nyumba

  1. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Jamaa alibadili boeing kuwa nyumba ya kuishi

    Anaitwa Campbell huko Oregon nyumba hiyo akawa anaishi kuanzia mwaka 1999 na kama una event yako unaweza kukodisha.. Nzuri Sana tazama picha zake.
  2. K

    JamiiForums Tanzania Wananchi wakaidi agizo la mbunge kubomoa Nyumba zao Sengerema

    Wananchi wa Jimbo la Sengerema kata ya KISHINDA Kijiji cha TUNYENYE wamekaidi agizo la Mheshimiwa Mbunge wao Ndugu Hamis Tabasamu Mwagao kubomoa Nyumba zao kwa hiari. Hii ni kutokana na ukweli kuwa,kuna upanuzi wa barabara inayoendelezwa na (TANROADS)ambayo ilikuwa chini ya TARURA...
  3. Planet Data bundles

    JamiiForums Tanzania Nimefungua biashara lakini inaonekana mwenye nyumba kazindika Fremu zake

    Wakuu kuna biashara nimefungua sehemu lakini unashinda siku nzima hujauza hata mia. Location ni nzuri ni karibu na center kubwa kabisa. Hizi fremu watu hawakai huwezi kuta mtu amemaliza haya miez 6 . Nimekuja kuanza kusikia maneno baada ya kuchukua fremu kwamba mwenye napo kuna vitu amefanya...
  4. Z

    JamiiForums Tanzania SoC04 Nyumba na makazi bora kwa raia yenye kuleta tija kwa maendeleo ya taifa letu

    UTANGULIZI Ningependa kumshukuru Mwenyezi MUNGU kwa fursa hii muhimu kwa kuleta mapendekezo na mawazo bunifu yatayoimarisha nchi yetu kwenye sekta ya nyumba na makazi bora kwa raia wa Kitanzania. Tanzania ni miongoni mwa nchi zinazokua kwa kasi kiuchumi, hii inafanya kuwa na ongezeko kubwa la...
  5. Design Your Idea

    JamiiForums Tanzania Chagua idea ya nyumba unayopenda ili nikubunie ramani ya kuendana na uchaguzi wako

    Unaweza kutana na picha nzuri ya nyumba na ukapenda nyumba utakayojenga ifananie hivyo hivyo. Kwa gharama ya Tsh 50,000 nakuchorea ramani na makadirio ambavyo vitaendana na muundo wa hio picha ya nyumba utakayo kuwa umechagua. KARIBUNI. WHATSAPP: 0755325977
  6. T

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri juu ya namna nzuri ya kujenga nyumba kwa ajili ya kupangisha tu

    Ndugu wajumbe, Naombeni ushauri wa namna nzuri (economically optimal) ya kujenga nyumba kwa ajili ya kupangisha tu. Nalenga kupangisha wanafunzi wa chuo/shule, mabachelors, na watu wanaoanza maisha - mfano, mke na mme au mke mme na mtoto mmoja. Je, naweza kujenga nyumba ya kupangisha kulenga...
  7. exponential

    JamiiForums Tanzania House4Rent Nyumba vyumba viwili vya kulala Mbezi Beach

    FOR RENT - TSHS 300,000 NYUMBA VYUMBA 2 VYA KULALA NA SEBULE JIKO LA WAZI NA CHOO NDANI. MAELEZO ZAIDI - 0679268006 Ipo Mbezi beach Makonde, umbali wa kutembea kutoka kituo cha daladala. Maji bomba ndani, luku yake, Parking ipo.
  8. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Wakuu Kwema;nikiwa na milioni 20 naweza kujenga nyumba ya vyumba vingapi maeneo ya Bagamoyo?

    Nina kiwanja huko Bagamoyo nahitaji kujenga nyumba yangu ili nitoke kwenye nyumba za kupanga nikiwa na bajeti ya Milioni 20 tu,kwa pesa hii naweza kujenga nyumba ya vyumba vingapi naombe ushauri wenu.
  9. Son of the universe

    JamiiForums Tanzania SoC04 Itungwe sheria ya kila nyumba ya ibada kuwa na kituo cha kulea watu wenye mahitaji maalum kama yatima, wazee na walemavu

    Nyumba za ibada kwa maana ya makanisa na misikiti ni sehemu ambazo waumini wa dini kuu mbili yaani wakristo na waislamu hukutana katika siku zao maalumu kwa ajili ya kufanya ibada na mikusanyiko mingine. Kwa kipindi kirefu nyumba hizi zimekuwa na mchango mkubwa katika jamii kwa kushiriki moja...
  10. Job Richard

    JamiiForums Tanzania Ujenzi wenye gharama nafuu na muonekano mzuri wa nyumba yako

    Hello wadau wangu najua wengi wanapenda kujenga nyumba nzuri lakini huwa hatuna bajeti ya kutosheleza nikushauri kama mmoja wapo Jipatie mashine ya kutengeneza tofali za interlock bei zetu ni za kawaida sana Hizi tofali ni za udongo zikiwa na muonekano mzuri sana huna haja ya kuskimu nyumba...
  11. Travis Kitengo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Visa na mikasa kwenye nyumba za kupanga

