nyumba

  1. Freyzem

    JamiiForums Tanzania Tufanye tunaishi nyumba moja, hebu tutiririke vibwanga na vituko ndani ya Mjengo.

    Wajameni, hebu tufanye tuko ndani na tunaishi ndani ya nyumba moja ambapo vihoja, vituko na vibwanga havikosekani! Vingine vinafurahisha na vingine vinakera! Haya mimi naanza….. “Nani kala kiporo changu…, halafu mbona sioni kamba za viatu?”
  2. Mjanja M1

    JamiiForums Tanzania Baba mwenye nyumba na mpangaji (Confession)

    Mpangaji akimuongelea Baba mwenye nyumba, Mwenye Nyumba akimjibu Mpangaji Kazi kweli kweli!
  3. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Wanu Hafidh Ameir achangia Milioni 10 Ujenzi wa Nyumba ya Katibu UWT Wilaya ya Rufiji

    MHE. WANU HAFIDH AMEIR ACHANGIA MILIONI 10 YA UJENZI WA NYUMBA YA KATIBU UWT WILAYA YA RUFIJI Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Unguja Kusini tarehe 30 Julai, 2024 alifungua Baraza la UWT Wilaya ya Rufiji na kuchangia Shilingi Milioni 10 kwa ajili ya kutatua changamoto zao ikiwemo kumalizia ujenzi...
  4. Manka R

    JamiiForums Tanzania NYUMBA YA VYUMBA VINNE - PUGU KIGOGO FRESH 150,000x4 -0684223374

    Gari inafika sebule, dinning, etc
  5. Damaso

    JamiiForums Tanzania KWELI Kuchoma mifuko ya plastic na ndala kunaweza kumfukuza Nyoka ndani ya nyumba kwa muda mfupi ambao harufu itakuwepo

    Nimepata kusikia kuwa endapo nyoka akiingia ndani ya makazi ya mtu au nyumba basi njia bora zaidi ya kumtoa bila kumdhuru ni kuchoma kitu cha plastic kama mifuko au ndala na ile harufu inamfanya atoke ndani. Je ni kweli dhana hii? Je, ni kuchoma mifuko ya plastic au bidhaa iliyotengenezwa na...
  6. mtwa mkulu

    JamiiForums Tanzania Nyumba inauzwa kibaha mwenda pole

    Nyumba inauzwa ipo kibaha mwenda pole. Si mbali na barabara kuu iendayo dar es salaam. Ina vyumba 3 master 2 single Moja Ina sitting room dining room jiko store umeme maji mabanda ya kuku ya kisasa Ina tiles na madirisha ya aluminum. Ukubwa wa eneo ni hatua 20 Kwa 60. Bei ni sh milioni 80 Tu...
  7. R

    JamiiForums Tanzania Wanasiasa wameingia rasmi kwenye mwaka wa harambee kwenye nyumba za Ibada; viongozi wa dini changamkieni fursa

    Tupo kwenye mwaka mmoja na nusu ambapo kamati za miradi na ujenzi za makanisa na misikiti zinapanga mipango mingi ya kukusanya fedha kwa wanasiasa Ni kipindi ambacho taasisi za dini uacha kuangalia uchafu wa fedha na kupima vyanzo vya fedha husika. Ni kipindi cha wanasiasa kupokea mialiko...
  8. mdukuzi

    JamiiForums Tanzania Tulimzika rafiki yetu pembeni kabisa ya nyumba yake ili mkewe asiiuze

    Pamoja na kuwa kuna wazee wa ovyo wengi ila bado kuna wazee wenye busara wengi pia. Tuliwahi kupata msiba wa rafiki yetu ambaye alioa mke mrembo sana toka kaskazini,huyu mke alikuwa cha pombe na utulivu zero kabisa,hata kifo cha jamaa kilikuwa cha utata sana kuna watu walidai mke alihusika...
  9. stabilityman

    JamiiForums Tanzania Kupaka mbao dawa au kupaka oil ipi inakaa muda mrefu bila wadudu kula?

