani Saidi Matola mkazi wa Kata ya Likongowele wilaya ya Liwale mkoani Lindi, amemuua baba mwenye nyumba wake aitwaye Siamini Rashidi Mtopoka (40), baada ya kumpiga na panga kichwani katika ugomvi unaolezwa kila mmoja akigombea alipwe fedha zake. Imeelezwa kuwa mwenye nyumba alimfuata...
  11. R

    JamiiForums Tanzania Hawa wanawake wanaokwenda kwenye nyumba za ibada wafanyiwe maombi ya kupata mume, wanaishi mitaa gani ambako hakuna wanaume?

    Kumekuwa na wimbi kubwa la wanawake ambao wanakwenda kweny nyumba za ibada(kanisani & msikitini) kuomba maombezi ya kupata mume wa kuwaoa, hivi ni kwel mitaa wanamoishi hakuna wanaume au wanaume wa mtaa wanaoishi wanajua tabia zao. Au wanataka kutupa aibu nchi za jirani watuone wanaume wa TZ n...
  12. JamiiForums Tanzania Nyumba za Dar es Salaam ya 1950s

    NYUMBA ZILIZOKUWAKO DAR ES SALAAM YA 1950s Hapo chini ni mfano wa nyumba nyingi zilizokuwapo Dar-es-Salaam miaka ya 1950. Nyumba hizi zilikuwa na vyumba sita vyumba vitatu kila upande vikiangaliana na katikati kulikuwa na ukumbi mrefu. Uani kulikuwa na mabanda madogo jiko, vyoo na bafu...
  13. JamiiForums Tanzania Mwenye nyumba

    Oi vipi Natafuta nyumba maeneo ya makumbusho, morroco kama unamjua mwenye nyumba au ww ni mwenye nyumba nicheki Isizid 200,000
  14. N

    JamiiForums Tanzania Kukosa bima ya chombo cha moto kwasababisha nyumba zipigwe mnada kulipa majeruhi

    Kuna jamaa kule maeneo ya Ununio nasikia ni mgambo pale Kunduchi Pwani, mwaka 2020 aliwagonga watu wawili na gari lake akawajeruhi vibaya, na gari haikuwa na bima. Juzi Mahakama imetoa amri, zimepigwa mnada nyumba zake tatu ili kuwapa wahanga fidia ya milion 105, nyumba tatu zishauzwa...
  15. JamiiForums Tanzania Kaya 644 Magomeni kota zagomea kusaini mkataba kununua nyumba

    Dar es Salaam. Wakazi 644 wa Magomeni Kota wamegomea kusaini mkataba wa kuanza kununua nyumba hizo, kwa madai kwamba bei waliyoletewa sio rafiki na haiendani na hali ya uchumi wao. Aidha wamemuomba Rais Samia Suluhu Hassan aingilie kati kwa kuwa bei ya Serikali iliyowasilishwa ni kati ya Sh48...
  16. JamiiForums Tanzania Wananchi wa Kibaha Vijijini kubomolewa nyumba zao, Mbunge asema anapeleka mashtaka kwa Waziri Mkuu

    Baadhi ya Wananchi wa Matuga, Kibaha Vijijini Mkoani Pwani wamelalamika uamuzi wa kubomolewa kwa nyumba zao pasipokuwa na taarifa huku wakidai kutokuwa na tamko rasmi la taarifa kutoka kwenye mamlaka. Wakizungumza kwa nyakati tofauti wamedai zoezi hilo limefanyika Februari 5, 2023 na kutarajiwa...
  17. JamiiForums Tanzania Natafuta nyumba ya biashara kwenye eneo lililochangamka Dar es Salaam

    Natafuta nyumba ya biashara ya kununua iwe chini ya 50mil Kama ni lodge, Ya kupangisha/apartment, Fremu, Iwe DSM eneo lililochangamka Weka biashara hadharani Maswala ya kutaka namba za simu siyo nzuri kama hujaweka hadharani Nyumba picha, maelezo ya muhimu weka na namba yako ya simu
  18. JamiiForums Tanzania Nyumba za Magomeni ndugu zangu mmeokota dodo!

    Nimesikia ndugu zetu wapangaji wa nyumba za Magomeni wanamuomba Mh. wauziwe nyumba zile kwa Tsh 17M? Kweli? Serikali imesema itawauzia kwa Tsh 48M (chumba na sebule) na 56 + (kwa nyumba kubwa), na hii inalipwa kwa muda wa miaka 15. Piga mahesabu yako vizuri kwa huyu atakaye lipa 56+...
  19. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mfanyabiashara auawa kwa risasi nje ya nyumba yake

    Kamanda wa Polisi wa Thika, Daniel Kinyua, amethibitisha kifo cha mfanyabiashara wa Magali James Mwangi (47) kilichotokea baada ya kupigwa risasi na watu wasiojulika nje ya nyumba yake maeneo ya Kimathi. Wauaji hao waliokuwa karibu sana na sehemu alipo walifyatua risasi mbili ambapo moja...
  20. JamiiForums Tanzania Thermal expansion noise ya nyumba imepitiliza viwango nini nifanye?

    Habari, Nyumba imeezekwa takriban mwaka sasa, bati Gauge 28 ya Alaf, Tatizo ni kelele za bati pindi jua libapowaka na usiku likipoa ( thermal expansion noise). Nashindwa kuelewa, tatizo ni fundi au material ya bati lenyewe au ndo jua ni kali? Nini naweza kufanya?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…