nyumba

  1. E

    JamiiForums Tanzania CHADEMA kumtafuta Mdude kwenye nyumba za Polisi

    Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimesema kitamtafuta kada wake, Mdude Mpaluka Nyagali aliyetoweka tangu usiku wa kuamkia Mei 2, 2025 mkoani Mbeya. Chadema pia wamempa Mkuu wa Jeshi la Polisi (IGP), Camillus Wambura saa 72 kuzungumza na Taifa kuhusu matukio ya utekaji na watu...
  2. Hharyson

    JamiiForums Tanzania HII NYUMBA KILA MTU ANAUWEZO WA KUIJENGA 2BEDROOMS, LOUNGE,DINNING ,OPEN KITCHEN AND STORE CALL US 0624004650

    SIMPLE AND AFFORDABLE HOUSE HII NZURI SANA KUANZIA MAISHA TUNAPATIKANA DAR ES SALAAM DESIGN AND CONSTRUCTION SERVICES 0624004650
  3. Mr Why

    JamiiForums Tanzania Baadhi ya fundi nyumba wamekuwa tatizo, wanakujengea nyumba yako na unawalipa malipo yao yote, baada ya hapo wanakusumbua kila wakuonapo wakiomba hela

    Baadhi ya fundi nyumba wamekuwa tatizo, wanakujengea nyumba yako na unawalipa malipo yao yote, baada ya hapo wanakusumbua kila wakuonapo wakiomba hela Hili tatizo linakera sana imepelekea baadhi ya wamiliki wa nyumba na majengo kutokuonekana sana uraiani na kuishi maisha ya siri baada ya kupata...
  4. Kasri Homes Tz

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Kiluvya: Eneo la kujinafasi linauzwa pamoja na nyumba - Dar

    • Direction: • Structures: • Facilities: • Plot Terrain: • Plot Survey: • Plot Area: • Document: • Ideal: • Price: • Site visiting: . #InRealEstateWeConnect ☎💬: Mitandaoni:
  5. radhiya

    JamiiForums Tanzania Nyumba inauzwa Tabata Liwiti

    Nyumba inauzwa Tabata. Mahali: Misewe B, Liwiti. Sifa za nyumba: •Ina vyumba vya kulala 3 na master 1. •Ina sehemu ya chakula(dining), sebule, jiko na stoo. •Ina korido kubwa ya ndani na baraza ya nje kubwa. •Ina umeme, maji pamoja na simtank ya 2000ltr. •Ina sehemu ndogo ya nje ndani ya geti...
  6. radhiya

    JamiiForums Tanzania Nyumba inauzwa Bahari Beach Dar es Salaam

    Nyumba Inauzwa Bahari beach, Dar es Salaam. Mahali: Mtaa wa Simba/Mugeta. Sifa za Nyumba: *Iko Mita 100 kutoka barabara kubwa ya ununio. *Ina vyumba vitano vya kulala, vyote ni master. *Huduma zote za kijamii zipo. Ukubwa wa Eneo: SQM 1833. Nyaraka: Ina Hatimiliki. Bei: Tzs Milioni 900...
  7. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Serikali Yafungua Milango ya Uwekezaji Kwenye Ujenzi wa Nyumba za Makazi

    𝐒𝐄𝐑𝐈𝐊𝐀𝐋𝐈 𝐘𝐀𝐅𝐔𝐍𝐆𝐔𝐀 𝐌𝐈𝐋𝐀𝐍𝐆𝐎 𝐘𝐀 𝐔𝐖𝐄𝐊𝐄𝐙𝐀𝐉𝐈 𝐊𝐖𝐄𝐍𝐘𝐄 𝐔𝐉𝐄𝐍𝐙𝐈 𝐖𝐀 𝐍𝐘𝐔𝐌𝐁𝐀 𝐙𝐀 𝐌𝐀𝐊𝐀𝐙𝐈 Dodoma, 5 Mei 2025 – Waziri wa Ujenzi, Mhe. Abdallah Ulega (Mb), amewasilisha Bungeni Mpango na Bajeti ya Wizara ya Ujenzi kwa mwaka wa fedha 2024/25 akiainisha utekelezaji wa miradi ya kimkakati ikiwemo ujenzi na...
  8. radhiya

    JamiiForums Tanzania Nyumba inauzwa Goba Lilian Kibo

    Nyumba inauzwa Goba, Dar es Salaam. Mahali: Lilian Kibo kwa Mwakifulefule. Sifa za Nyumba: *Nyumba haijakamilika, imefikia kwenye hatua ya umaliziaji. *Iko mita chache kutoka barabara ya Goba. *Iko upande wa kushoto ukitokea mbezi beach, na upande wa kulia ukitokea mbezi stendi ya Magufuli...
  9. H

    JamiiForums Tanzania NYUMBA INAUZWA 90M IPO KIGAMBONI MWASONGA ENEO LA KIGOBEDI

    Nyumba inauzwa eneo la Kigobedi, Mwasonga, Kigamboni. Ukubwa wa eneo: 580Sqm 3 rooms zote master Sitting room Dining room Kitchen Store Umeme upo kijiji cha jirani kama 500m Nyumba ni mpya haijawahi kukaliwq na mtu ndani. Document zote zipo. Mawasiliano: 0783242247 Barabara ya...
  10. Nima_

