Habari za wakati huu, naomba kufahamishwa kuhusiana na submeter ambazo zinaonesha ni kiwango gani mpangaji anatumia umeme, Je zinafanyaje kazi?, je zipi ndio nzuri na ni brand gani ndio imara zaidi? Wapi zinapatikana na gharama yake ikoje?
Habari wakuu,
Wanasema uliza kwa wenye uzoefu wakusomeshe mchezo.... Nawatonya wazee wa totoz dar night hamna kitu msikae kutega kitaa, Ita Uber, Ita bolt maana Mboga zote ni kitambaa.
Okay, Lets go... Nataka watu ambao katika harakati za kupambana na changamoto za maisha basi katika zile...
Baadhi ya wanawake wanaoishi kwenye nyumba za kupanga mnatabia ya kuoga maji bafuni lakini gaga mnakuja kusugulia nje bila kujali kuna nani . Hivi shida ni nini ?😩😩😩
Binafsi kero za mwenye nyumba zilisababisha kujenga nyumba yangu na kuhamia faster ilikuwa 2015.
Unalipa kodi mara umeme umekatwa wakati kwake upo, mara kuchota maji mwisho saa 4 asubuhi, hutakiwi kutumia pasi ya umeme wala water heater yani ilimradi uishi kwa mateso.
Ukiongea unaambiwa...
Naomba ufafanuzi,
Mimi ni introvert mtaa mzima wanaelewa kuwa sina makuu na mtu. Siongeagi na mtu yoyote pasipo sababu za msingi.
Sasa hapa ninapopanga kuna mpangaji analewa then ananigonga madirisha yangu bila sababu. Nimefungua dirisha na nimemsalimia na kupitisha mkono vizuri na kumpa ngumi...
Yaani mpaka leo kuna watu wanaishi nyumba za kupanga? Poleni aisee ila niwaambie kitu huo ni uzwazwa inakuaje mpaka leo kijana mzima unaishi nyumba za kupanga? Sasa kipindi wazazi wa wenzenu wanapambana kuwatafutia viwanja na mali watoto wao nyie wazazi wenu walikuwa wapi? Shame on them.
Ili...
Wakuu salamu.
Naomba niende kwenye point moja kwa moja.
Kama mnavyojua miaka inasogea na watoto wanakua na wakubwa wanazeeka. Na maisha yanasonga mbele na TOZO zinayoyoma. Pamoja na 10% inayopendekezwa na serikali ya CCM, kwenye nyumba za kupanga.
Sasa Mungu katubariki vijumba viwili vitatu...
Wadau kuna baadhi watu wana uwezo mkubwa sana wa kujenga na kuwa na makazi yako lakini bado umalaya unawafanya waendelea kupanga.
Kuna watu wengine walishakolea ile tabia ya kutembea na wapangaji wanaona wakijenga na kuishi kwao hawatapata michepuko.
Kuna watu walishazoea yale maisha ya...
Enzi hizo nasoma chuo nilipanga geto, niliishi nyumb in watu wazima kidogo, Mtu na akili zake anatoka nje na taulo anaenda anaingia choon na maji nusu jagi Alafu anaenda kushusha zigo la kilo mbili .. basi Ukiingia unakuta Choo kimechachawa na kinyesi lundo Kiukweli sikufurahia hiki kitu
Kama unaishi nyumba za kupanga zenye masharti lukuki hii inakuhusu sana, wataalamu wa afya ya akili na wanasaikolojia wameonya kuwa masharti hayo ni moja ya kichocheo cha mtu kukumbwa na magonjwa ya afya ya akili ikiwemo sonona.
Takwimu za magonjwa ya afya ya akili kwa mwaka jana kutoka Wizara...
Kama unaishi nyumba za kupanga zenye masharti lukuki hii inakuhusu sana, wataalamu wa afya ya akili na wanasaikolojia wameonya kuwa masharti hayo ni moja ya kichocheo cha mtu kukumbwa na magonjwa ya afya ya akili ikiwemo sonona.
Takwimu za magonjwa ya afya ya akili kwa mwaka jana kutoka Wizara...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.