    Wakuu mimi Niko hapa kwenu nawapa tip ya ujenzi hii hapa maana mimi kwenye ujenzi nmeboboa. Kutreat mbao kwa dawa zile za kijani kijani wanazopiga wengi wauzaji wa mbao. Oili chafu inadumu muda mrefu zaidi kuliko hizi dawa. Ukweli ndio huo oili kwanza kadili inavyopigwa joto ndio kwanza...
  10. stabilityman

    JamiiForums Tanzania Jenga nyumba ya hivi kupunguza gharama za ujenzi

    Jenga nyumba ya hivi kupunguza gharama za ujenzi ila zile za hidden roof ni hatari kama ukipata fundi mbaya hizi hakuna nondo nyingi. Kama unataka kuwasiliana na mimi 0743257669
  11. David 97

    JamiiForums Tanzania Ramani za majengo.

    Tunaandaa na kuuza ramani za majengo kwa gharama nafuu sana kuanzia 130,000/= na kuendelea. Ni kwa mikoa yote. Tupigie simu au WhatsApp 0759009331.
  12. Aliko Musa

    JamiiForums Tanzania Sababu 20 Kwanini Unatakiwa Kumiliki Nyumba Ya Kupangisha Kwa Kuzingatia Mahitaji Ya Soko Mahalia

    Kujenga nyumba ya kupangisha kulingana na mahitaji ya soko la mtaa husika ni mbinu bora inayoweza kuleta mafanikio makubwa katika uwekezaji wa mali isiyohamishika. Hapa chini kuna sababu 20 za kwa nini unapaswa kuzingatia mahitaji ya soko la mtaa husika wakati wa kujenga nyumba za kupangisha...
  13. J

    JamiiForums Tanzania House4Rent Arusha, Nyumba inapangishwa

    Nyumba (double, 2 in 1) zinapangishwa. Ina master bedroom, sebule na public toilet, na sehemu ndogo kuweka meza ya kupikia. Kodi ni 100,000 kwa mwezi Eneo ni 1 km from Leganga (USA River). Iko karibu na Ngarasero Lodge Hakuna hela ya udalali.
  14. maurice99

    JamiiForums Tanzania House4Sale Nyumba inauzwa Tanga Mjini

    Nyumba ipo Kange Mkurumuzi *Rooms 3 (Viwili master) *Sebule *Dinning *public toilet *Umeme *Maji Sqm 603 Price Milioni 39 (mazungumzo yapo) Call 0679991114 / whatsapp 0763316426
  15. GoldDhahabu

    JamiiForums Tanzania Ulishawahi kuona nyumba iliyokufanya uhisi yako ni kama banda tu?

    Kuona ni kuamini! Burudika kwa picha chache za nyumba toka sehemu mbalimbali!
  16. stabilityman

    JamiiForums Tanzania Pitia hapa ongeza ujuzi kuhusu nyumba za contemporary au hidden roof

    Kabla ya huajajenga nyumba yenye paa la kujificha ( hidden roof) soma ushauri huu👇 👉Hiddenroof ni nyumba ambazo zilikuwepo toka miaka ya nyuma hivi karibuni Zimekuja kwa Kasi. Na zimeacha kilio kwa watu wengi, hii ni kutokana na kulalamikiwa kwenye changamoto ya kuvuja. 👉 Nyumba hizi...
  17. HOMEX DESIGN

    JamiiForums Tanzania Ramani, Ujenzi na Ushauri

    Vyumba vitatu, kimoja master, kimoja self, kingine single, sebule, dining, jiko, stoo na choo cha public. Kwa mahitaji ya ramani, ujenzi, ushauri n.k tuwasiliane 0719086787... Whatsapp & calls
  18. Forrest Gump

    JamiiForums Tanzania Ukubwa wa nyumba ni 90m². Nisaidieni kujua makisio ya gharama hadi kuimaliza

    Nisaidieni kujua makisio ya budget ya nyumba hii. NOTE: *Haina fence *Vyumba vya kulala 2 *Bati migongo mipana gauge 30 *Finishing ya skimming, vinyl, w.guard *Gypsum brd, tiles, sitting toilets, kitchen set up, etc Karibuni.
  19. Manka R

    JamiiForums Tanzania House4Rent Kodi 150,000/=

    Ipo Pugu kigogo fresh, Nyumba ina vyumba vinne vya kulala, sebule, dinning, jiko, choo&bafu ndani 0684223374
  20. Fazz

    JamiiForums Tanzania Nyumba jeneza ''coffin homes " China

    Idadi kubwa ya watu na umaskini wa kutisha unasababisha baadhi ya wakaazi wa china kuishi sehemu finyu sana ndo maana baadhi yao wakija huku wanapigana hadi na machinga wetu survive for fitness YouTube:
Back
Top Bottom