Ujenzi wa choo kizuri na salama kwa matumizi sio jambo linalozingatiwa sana hasa kwenye nyumba za kupanga hasa hizi za bei za kawaida (10K-150K). Unakuta nyumba nzuri na mazingira n mazuri ila chooni utadhani kulisahaulika wakafosi kujenga ili choo kiwepo.
Vyoo vingi ni vidogo sana, na namna...
Eneo lenye Nyumba ya zamani linauzwa.
Mahali: Temeke karibu na shule ya Yemen, Mtaa wa Mganda.
Eneo liko mita chache kutoka barabara ya Chang'ombe.
Ukubwa wa Eneo: SQM 548.
Bei: Tzs Milioni 400. Mazungumzo yanaruhusiwa.
Nyaraka: Hatimiliki.
Gharama ya kwenda kuona Eneo itahusika.
Mawasiliano...
Naombeni Kwa mlliojenga au mafundi mnaojua chumba sebule jiko choo inaingia bati mita ngapi maana nimeuliza bati naona kichwa kinawaka moto aisee mwenye kujua anisaidie nimeuliza alafu mita 1 Bei 27000 kwahiyo bati Moja Lina mita 3 sawa na 81000 jumla hii ni hatari aisee
Habari!
Nawakaribisha sana kwa yeyote mwenye kuhitaji ramani ya jengo aina yoyote ikiambatana na
1. JENGO LOLOTE (RESIDENCIAL AND COMERCIAL BUILDING)
2. Makadirio ya UJENZI (BOQ)
3. KUJENGEWA NYUMBA UKINUNUA MATERIALS AU KUTUKABIDHI PESA
4. USIMAMIZI WA JENGO LAKO
BEI ZETU NI NAFUU SANA...
Wakuu Leo nataka tu tuongee vitu serious Kuna jamaa kaja analalamika wazazi wake wanamuendesha Kwa kumkalipia na anasema baba yake anamtangaza mtaani kwamba anamtafutia kazi ila yeye hataki jambo ambalo huyu jamaa anasema ni uongo na sio kwamba yeye anapenda kuishi kwao ni kwamba anajitafuta...
Sebule 5m+5m Chumba 5m+5m Jiko 2m+2m Choo 2m+2m na kibaraza Cha 2m 2m hapa naomba kujua zinaingia bati ngapi Kwa upauaji wa paa nne na tiles ngapi wakuu Mimi ni mgeni kwenye ujenzi
Nyumba inauzwa chanika mwisho kwa milion 29 tu ipo mbele ya barabara ya mtaa na mita 300 toka lami,
Nyumba ina viumba 8, vyote vina wapangaji matundu ya choo yapo ma 4.
0743257669
Hati ni ya mauziano ya serikali za mtaa
Nyumba inauzwa kitunda kwa mpemba dsm nyumba ina vyumba 3 chumba kimoja masta sebule jiko sehem ya kulia chakula choo public inauzwa ml 67 nicheki whatsap 0743 257 669
Duniani kote nyumba ni namba moja kwa mwanadamu, matajiri wote unaowajua duniani kila kukicha wanajenga na kununua nyumba.
Hutakaa ujue nguvu ya nyumba mpaka siku utakapokosa pa kulaza familia yako au pale utakapotembelea mitaa ya kariakoo usiku uone watu wanavyolala kwenye mabox na kwenye mitaro.
Gorofa la kumalizia
linauzwa ni nzur sana””
Lina vyumba vitano
master
Ukumbwa wa kiwanja
ni square mitter 1200”
Price million 500”
maongez yapooo
Kuna hat miliki
Locationbahar beach
🇹🇿call/whatsapp +255758844717
Prime Property for sale at Haile Selassie, Masaki
-There is a house inside the plot
The plot is suitable for Apartment, Residential or office block ect
-Plot size Sqm 4,000+
-Document; Title Deed (Ownership)
Price $ 3.7 million negotiable
Eneo lenye Nyumba 3 linauzwa.
Mahali: Tegeta Namanga, Mtaa wa Kibera.
Eneo liko mita chache kutoka barabara ya Old Bagamoyo.
Ukubwa wa Eneo: SQM 1204.
Bei: Tzs Milioni 300. Mazungumzo yanaruhusiwa.
Nyaraka: Hatimiliki.
Gharama ya kwenda kuona Eneo itahusika.
Mawasiliano: 0784 829565 au 0767...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.