nyumba

  1. Financial Analyst

    Je, inahitajika kibali kufungua ofisi ya kuchora ramani za nyumba?

    Mimi sijasomea kuchora ramani ila nina ustadi huu. Nataka nigeuze ustadi huu kama side hustle nijipatie kipato. Je, kuna process zinatakiwa kufanywa kabla sijafungua ofisi ya namna hii.
  2. Robert Heriel Mtibeli

    Kabla ya maisha kuwapiga Watu wengi Knockout, wengi walifikiri wakifika miaka 30 wangekuwa na nyumba na Gari

    Habari za Jumapili, Maisha sio Pouwa! Nakubaliana na wale wanaosema Maisha ni majaliwa. Na jitihada hazizidi kudura. Wapo waliosoma kwa bidii mila hiyo na waliona taa ya matumaini kulingana na matokeo ya darasani waliyokuwa wakiyapata. Waliamini kuwa maisha yao na hatma yao ipo mikononi mwao...
  3. politicians

    Napangisha nyumba na vyumba maeneo mbalimbali nchini

    Habari, nyumba inapangishwa mwanza maeneo ya Butimba mtaa wa Amani,ina chumba kimoja na sebule, maji na umeme ni Tsh.60000/= kwa mwezi. Yaani kwa miezi sita ni Tsh 360000/= tu. Ipo ndani ya fensi usalama upo wa kutosha, mawasiliano tuma txt au piga 0687234549.
  4. MrsPablo1

    House4Sale Appartments zinauzwa Mbezi Mwisho Msakuzi

    ..
  5. PD_Magumba

    Ni jinsi gani earthing (Grounding) kwenye nyumba ya umeme ina complete circuit?

    Kwa mjibu wa basics za Physics, electric current itapita na kufanya kazi kama tu kuna closed path(Complete circuit). Kwa maana hiyo kifaa chochote cha umeme kitafanya kazi kama kipo kwenye complete circuit. Sasa naomba kujua katika lugha ya kawaida kabisa ni jinsi gani ile earth rod kwenye...
  6. G

    Tuishi na wanyama vizuri: paka wangu kaua nyoka jioni ya leo, bila yeye nyoka angekuwa ndani ya nyumba na lolote lingeweza kutokea

    Mida ya jioni nikiwa nimetoka kwenye shughuli zangu nilifika nyumbani, nikaenda sebleni kupumzika, paka wangu nae alikuja miguuni kujizungusha zungusha kama kawaida yake nadhani huwa ni salamu yake kisha akarudi zake kupumzika kisehemu chake. Ghafla nikaona paka anaenda mlango wa kuingia ila...
  7. Suley2019

    Mtwara: Akutwa amejinyonga jirani na nyumba ya mkewe

    Jeshi la Polisi mkoani Mtwara linafanya uchunguzi wa tukio la mwanaume mmoja kujinyonga katika kijiji cha Majengo kata ya Ziwani Halmashauri ya Wilaya ya Mtwara. Mwanaume huyo amekutwa amejinyonga jirani ya nyumba ya mkewe ambaye walikorofishana. Akizungumza na waandishi wa habari ofisini...
  8. Kijana LOGICS

    Kwa wapangaji wa nyumba Haingii akilini kumpa dalali pesa ya mwezi mmoja hii ni aina ya utapeli ambao unatakiwa udhibitiwe MAPEMA

    Hii post Ina wahusu MADALALI WA nyumba/nyumba za kupangisha tu Kuna madalali wanajimilikisha vyumba Kuna madalali wanaongeza Kodi nyumba /chumba Cha kupanga Ili apate îli héla ya mwezi apate nyingi zaidi. Kuna chain ya vijana dar hawataki kupigika kufanya kazi wao wanakomaa na udalali ukichek...
  9. G

    Ni marufuku mwanaume kuwa kwenye mahusiano na mwanamke mnayetokea mazingira sawa

    Ni Marufuku mwanaume kuwa na mahusiano na mwanamke mnaeishi mtaa mmoja, mnafanya kazi office moja, mnasoma darasa moja, mnaishi nyumba moja, ni mbaya. Ni sheria kutoka jandoni hio, hakikisha unarina asali ya mbali, hiyo ya maeneo yako iache watu wa mbali waifate.
  10. African businesses

    Naweza kukuonesha njia nzuri ya kuipa muonekano nadhifu ofisi au nyumba yako

    Habari zenu wadau, leo nawakaribisha na kuwaambia kwamba sisi kama African businesses tunatoa huduma ya kupamba na kupendezesha ofisi au makazi kwa kwa kutumia mapambo ya mbao na picha pamoja na materials mengine, tunafanya ofisi au nyumba yako kuwa nadhifu kabisa. Gharama zetu ni nafuu sana...
  11. Melki Wamatukio

