Mtaa wa Nzasa, eneo lililo karibu na nyumba za walimu wa UDSM, kuanzia Barabara ya Kitambaa Cheupe hadi kwa Mama Ngoma, unakabiliwa na tatizo la mara kwa mara la mifumo ya maji taka kuziba na chemba kujaa.
Hali hii imekuwa kero kubwa kwa wakazi, hasa ikizingatiwa kuwa watoto hupita katika njia...
Ili Nyumba/apartment iitwe Airbnb Apartment, ni lazima itangazwe kwenye official platforms za Airbnb (website au App), otherwise ni Nyumba ya kupanga tu.
Sahivi ukiingia Insta, Facebook, TikTok watu wanageuza maghetto yao kua ya kupanga na wanayaita Airbnb, ukiwaomba link ya profile yao kwenye...
Mzee mmoja nchi Kenya kaunti ya Kisii amelazimika kuvunja nyumba yake baada ya madai ya Bikira Maria kutokea katika moja ya ukuta wa nyumba yake sehemu ya jiko kusababisha kufurika kwa mahujaji Wakatoliki na kuleta usumbufu na tahuriki kubwa katika makazi ya familia yake kiasi cha kushindwa...
Kwanza nilikua bize sana ndiomaana sikuleta mrejesho wa tukio lililo nipata wiki iliyopita.....
Kile chumba nilichokua nimepanga hakikua na dari juu, sasa wapangaji wenzangu (mke na mumewe) walikua wakifanya mambo yao nasikia, ila walikua wanawasha radio kwa sauti ya juu hata usiku wa maneno...
Mbezi mwisho - Makabe - Kwa Lipelanya
.
Ni nyumba inayohitaji finishing ndogo ili kuingia
.
Ukubwa wa kiwanja ni mita 17 kwa mita 18
Vyumba vitatu, sebule, dining, store
Shimo la choo, setting ya vyoo, setting ya maji na setting ya umeme tayari
Imeshapauliwa tayari
madirisha na milango ya grill...
BADO IPO HII SAITI NYUMBA ZA KUBOMOA HIZI HAPA ZI-NA-U-Z-W-A
Location: - Zipo nyuma ya Vodacom Victoria
- Zipo NDANI ya FENSI
- Zipo KWENYE LAMI
- Mitaa (TULIVU SAANA)
Umiliki - Hati safi
Ukubwa wa kiwanja
-Kiwanja (SQM 4,276), Sawa...
Najua wengi mtapinga ila ukweli ni kwamba kama nchi tunataka miji yetu iwe mizuri swala la kujenga nyumba wapewe makampuni ya real estate
Nchi zote zilizofanikiwa kwenye mipango miji za ulaya, north america, east asia (china, japan na korea kusini na singapore) na australia huamki tu na kuanza...
Eneo lenye Nyumba ya Kuvunja Linauzwa.
Mahali: Kinondoni Msisiri, Mtaa wa Ndotonadai.
Eneo liko mita chache kutoka barabara ya Kawawa.
Eneo liko karibu na Mahakama ya Kinondoni na kanisa la kkkt Kinondoni.
Eneo liko karibu na Shule ya Sekondari ya Kambangwa.
Ukubwa wa Eneo: SQM 326.
Bei: Tzs...
NAIROBI — Wakazi wa Mukuru, Nairobi, wameibua maswali kuhusu upatikanaji wa nyumba za bei nafuu zinazojengwa katika eneo hilo, wakidai kuwa baadhi ya nyumba hizo tayari zimeonekana kutokuwa na nafasi kwa wakazi wanaohitaji zaidi.
Katika video, baadhi ya wakazi wanaeleza wasiwasi wao kuhusu...
🏠
💼 FURSA ADIMU KWA WAWEKEZAJI!
Unatafuta property ambayo inaleta kipato kila mwezi? Hii ni fursa ya kipekee Mabibo Mwisho, eneo lenye wanafunzi wengi na biashara kubwa.
📐 Kiwanja: 300 SQM
🏠 Vyumba 4 vikubwa vyenye deka (slab), vimegawanywa kwa ajili ya wanafunzi 38 na tayari vinafanya kazi...
Polisi wa Ushirombo Geita wanatabia usiku wanaenda kwenye nyumba za kulala wageni, kuanzia saa sita usiku, wanagonga ili kufanya ukaguzi, wanakamata watu
Ukiwa na Kitambulisho cha NIDA, watakwambia wanataka Kitambulisho cha Mpiga Kura ukiwa na Mpiga Kura wanakuuliza NIDA.
Wakikupeleka Polisi...
Nakupa uzoefu na facts muhimu sana. Mimi sina historia ya kukaa nyumba ya kupanga ambayo ni ya kushare wapangaji wengi. Niliwahi kukaa kwa miezi 5 tuu kipindi naanza kazi kwa mara ya kwanza. Baada ya hapo nikapata kazi nyingine nzuri zaidi nikahama mkoa kabisa, huko nikapata nyumba nzima...
"Ukikimbia kuingia chumbani, wanakichoma moto," anasema Fatima, akielezea shambulio la hivi karibuni katika kijiji chake Zamfara, kaskazini magharibi mwa Nigeria. "Ukitoka nje na kuanza kukimbia, wanakupiga risasi."
Watu hao waliojihami kwa silaha, waliofanya shambulio hilo saa nane usiku (saa...
Fikiria unatembea mtaani, kisha unamwona jirani yako anatoka nje na kuanza kucheza muziki katikati ya barabara. Hakuna spika, hakuna radio, wala hakuna wimbo wowote unaopigwa... lakini anacheza kwa kasi kubwa huku akivuja jasho.
Baadaye jirani wa pili anajiunga naye, wa tatu, na ndani ya siku...
Unazima moto kuzuia moto usiharibu nyumba inayo waka na kuokoa mali zilizomo ndani.
Tatizo walisahau nyumba ya udongo ukimwagia maji mengi inaporomoka na kuta zake zinaharibika, zinaporomoka kabisa. Baadhi ya Mali zinaharibika pia.
Kuna wakati inaonekana afadhali uache nyumba iungue kisha moto...
Katika kitabu cha Ufunuo 13:16-18 tunasoma,
Naye awafanya wote... wapokee chapa katika mkono wao wa kuume, au katika vipaji vya nyuso zao... na hesabu yake ni 666.
Katika maandiko matakatifu inaonyesha kuwa "alama ama chapa" ina maanisha ishara ya utii na mamlaka ya kiroho juu ya wanadamu...
Mahusiano ni jambo zito sana ila ndoa ni nuclear ya mambo mazito mnoo.
Wengi wapo na wenzi wao physically kwa sababu inambidi tu kutokana labda ndoa au watoto wanao share pamoja ila kihisia yupo na mtu mwingine kabisa
mwanamke inamuuma kuwa walivitafuta pamoja na mmewe na hata kuna kipindi...
ardhi
baada
ila
kutokana
labda
lawyer
mdada
msibani
mtu
mtu mwingine
mwingine
ndoa
nyumba
pamoja
sababu
share
wao
wapo
watoto
watoto wawili
wawili
wengi
NYUMBA INAUZWA
Eneo: Ada Estate, Kinondoni (Mbele ya mtaa, eneo tulivu)
Ukubwa wa Kiwanja: SQM 2,950
Umiliki: Hati Safi (Title Deed)
Bei: TZS Bilioni 6.5 (Sawa na USD Million 2.5) — Maongezi yapo kidogo