nyumba

  1. Dalali mbeya jiji

    JamiiForums Tanzania House4Sale Nyumba inauzwa Uzunguni Mbeya

    Kiwanja kina ukubwa wa sq 1500. Ni eneo zuri kwa uwekezaji, appartment,kuishi,ofisi nk. Bei. Tshs. 600m. Mazungumzo yapo. Wasiliana nasi+255761972755,+255612246050. Nyote mnakaribishwa!!!
  2. Consultant_Silwano

    JamiiForums Tanzania MSAADA WA KUPATA NYUMBA YA KUPANGA ZA NHC DAR ES SALAAM

    Habari wanajamii forum, Naomba msaada wa kusaidiwa kupata nyumba ya kupanga za NHC Dar es salaam eneo laweza kuwa Ubungo Shekilango au eneo lolote ambalo litanirahishia kufika hospitali ya muhimbili kwa urahisi kwani kwa sasa nauguza Mgonjwa ambaye anilazimu kumpeleka kwenye session muhimbili...
  3. Consultant_Silwano

    JamiiForums Tanzania MSAADA WA KUPATA NYUMBA YA KUPANGA NHC DAR ES SALAAM

    Habari wanajamii forum, Naomba msaada wa kusaidiwa kupata nyumba ya kupanga za NHC Dar es salaam eneo laweza kuwa Ubungo Shekilango au eneo lolote ambalo litanirahishia kufika hospitali ya muhimbili kwa urahisi kwani kwa sasa nauguza Mgonjwa ambaye anilazimu kumpeleka kwenye session muhimbili...
  4. hungary

    JamiiForums Tanzania Kwa ambae anataka kuhama kwenye nyumba za national housing naomba anishitue

    Habari wakuu .... Mambo juu ya mambo 1 haikai mbili haikai .... Kwa ambaye amejipata na alikuwa anaishi kwenye nyumba za national housing naomba unishitue ndugu yang nije nihamie Maana nimeenda kwenye ofisin za NHC naambiwa nyumba zote Zina watu na watu awataki kuhama Hvyo ww ambae umejipata...
  5. Magical power

    JamiiForums Tanzania Uchawi katika nyumba za kupanga

    UCHAWI KATIKA NYUMBA ZA KUPANGA. Umewahi ishi kwenye nyumba yenye mauza uza ya kutisha kiasi usilale usiku. Au umewahi kaa nyumba yenye skendo za uchawi yaaani wenye nyumba au wapangaji wenzio ni washirikina Share nasi ulikutana na mambo gani ya kichawi kwenye nyumba hadi ukaamua kuhama...
  6. stabilityman

    JamiiForums Tanzania Ramani ya nyumba ya kuombea kibali cha ujenzi inatakiwa kuwa na sifa hizi

  7. britanicca

    JamiiForums Tanzania Nyumba mithili ya Meli pachungu hapakaliki, mbelgiji awe makin sana, aliyeshika pembe anaingizwa Chaka kumuumiza

    Yes the man is Smart Chama WALATA kilizoea sana vya kuchinjwa, kwa sasa Mbelgiji katembelea Taasisi zaidi ya 30 na mashirika ya Kimataifa na balozi za nchi mbali mbali, kwamba “HAKUNA MAGEUZI HAKUNA KUDINDISHA” isomeke hivi penye (L)pakiwekwa (R) Jamaa ameonekana mtu anayefuata utaratibu...
  8. Nrangoo

    JamiiForums Tanzania House4Rent Natafuta nyumba ya kupanga Kigamboni

    Habari ya wakati huu wadau. Nahitaji nyumba ya kupanga Kigamboni , haswa eneo la Mjimwema au Gezaulole . Sifa : Nyumba iwe na master bedroom, Sebule na Jiko, isiwe mbali na barabara, Umeme na Maji viwepo. Kwa mwenye kuweza kunifanikishia hitaji hilo tafadhali naomba tuwasiliane. Natanguliza...
  9. Fundi mahiri wa Ujenzi

    JamiiForums Tanzania Pendezesha nyumba yako kwa ngazi mzunguko kama hii, kwa gharama nafuu kabisa.