    Viongozi wa dini ndiyo chanzo cha uvunjifu wa maadili kwenye nyumba za ibada

    Hivi hawa viongozi wetu wamepatwa na nini ndugu zanguni? Inasikitisha sana. Jioni ya leo nimekutana na moja ya dhehebu katika pita pita zangu, ikabidi niingie japo niiburudishe nafsi. Mara pap ni muda wa sifa. Wimbo uliokuwa unaimbwa umeniacha mdomo wazi. Cha kushangaza waumini wanaimba vizuru...
  12. Ramoth Gilead Appliances

    INAUZWA Ipambe nyumba yako na home appliances nzuri kwa bei nafuu kutoka kwetu

    We tuambie budget yako ni shilling ngapi na unahitaji home appliances ipi tuko kwa ajili yako Kwalioko dar es salaam unaletewa mzigo ndo unalipa na mikoani unatuma fedha ndo tunakutumia mzigo. Mawasiliano ya cargo tunazotumiaga wapigie watakuelekeza ofisi zao zilipo kwenye mkoa husika, na bei...
  13. Mechanical

    Natafuta nyumba au chumba kiwe master

    Natafuta chumba au nyumba iwe master, eneo la Makongo Juu karibu na sheli ya Oryx au iwe mbali kidogo na sheli hiyo lakin upatikanaji wa usafiri uwe ni wa huakika kwenye barabara inayopita katka sheli hiyo. Namba zangu 0713342243
  14. Robert Heriel Mtibeli

    Ndoto ya wengi ni Kazi, nyumba, Familia, mwisho Gari

    Kwema! Kibongobongo wengi ndoto yao ni kupata kazi, kisha nyumba( inaweza kuwa uwezo wa kulipia apartment), Familia(mke au mume na watoto) alafu mwisho usafiri kama kagari Fulani hivi kakishkaji. Imeisha hiyo
  15. Pfizer

    Nyumba ya Dudley Mbowe kupigwa mnada kwa kushindwa kulipa Sh milioni 62.7 za waandishi

    Na mwandishi wetu Dar es Salaam MAHAKAMA Kuu ya Tanzania Divisheni ya Kazi imetoa amri na kumteua dalali wa kukamata nyumba ya mtoto wa Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe, Dudley Mbowe na kuipiga mnada kwa kushindwa kulipa Sh milioni 62.7 za waandishi wa habari. Uamuzi huo wa mahakama...
  16. JanguKamaJangu

    Baada ya AFCON hivi ndivyo wachezaji wa Ivory Coast na Nigeria wanavyokula mkwanja na kupewa nyumba

    Baada ya Ivory Coast kutwaa ubingwa wa Kombe la Matafa ya Afrika (AFCON 2023) kila mchezaji anatarajiwa kupata Dola 82,000 pamoja na nyumba ikiwa ni ahadi ya Rais wa taifa hilo, Alassane Ouattara. Upande wa Nigeria walioshika nafasi ya pili kila mchezaji atapata Tuzo ya Heshima, nyumba na...
  17. J

    House4Sale Nyumba inauzwa Mwanza-Igoma,Kishiri

    Nyumba inauzwa milioni 45 ina vyumba vitatu kimoja master, choo cha public, jiko, store, dinning na sitting rooms, Angalia video kuiona vizuri Piga: 0683406665
  18. E

    Msaada wa Ramani ya Nyumba

    Habari. Nina shida na Ramani ya nyumba yenye sifa zifuatazo -Vyumba viwili vya kulala, kimoja master -Sitting room -Public toilet -Jiko Naomba kuwasilisha
  19. Stephano Mgendanyi

    Waziri Mhagama: Ujenzi wa Nyumba za Waathirika wa Maafa Hanang’ Uzingatie Ubora na Thamani ya Fedha

    Waziri Mhagama: Ujenzi wa Nyumba za Waathirika wa Maafa Hanang’ Uzingatie Ubora na Thamani ya Fedha Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia masuala ya Sera Bunge na Uratibu Mheshimiwa Jenista Mhagama amehimiza ujenzi wa nyumba za waathirika wa maafa ya maporomoko ya tope, miti na...
  20. Stephano Mgendanyi

    Mbunge Juliana Masaburi Aibana Wizara ya Ardhi Kuhusu Kutumia Fedha za Kigeni Katika Malipo ya Upangishaji Nyumba

    MBUNGE JULIANA MASABURI AIBANA WIZARA YA ARDHI KUHUSU KUTUMIA FEDHA ZA KIGENI KATIKA MALIPO YA UPANGISHAJI NYUMBA Mhe. Juliana Didas Masaburi, Mbunge wa Viti Maalum, ambaye swali lake namba 15 kwa niaba limeulizwa na Mbunge wa Jimbo la Handeni Mjini, Mhe. Kwagilwa Reuben Nhamanilo...
Back
Top Bottom