nyumba

  1. F

    JamiiForums Tanzania Kwa anayehitaji kijana wa kusimamia nyumba yake au mradi kijana muaminifu yupo.

    UPDATE: kafanikisha
  2. JamiiForums Tanzania Adaiwa kuchoma nyumba ya hawara baada ya kutomkuta usiku, mtoto afia ndani

    Mtoto, Ashura Makelebe (4) amekufa kwa kuteketea kwa moto ndani ya nyumba baada ya mtu anayedhaniwa kuwa na uhusiano wa kimapenzi na mama yake mzazi kudaiwa kuchoma moto nyumba aliyokuwa amelala. Mtuhumiwa huyo ambaye anashikiliwa na Jeshi la Polisi kwa madai hayo, anadaiwa kufikia uamuzi wa...
  3. JamiiForums Tanzania Nichague ipi Kati ya nyumba iliyoko Mbezi Maramba mawili na iliyoko Kijichi Mgeni Nani

    Heshima kwenu wakuu. Kuna jamaa yangu kaniomba kiasi fulani cha fedha kwa malipo ya moja ya nyumba zake ambazo moja iko Mgeni Nani na nyingine iko Mbezi Maramba Mawili.Zote ni nzuri za kisasa na zina ukubwa sawa. Sina ufahamu mzuri na vitongoji vya jiji la Dar hivyo nimeona nije kwenu wakuu...
  4. R

    JamiiForums Tanzania Mpangaji sema unataka kupanga wapi mwenye nyumba akujibu mmalizane bila udalali

    Kwema Wakuu, Mambo yasiwe mengi, changamoto za kutafuta nyumba na kukutana na madalali tunazijua, hivyo kama wewe ni mpangaji unatafuta nyumba au mwenye nyumba unatafuta mpangaji, njoo hapa sema hitaji lako na wenye uhitaji kupata anachohitaji. Mpangaji Aina ya nyumba: Appartment / stand alone...
  5. JamiiForums Tanzania Wanataka 150,000/= ili nipate hati ya nyumba

    NDEFU KIDOGO Habari zenu wakuu , nadhani wote tunalikumbuka vizuri lile zoezi la urasimishaji liloanza chini ya raisi wa awamu ya tano marehemu jpm . Ukiachilia mbali changamoto zake , moja ya mambo ambayo mimi kama raia nilifurahia ni jinsi ambavyo wananchi tuliweza kujua hatua kwa hatua juu...
  6. JamiiForums Tanzania Nyumba yangu inateketea, nifanyaje kuiokoa?

    Nyumba yangu inateketea kwa moto wana JF. Hali ni mbaya, kuna mali nyingi ndani ikiwemo pesa zangu za akiba, ila kikubwa mke wangu na watoto hawapo ndani. Naombeni ushauri nifanyaje kuiokoa, nimeshindwa kuelewa nifanyaje!
  7. JamiiForums Tanzania Waitara atamba, adai Heche hana nyumba Tarime, anaishi kwa mama yake, asema anamsubiri kwa hamu uchaguzi wa 2025

    Tarime haijawahi kupoa! Mbunge Waitara, akihojiwa na kituo Cha tv Cha Dar24 ametamba kwamba hawezi kubabaishwa na mwanafunzi wake kisiasa, John Heche, na kwamba atamchakaza kwenye uchaguzi wa 2025. Waitara ametamba kwamba John Heche hana nyumba Tarime, na kwamba anaishi kwa mama yake, hivyo...
  8. JamiiForums Tanzania Wapangaji nyumba za NHC Kariakoo walalamika notisi za kuhama bila mazungumzo, wadai NHC wamempa dili mwekezaji mpya kimyakimya

    Baadhi ya Wafanyabiashara na wakazi waliopanga kwenye majengo ya Shirika la Nyumba la Taifa (National Housing Corporation - NHC) mitaa ya Kariakoo wamelalamika kupewa ‘notisi’ ya miezi itatu wakitakiwa kuhama kwenye majengo hayo pasipokuwa na mazungumzo yoyote. Wafanyabiashara hao waliopo kwene...
  9. F

    JamiiForums Tanzania Tetesi: NHC Shirika la Nyumba lasitisha Mikataba

    Kuna tetesi kwamba NHC Shirika La Nyumba wameanza kuwapa notisi ya kuhama majumba na fremu ya biashara jijini Dar Es Salaam kupisha nyumba hizi kubomolewa na kujengwa upya. Kwa yeyote mwenye taarifa sahihi atujuze. Website ya NHC haina taarifa zozote.
  10. JamiiForums Tanzania Tofauti ya pango la ardhi na kodi ya nyumba

    Katika matangazo yanayotolewa Kuna Kodi zinatajwa Kwa wadaiwa sugu. Ile inayokatwa kwenye umeme na inayodaiwa ikalipwe wizara ya ardhi zinatofaiti ipi. Wananchi sijamuona hata mmj anayekwenda kulipa hizi Kodi. Msaada wa utambuzi
  11. K

    JamiiForums Tanzania Nyumba inauzwa Mabibo Hostel, Nyerere road.