    Yaani hapo upo single halafu wapangaji wengine waliobaki wameoa. Na hivi ndio visa vya wake zao. Je, utahama au utavumilia?
  12. itakiamo

    JamiiForums Tanzania Mpasuko mkubwa wa Ardhi watokea Mbagala Saku. Baadhi ya nyumba za watu zaripotiwa kubomoka

    Hii sijui ni tetemeko au ni kitu gani, wataalamu tunaomba mfuatilie na mtupatie majibu, Ardhi inapasuka na nyumba zinabomoka, eneo ni Saku Mwisho DSM --- Taharuki imeibuka kwa wakazi wa Mbagala Saku baada ya kutokea kwa mpasuko mkubwa wa ardhi na kusababisha kubomoka kwa nyumba nyingi za...
  13. msakhara

    JamiiForums Tanzania Gypsum bora kwa sasa

    Habari wakuu, Kumekua na aina/brand nyingi sana za gypsum boards siku za karibuni. Katika ufuatiliaji wangu, nimekutana na brand zifuatazo: Made in India(bei kubwa Tsh 22000-27000) -Gyproc -Oriana Made in Thailand [Tsh 24000-27000] -Standard gypsum made in Tz (bei nafuu Tsh 12000-16000)...
  14. Druggist

    JamiiForums Tanzania House4Sale Nyumba Inauzwa Nzega-Tabora

    Nyumba Inauzwa Nzega.Bei-35m Ina Vyumba 2 (Kimoja Master), Sebure,Jiko,store ndogo.Ina Umeme na Maji ya Mamlaka ya Nzega (Nzuwasa).Pia kuna Kisima cha Kuhifadhi Maji ya Mvua cha Lita 15,000.Uwanja una Ujazo wa Meta za Mraba 1027,umepimwa. Nyumba IPO Meta 150 toka Rami,Mita 600 toka Stendi kuu ya...
  15. Sonship

    JamiiForums Tanzania House4Sale Nyumba inauzwa Mbezi Kibanda cha mkaa

    Nyumba inauzwa mbezi kibanda cha mkaa Nyumba ina vyumba vitatu,kimoja self Ina sitting& dinning room Ina kitchen na Public toilet Nyumba imeisha bado kufanya finishing tu kama utakavyohitaji wewe Bei mln 30 maongezi yapo Ipo umbali wa km 2 kutoka barabara ya morogoro road Eneo la kiwanja ni mita...
  16. KING MIDAS

    JamiiForums Tanzania Ni vituko gani ulishawahi kufanyiwa na mwenye nyumba wako hadi ukatamani uhame uache Kodi?

    Nakumbuka miaka hiyo ndio nimepata kazi benki Fulani, nikapata nyumba Sinza ya mama mtu mzima kijana. Akanikaribisha sana, hakuwa na noma, nilipokuja kununua flat TV enzi hizo plasma tv ndio zimetoka, hamna cha LCD na LED ni ndoto kabisa, yaani ndio kwanza watu wachache sana tumeamza kujikwamua...
  17. Royal Son

    JamiiForums Tanzania Kwenda nyumba ya Ibada mara kwa mara

    Habari wakuu, Mimi sio Mwandishi mzuri sana naenda kwenye Mada husika hivi mtu akishahitimu Chuo si anakuwa amemaliza. Na haitajiki kurudi mara kwa mara chuoni. Sasa swali lilipo mbona hizi dini mtu alishabatizwa akapata Komunyo/Kipaimara au hata mafunzo ya ndoa sasa kuna uliza gani wakurudi...
  18. Sonship

    JamiiForums Tanzania House4Sale Nyumba inauzwa Kimara Temboni

    Nyumba inauzwa kimara Temboni. Bei milioni 30 tu. Vyumba vitatu kimoja master Sebule jiko na choo cha public. Ukubwa wa eneo mita 20 kwa 20 Ukishainunua una malizia kufanya finishing tu Ina hati ya mauziano serikali ya mtaa. Umball kutoka barabara kuu kilomita 2.5 Gari inafika mpaka site...
  19. Sonship

    JamiiForums Tanzania Nyumba inauzwa kibaha maili moja

    Nyumba ya kisasa inauzwa kibaha maili moja........ Ina vyumba vitatu kimoja self Sitting,dining,kitchen & public toilet Gypsum na tiles vyumba vyote Bei mln 46 tu Document:Sales agreement 0675 065906 Iko mtaa nzuri umeme na maji yapo
  20. Sonship

    JamiiForums Tanzania House4Sale Nyumba inauzwa Kibaha Msufini

    NYUMBA (BINAFSI) NZURI IMEJENGWA KISASA INAUZWA MSUFINI MLANDIZI. IKO KWENYE CORNER PLOT, NI KILOMITA 1 TU TOKA MAIN ROAD LOC : KIBAHA KARIBU NA MSUFINI MLANDIZI AREA :SQM 534 PRICE : MIL 38 UMILIKI :HATI SIFA:- -INA VYUMBA 3, MASTER 1 -SITTING ROOM -DINNING -JIKO KUBWA NA STORE -CHOO CHA...
Back
Top Bottom