    JamiiForums Tanzania Miradi ya ujenzi wa nyumba mitandaoni

    Kuna jamaa wanaitwa Fine Homes wana miradi ya kujenga nyumba kwa bei nzuri sana na nyumba zao ni za kisasa kwelikweli kwa mujibu wa picha zinavyoonyesha kwenye instagram. Kuna mtu ambaye ameshafaidika na miradi hii ili kutupa uhakika wa uhalali wa miradi hii?
  11. D

    JamiiForums Tanzania Inahitajika nyumba ya Kupanga Kigamboni haraka.

    Habari wadau. Nahitaji nyumba ya kupanga maeneo ya kigamboni. Nyumba isiwe mbali na barabara ya lami inayotoka ferry , maji yawepo , tiles na aluminium muhimu pamoja na gypsum, bila kusahau Usalama na itapendeza kama kutakuwa na umeme wa kujitegemea. Nyumba iwe na Chumba master, sebule na...
  12. Prof_Adventure_guide

    JamiiForums Tanzania Wanaume Jifunzeni Ku-Handle Familia Zenu: Usikubali Uongozi wa Nyumba Ugeuke Ukoloni!

    Listen up kings, let’s get this real and raw—life ya ndoa siyo sinema, na hakuna mtu atakuja kukufundisha kuishi na mwanamke wako. Hii ni game ya akili, moyo na nidhamu ya hali ya juu. Ukiona unam-control mke wako kwa makelele, vitisho na mangumi, bro unaishi kama colonizer wa karne ya 18. Hii...
  13. Hharyson

    JamiiForums Tanzania UNAHITAJI MJENZI MAKINI KWA AJILI YA NYUMBA YAKO ?? CALL US +255624004650 TUNAPATIKANA SINZA DAR ES SALAAM

  14. mdukuzi

    JamiiForums Tanzania Kama una nyumba usimpangishe askari polisi ataleta laana nyumbani kwako

    Huo ndio ushari Usipangishe polisi Nyumba yako itageuka laana
  15. Smart Eagles

    JamiiForums Tanzania Natafuta nyumba ya kupanga maeneo yafuatayo Morogoro mjini (bajeti 300,000/=)

    1. Eneo la Kilakala isiwe mbali na kituo cha Tushikamane. 2. Eneo la Kola (iwekaribu na barabara ya pangawe) 3. Eneo la Bigwa (iwekaribu na barabara ya pangawe) Iwe na vyumba 3 vya kulala. Ijitegemee maji na umeme.
  16. and 100 others

    JamiiForums Tanzania VIDEO: IDF wakishambuliwa na Hamas baada ya kuvamia nyumba Gaza.

    Askari wa IDF wakipiga kelele za kuomba msaada baada ya kuona maji yamezidi unga. https://www.youtube.com/watch?v=n2ktmJgcZ78 Hii video inaonyesha uwezo wa IDF kwenye uwanja wa mapambano.
  17. radhiya

    JamiiForums Tanzania Nyumba inauzwa Bahari Beach Dar es Salaam

    Nyumba Inauzwa Bahari beach, Dar es Salaam. Mahali: Mtaa wa Simba/Mugeta. Sifa za Nyumba: *Iko Mita 100 kutoka barabara kubwa ya ununio. *Ina vyumba vitano vya kulala, vyote ni master. *Huduma zote za kijamii zipo. Ukubwa wa Eneo: SQM 1833. Nyaraka: Ina Hatimiliki. Bei: Tzs Milioni 900...
  18. radhiya

    JamiiForums Tanzania Nyumba Inauzwa Tabata Liwiti

    Nyumba inauzwa Tabata. Mahali: Misewe B, Liwiti. Sifa za nyumba: •Ina vyumba vya kulala 3 na master 1. •Ina sehemu ya chakula(dining), sebule, jiko na stoo. •Ina korido kubwa ya ndani na baraza ya nje kubwa. •Ina umeme, maji pamoja na simtank ya 2000ltr. •Ina sehemu ndogo ya nje ndani ya geti...
  19. radhiya

    JamiiForums Tanzania Nyumba inauzwa Goba

    Nyumba inauzwa Goba, Dar es Salaam. Mahali: Lilian Kibo kwa Mwakifulefule. Sifa za Nyumba: *Nyumba haijakamilika, imefikia kwenye hatua ya umaliziaji. *Iko mita chache kutoka barabara ya Goba. *Iko upande wa kushoto ukitokea mbezi beach, na upande wa kulia ukitokea mbezi stendi ya Magufuli...
  20. Hharyson

    JamiiForums Tanzania Unahitaji nyumba nzurii? Basi hapa umefika we do best design for your project call us 0624004650

    CHECK OUT THIS 4BEDROOMS DESIGNS PLOT SIZE 800SQM TUNAPATIKANA SINZA DAR ES SALAAM
Back
Top Bottom