nyumba

  1. JamiiForums Tanzania Nakumbuka miaka ya 2000 uraibu kwa njia hii ulishika kasi sana na ilikuwa wazi wazi

    Mtu alikuwaga akifika hii hatua basi ilikuwa inahesabika "ITS OVER". Visa bado vipo ila sio kama ilivyokuwa miaka ya nyuma, nafikiri hizi sober houses zimeokoa vijana sana kwa kiasi chake Hawa jamaa walikuwa na uwezo wa kusimama kwa kujipinda kwa style hio hio kwa muda mrefu bila hata kuyumba...
  2. JamiiForums Tanzania Ramani hii ya vyumba 2 vya kulala

    Yes karibu hii ya vyumba 2 vya kulala 1 master Plain room seble Jiko Dinning public toilet nichek 0743 257 669 Au nichek whatsapp wa.me//255743257669
  3. JamiiForums Tanzania NYUMBA YAKO INAHITAJI KUWA NA MAZINGIRA BORA SANA LET US DESIGN AND BUILD YOUR LANDSCAPE 0624004650

    WE DO BUILDING DESIGN AND CONSTRUCTION LANDSCAPE ALSO TUNAPATIKANA SINZA DAR ES SALAAM CALL US +255624004650
  4. JamiiForums Tanzania Nyumba inauzwa Kibamba Gogoni

    Nyumba inauzwa Kibamba Gogoni Ina vyumba 3 kimoja master Ipo ndani ya fensi Sebule,dining &, jiko Nyaraka ni Mikataba ya mauzino ya serikali za mitaa Bei mln 50 0775 179905
  5. JamiiForums Tanzania Kwanini kwenye nyumba za kupanga ujenzi wa vyoo vizuri hauzingatiwi?

    Ujenzi wa choo kizuri na salama kwa matumizi sio jambo linalozingatiwa sana hasa kwenye nyumba za kupanga hasa hizi za bei za kawaida (10K-150K). Unakuta nyumba nzuri na mazingira n mazuri ila chooni utadhani kulisahaulika wakafosi kujenga ili choo kiwepo. Vyoo vingi ni vidogo sana, na namna...
  6. JamiiForums Tanzania Eneo lenye Nyumba ya zamani linauzwa Temeke

    Eneo lenye Nyumba ya zamani linauzwa. Mahali: Temeke karibu na shule ya Yemen, Mtaa wa Mganda. Eneo liko mita chache kutoka barabara ya Chang'ombe. Ukubwa wa Eneo: SQM 548. Bei: Tzs Milioni 400. Mazungumzo yanaruhusiwa. Nyaraka: Hatimiliki. Gharama ya kwenda kuona Eneo itahusika. Mawasiliano...
  7. JamiiForums Tanzania NYUMBA YENYE VYUMBA VITATU (3) TSHS.27 MILIONI, KINYEREZI-LIMBANGA.

    ....
  8. JamiiForums Tanzania NYUMBA MPYA, VYUMBA 5, MADUKA 2, TSHS.37 MILIONI, KINYEREZI-MWISHO.

    ...
  9. JamiiForums Tanzania Nyumba ya chumba, sebule, jiko, choo inaingia bati mita ngapi?

    Naombeni Kwa mlliojenga au mafundi mnaojua chumba sebule jiko choo inaingia bati mita ngapi maana nimeuliza bati naona kichwa kinawaka moto aisee mwenye kujua anisaidie nimeuliza alafu mita 1 Bei 27000 kwahiyo bati Moja Lina mita 3 sawa na 81000 jumla hii ni hatari aisee
  10. JamiiForums Tanzania Nyumba mpya ya kisasa, vyumba vitatu (3) inauzwaTshs.330 milioni, Madale

    ....
  11. JamiiForums Tanzania HABARI MABOSS ZANGU : JE! UNAHITAJI RAMANI YA NYUMBA AU CHOCHOTE KATIKA UJENZI? BONYEZA 👇👇👇

