Habari ya wakati huu wadau.
Nahitaji nyumba ya kupanga Kigamboni , haswa eneo la Mjimwema au Gezaulole .
Sifa : Nyumba iwe na master bedroom, Sebule na Jiko, isiwe mbali na barabara, Umeme na Maji viwepo.
Kwa mwenye kuweza kunifanikishia hitaji hilo tafadhali naomba tuwasiliane.
Natanguliza...
Zaidi ya nyumba 432 zimebomoka na nyingine kuezuliwa paa baada ya Mvua iliyoambatana na upepo kunyesha katika kata ya Iragua wilaya ya ULANGA Mkoani Morogoro na kuathiri vijiji vinne vilivyopo kwenye kata hiyo
Soma: Mvua zilizoambatana na upepo zaezua nyumba zaidi ya 100 Ulanga mkoani Morogoro...
NYUMBA INAUZWA CHANIKA MWISHO MIL 22 ( INAUZWA MIL22)
CONTACT: 0743 257 669
Nichek whatsapp direct View James Construction and real estate company's Catalog on WhatsApp
UKUBWA WA ENEO SQM 400
BEI TSHG MIL 22,000,000/=
NYUMBA INA VYUMBA VITATU 3 MASTER BEDROOM PUBLIC TOILET JIKO NA...
Inavyumba 6
Eneo la parking lipo kubwa limebaki mbele
Nyuma kuna uwanja wa kujenga hata vyumba 3 vya kulala
Nyumba inawapangaji nyumba iko kwenye barabara ya mtaa gari inafika
Haina mgogoro eneo limepimwa hati haijatoka bado karibu 0743 257 669 nipigie
Nahitaji kufahamu fundi wa kuremba nguzo, kona za nyumba na madirisha anayepatikana Arusha na bei ya kazi hiyo kwa kila dirisha,kona na nguzo,nina kazi.
Nyumba ipo Pongwe Tanga Jirani na kituo cha Afya Pongwe
★Rooms 3 Kimoja master
★Sebule
★Dinning
★Jiko
★Public toilet
★Sqm 360
Bei Ni Milioni 39 mazungumzo yapo Piga simu kwa maelezo zaidi 0679991114/ 0623646940
Hivi lile Bwawa la Nyumba ya Mungu halizalishi tena umeme?
Kama linazalisha kwa nini umeme wake usitumike huko Kaskazini kujazia huo unao pungua?
Naona kama TANESCO wanakuja na miradi mipya miingi kuliko kipindi kile tukiwa na tatizo kubwa la umeme kama vile wana justify matumizi ya hela...
Kituoni hapa tunaambiwa twende kwa mjumbe wa nyumba kumi ambaye ni kada wa CCM tupeleke kadi zetu ili wachukue namba.
Huu ni UPUMBAVU mwingine, CCM wameanza kuchezea rafu mapema. CHADEMA, ACT Wazalendo, hakikisheni uchaguzi huu haufanyiki kwani tayari una makandokando mengi.
🏗️🔥 KIPPAYA CONSTRUCTION – UJENZI WA KISASA, UBORA WA KUDUMU! 🔥🏗️
Unataka nyumba yako iwe ya kuvutia na ya kisasa? Tunakuletea huduma bora za ujenzi na ukamilishaji kwa viwango vya juu! 👌🏾🏠
🔨 Huduma Zetu:
✅ Finishing & Decorations – Tunamalizia kwa ustadi wa hali ya juu ✨
✅ Plasta – Ukuta wako...
Nyumba inauzwa chanika mwisho senta milion 22, (imeshuka bei njoo hata na nusu anapokea maana ana shida) ina viumba v2 kimoja masta sebule jiko na pablic toile. Full tiles and gypsum umeme tayari. Bei inapungua njoo site
Kutoka chanikamwisho hadi kwenye nyumba dk5 kwa mguu
Call 0743257669
Jana, kijiji cha Lekurumuni kilikumbwa na upepo mkali ulioleta uharibifu mkubwa, ukiwaacha wananchi wakiwa katika hali ya hofu na wasiwasi. Upepo huo, ambao ulikumba wilaya ya Siha mkoani Kilimanjaro, ulisababisha kuanguka kwa shule, makanisa, na nyumba za wananchi, huku watu kadhaa wakijeruhiwa...
Nyumba Inauzwa Bahari Beach, Dar es Salaam.
Mahali: Br. Simba, Mtaa wa Mugeta.
Sifa za Nyumba:
*Iko Mita 100 kutoka barabara ya ununio.
*Ina Vyumba vitano vya kulala(vyote ni master).
*Huduma zote za kijamii zipo.
Ukubwa wa Eneo: SQM 1833.
Nyaraka: Ina Hatimiliki.
Bei: Milioni 900. Mazungumzo...
Huna gari, huna nauli, msomeshe mwanaume mwenzako akusaidie. Sio umuombe Hela, mweleze, nafika sehemu Fulani ila nimekwama nauli, je unanisaidiaje ili nifike huko niendako?
Kama atajisikia kukupa pesa, sawa, kama atakuitia boda sawa, kama atakuombea lift kwa jamaa zàke waendao huko uendako ni...
Naitaji Raman ya nyumba kwa budget ya 30M
Raman yenye vyumba vitatu
Master room
Sitting room
2plain room
Kitchen
Studying room
Store
Public toilet
UKUBWA WA ENEO NI 70 kwa 40
Habari wakuu.
Nyumba zipo nne ndani ya kiwanja kimoja Mtaa wa Undogi Tank la maji.
Nyumba mbili zimepauliwa
Nyumba mbili hazijapauliwa.
Sqm 870
Hati ya wizarani.
Location Kibamba njia panda ya shule Mtaa wa Undogi Tanki la maji.
Km 3 kutoka Morogoro Road hadi kwenye nyumba...
Huwa nashangaa mtu anapata wapi ujasiri wa kujenga nyumba kwenye ardhi aliyopewa na wazazi wake Ili aishi na familia yake yaani Kila siku ukiamka unamuona mzee wako na mama Yako hata uhuru hamna aisee nashangaaga sana watu wa aina hii halafu unakuta ukifa familia yako inaporwa nyumba na ndugu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.