    FAIDA ZAKE Inachukua eneo dogo Inamvuto. 0756244608
  10. christophany

    JamiiForums Tanzania NYUMBA INAUZWA IPO MTWARA MJINI BEI MILION 14 , BADO KUNA NAFASI YA MAZUNGUMZO KWA MTEJA

    Imeshauzwa.
  11. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Morogoro: Zaidi ya nyumba 432 zabomoka na kuezuliwa paa baada ya Mvua na upepo mkali Ulanga

    Zaidi ya nyumba 432 zimebomoka na nyingine kuezuliwa paa baada ya Mvua iliyoambatana na upepo kunyesha katika kata ya Iragua wilaya ya ULANGA Mkoani Morogoro na kuathiri vijiji vinne vilivyopo kwenye kata hiyo Soma: Mvua zilizoambatana na upepo zaezua nyumba zaidi ya 100 Ulanga mkoani Morogoro...
  12. stabilityman

    JamiiForums Tanzania House4Rent Nyumba inauzwa mil 20 chanika inavyumba 3 vya kulala

    NYUMBA INAUZWA CHANIKA MWISHO MIL 22 ( INAUZWA MIL22) CONTACT: 0743 257 669 Nichek whatsapp direct View James Construction and real estate company's Catalog on WhatsApp UKUBWA WA ENEO SQM 400 BEI TSHG MIL 22,000,000/= NYUMBA INA VYUMBA VITATU 3 MASTER BEDROOM PUBLIC TOILET JIKO NA...
  13. stabilityman

    JamiiForums Tanzania Nyumba inauzwa Kitunda Mnadani karibu na sheri, bei ni TSh. Milioni 35

    Inavyumba 6 Eneo la parking lipo kubwa limebaki mbele Nyuma kuna uwanja wa kujenga hata vyumba 3 vya kulala Nyumba inawapangaji nyumba iko kwenye barabara ya mtaa gari inafika Haina mgogoro eneo limepimwa hati haijatoka bado karibu 0743 257 669 nipigie
  14. Suip

    JamiiForums Tanzania Fundi wa urembo wa kona,madirisha na nguzo za nyumba

    Nahitaji kufahamu fundi wa kuremba nguzo, kona za nyumba na madirisha anayepatikana Arusha na bei ya kazi hiyo kwa kila dirisha,kona na nguzo,nina kazi.
  15. maurice99

    JamiiForums Tanzania House4Sale Nyumba inauzwa Pongwe Tanga

    Nyumba ipo Pongwe Tanga Jirani na kituo cha Afya Pongwe ★Rooms 3 Kimoja master ★Sebule ★Dinning ★Jiko ★Public toilet ★Sqm 360 Bei Ni Milioni 39 mazungumzo yapo Piga simu kwa maelezo zaidi 0679991114/ 0623646940
  16. Mparee2

    JamiiForums Tanzania Umeme wa Bwawa la Nyumba ya Mungu

    Hivi lile Bwawa la Nyumba ya Mungu halizalishi tena umeme? Kama linazalisha kwa nini umeme wake usitumike huko Kaskazini kujazia huo unao pungua? Naona kama TANESCO wanakuja na miradi mipya miingi kuliko kipindi kile tukiwa na tatizo kubwa la umeme kama vile wana justify matumizi ya hela...
  17. Heci

    JamiiForums Tanzania Kwenye vituo vya kujiandikisha kwenye daftari la maboresho la wapiga kura tunaambiwa kadi zetu tuzipeleke kwa mjumbe wa nyumba kumi wa CCM

    Kituoni hapa tunaambiwa twende kwa mjumbe wa nyumba kumi ambaye ni kada wa CCM tupeleke kadi zetu ili wachukue namba. Huu ni UPUMBAVU mwingine, CCM wameanza kuchezea rafu mapema. CHADEMA, ACT Wazalendo, hakikisheni uchaguzi huu haufanyiki kwani tayari una makandokando mengi.
  18. K

    JamiiForums Tanzania 🏗️🔥 KIPPAYA CONSTRUCTION – UJENZI WA KISASA,

  19. Worldboss

    JamiiForums Tanzania Nyumba kama hii inaweza kugharimu kiasi gani?

    Wazoefu wa ujenzi naombeni makadirio
  20. K

    JamiiForums Tanzania Tunafanya ujenzi bora wa nyumba

    🏗️🔥 KIPPAYA CONSTRUCTION – UJENZI WA KISASA, UBORA WA KUDUMU! 🔥🏗️ Unataka nyumba yako iwe ya kuvutia na ya kisasa? Tunakuletea huduma bora za ujenzi na ukamilishaji kwa viwango vya juu! 👌🏾🏠 🔨 Huduma Zetu: ✅ Finishing & Decorations – Tunamalizia kwa ustadi wa hali ya juu ✨ ✅ Plasta – Ukuta wako...
Back
Top Bottom