    Nyumba inauzwa Frem 4 Nyumba 3, Ndani Bei: 750milioni Document: Mirathi Sqm: 818 Mtaa: Kibangu Kata: Makuburi Manispaa: Ubungo kwa sasa! Eneo linafaa kwa matumizi yote. Main road: mita 8 Piga simu 0712347749 Tufanye biashara....
  12. JamiiForums Tanzania Wiring kwa usalama wa nyumba yako

    Nafanya wiring kwa gharama za bei nafuu sawa na Bure (150,000)kwa ramani ya nyumba hii kwa ubora na usalama wa nyumba yako pia nakupitishia form ya maombi tanesco bila wewe kwenda ofisini kwaoWaweza nitumia ramani ya nyumba nikakufanyia tasmini ya gharama za wiring Napatikana dar es salaam...
  13. JamiiForums Tanzania Plot4Sale Tunauza viwanja katika maeneo mbalimbali

    Ukubwa wa kiwanja: 650 Sqm. Eneo: Goba Kulangwa, barabara mpya ya lami ya Kuelekea Madale. Bei: Tshs 25,000,000 (Milioni 25) Kina hati ya wizara. Contact : 0742141467
  14. JamiiForums Tanzania NEMC na JMAT kuandaa kongamano la Kitaifa la kujenga uelewa kuhusu athari zitokanazo na sauti zilizozidi viwango katika nyumba za ibada

    BARAZA la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) kwa kushirikiana na Jumuiya ya Maridhiano na Amani Tanzania (JMAT) wameandaa kongamano la Kitaifa la kujenga uelewa kuhusu athari zitokanazo na sauti zilizozidi viwango katika nyumba za ibada litakalofanyika Juni 12,2023 Jijini Dar es...
  15. JamiiForums Tanzania Tetesi: Wabunge wa kamati ya miundombinu waliotembelea Dubai wote walikabidhiwa nyumba

    Zipo tetesi pale mjengoni ugogoni wao kwa wao wameanza kufichuana wakidai wana kamati wote waliotembelea kule DP walikabidhiwa hati za nyumba za kisasa zenye umiliki wao. Wale wawili waongeaji zaidi waliahidiwa makubwa zaidi na kinara kwa kuropoka yeye pamoja kuahidiwa nyongeza alihongwa pia VX...
  16. C

    JamiiForums Tanzania Naomba mnisaidie gharama za finishing nyumba kama hii

    Naomba wataalam wanisaidie gharama ya finishing nyumba kama hii
  17. JamiiForums Tanzania FUNZO: Enyi vijana watafutaji mnaojiweza kiasi kiuchumi msizoeane kabisa na wenye nyumba wenu

    Habari wana jamvi Nimeona niweke huu uzi asubuhi sababu mida hii ndo wenye nyumba huwategeshea vijana wapangaji wao wanaoonekana kujiweza kdg kiuchumi na kuwaelezea shida zao ili wawasaidie. Kuna dogo mmoja kumpa mwenye nyumba wake 30 au 20 ilikuaga kawaida. Siku mzee yule akamfuata dogo...
  18. JamiiForums Tanzania Lipi bora kati ya kununua nyumba iliyojengwa au kujenga yako mwenyewe?

    Je, ipi ni sahihi ukiwa na hela yako kama Tsh. Milioni 40, ununue nyumba mbalimbali zinazotangazwa mitandaoni na magazetini au kwa hiyo hiyo Tsh. Milioni 40 uliyonayo umtafute fundi na akujengee nyumba yako katika uwanja ambao tayari unao siku nyingi? Leo GENTAMYCINE nitakuwa ni msomaji zaidi...
  19. JamiiForums Tanzania Mwenye Nyumba ameleta mganga wa kienyeji anatulazimisha tulambe unga anahisi kuna mchawi kwenye nyumba yake

    Habarini ndugu wanaJF, Baba mwenye nyumba amemleta mganga kutoka kusini huko anadai kwenye nyumba yake kuna mtu anamchezea (mambo ya kichawi), sasa anatulazimisha tulambe ungaunga mweupe nimesikia wanauita 'usembe' ili kumbaini mchawi kwenye nyumba yake. Binafsi nilikataa kulamba vitu...
  20. K

    JamiiForums Tanzania Chumba master, jiko ndani Kigamboni, Magogoni [New] 💥

    Kigamboni magogoni, pc Chumba kimoja 1 master na jiko ndani Maji bure Kodi 180,000 kodi ya mwezi Miezi (6) Mita 15 barabara kubwa Vyumba vyote ni vipya. Piga 0712347749
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…