    Habari! Nawakaribisha sana kwa yeyote mwenye kuhitaji ramani ya jengo aina yoyote ikiambatana na 1. JENGO LOLOTE (RESIDENCIAL AND COMERCIAL BUILDING) 2. Makadirio ya UJENZI (BOQ) 3. KUJENGEWA NYUMBA UKINUNUA MATERIALS AU KUTUKABIDHI PESA 4. USIMAMIZI WA JENGO LAKO BEI ZETU NI NAFUU SANA...
  12. JamiiForums Tanzania Hivi inakuaje baba kijana wa miaka 28 anaishi Kwa wazazi wake nyumba moja

    Wakuu Leo nataka tu tuongee vitu serious Kuna jamaa kaja analalamika wazazi wake wanamuendesha Kwa kumkalipia na anasema baba yake anamtangaza mtaani kwamba anamtafutia kazi ila yeye hataki jambo ambalo huyu jamaa anasema ni uongo na sio kwamba yeye anapenda kuishi kwao ni kwamba anajitafuta...
  13. JamiiForums Tanzania Wakuu naombeni mnipigie hesabu ya hii nyumba Mimi mgeni kwenye ujenzi

    Sebule 5m+5m Chumba 5m+5m Jiko 2m+2m Choo 2m+2m na kibaraza Cha 2m 2m hapa naomba kujua zinaingia bati ngapi Kwa upauaji wa paa nne na tiles ngapi wakuu Mimi ni mgeni kwenye ujenzi
  14. JamiiForums Tanzania Nyumba ya vyumba 8 inauzwa mil 29 chanika

    Nyumba inauzwa chanika mwisho kwa milion 29 tu ipo mbele ya barabara ya mtaa na mita 300 toka lami, Nyumba ina viumba 8, vyote vina wapangaji matundu ya choo yapo ma 4. 0743257669 Hati ni ya mauziano ya serikali za mtaa
  15. JamiiForums Tanzania Nyumba inauzwa kitunda kwa mpemba

    Nyumba inauzwa kitunda kwa mpemba dsm nyumba ina vyumba 3 chumba kimoja masta sebule jiko sehem ya kulia chakula choo public inauzwa ml 67 nicheki whatsap 0743 257 669
  16. M

    JamiiForums Tanzania Nyumba ndiyo baraka ya kwanza kwa mwanadamu

    Duniani kote nyumba ni namba moja kwa mwanadamu, matajiri wote unaowajua duniani kila kukicha wanajenga na kununua nyumba. Hutakaa ujue nguvu ya nyumba mpaka siku utakapokosa pa kulaza familia yako au pale utakapotembelea mitaa ya kariakoo usiku uone watu wanavyolala kwenye mabox na kwenye mitaro.
  17. JamiiForums Tanzania Nyumba mpya inauzwa, bahari beach Dar es salaam

    Gorofa la kumalizia linauzwa ni nzur sana”” Lina vyumba vitano master Ukumbwa wa kiwanja ni square mitter 1200” Price million 500” maongez yapooo Kuna hat miliki Locationbahar beach 🇹🇿call/whatsapp +255758844717
  18. JamiiForums Tanzania Nyumba inauzwa,bahari beach Dar es Salaam

    Prime Property for sale at Haile Selassie, Masaki -There is a house inside the plot The plot is suitable for Apartment, Residential or office block ect -Plot size Sqm 4,000+ -Document; Title Deed (Ownership) Price $ 3.7 million negotiable
  19. JamiiForums Tanzania NYUMBA YA VYUMBA VINNE (4) TSHS.70 MILIONI, KWA-MSUGULI, MBEZI/KIMARA.

    ...
  20. JamiiForums Tanzania Nyumba mbili, kiwanja sqm. 3,000, tshs.110 milioni,kiluvya kwa komba kinauzwa

    ....
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…