nyuma

Tom Nyuma (died January 26, 2014) was a Sierra Leonean military commander and the chairman of the Kailahun District council. He was elected as chairman of Kailahun District council on July 6, 2008 with 87% of the vote running on the opposition Sierra Leone People's Party (SLPP) ticket.
Nyuma was born in Kailahun, and was very popular in the Southern and Eastern regions of the country. In March 2012, Nyuma left the SLPP and joined the All People's Congress (APC) of President Ernest Bai Koroma.He was at the rank of Lieutenant Colonel in the Republic of Sierra Leone Armed Forces before he retired. On 29 April 1992, Nyuma was one of the young officers in the Sierra Leonean army who ousted the APC government led by Joseph Saidu Momoh. They established the National Provisional Ruling Council (NPRC) to run the government. During the NPRC administration, Nyuma was the commander of the Eastern Province. He was a member of the Kissi ethnic group and an alum of Ohio State University in Columbus, Ohio U.S.A.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Tairi zipi zinatakiwa kujazwa upepo zaidi kati ya za mbele na za nyuma?

    Tairi zipi zinatakiwa kujazwa upepo zaidi kati ya za mbele na za nyuma?
  2. JamiiForums Tanzania TLP: Tunampongeza Rais Samia kwa kupaisha bei ya mbaazi kwa 3200%. Hongera sana tuko nyuma yako

    NAPE NA NDUGU ZAKO MSIACHE KUMSHUKURU MUNGU KWAAJILI YA MAMA SAMIA | MBAAZI IMEPAA TOKA TZS 50 FY2017|2020-TZS 1,600 FY2021|22 KWA KILO Bei ya mbaazi Tanzania chini ya Rais Samia imeongezeka karibu ( X3200 ) kutoka Shilingi Hamsini za Kitanzania hadi kufikia Tshs 1,600 mwaka huu,Mtakumbuka ni...
  3. JamiiForums Tanzania Simulizi ya kusisimua nyuma ya pazia inayohusisha muuaji wa Salenda

    Habari wadau..! Katika hiki kisa cha muuaji wa salenda kuna kisa kingine kilichojificha kuna jamaa anaadithia . Moja kati ya watu waliofariki kwenye lile shambulizi yupo jamaa mmoja ambaye ni mlinzi ninavyosikia kwa story za mtaani. Jamaa alitoka kufiwa mwaka huu misiba miwili mmoja wa baba...
  4. L

    JamiiForums Tanzania SoC01 Dawa za Kulevya zinavyorudisha nyuma maendeleo ya Taifa

    Rashid Abdallah Makwiro mmoja kati ya wasanii bora zaidi wa Hip Hop nchini. Watu wengi hawawezi kulijua jina hili, huyu anafahamika kwa jina maarufu sana la Chid Benz. Unamkumbuka Chid Benz katika ubora wake akiwa karibu na kipaza sauti? Alitisha sana, ukibisha unachotakiwa kufanya ni kutafuta...
  5. JamiiForums Tanzania Nyuma ya Rais kuna great thinkers ambao hutawaona majukwaani, mtandaoni au kwenye runinga. Nawaza tu

    Wakuu habari, Haya ni mawazo yangu tu, ambayo nimekuwa nikifikiria kwa muda mrefu pengine ni nadharia tu kwa sababu sina uelewa wa kutosha lakini hainizuii kufikiria na kutafakari, Nitatumia mifano ya awamu ya 5 na 6 kueleza mawazo yangu ambayo nimekuwa nikiyafikiria, Inawezekana kuna watu...
  6. JamiiForums Tanzania SoC01 Dunia inakwenda kasi, tusibaki nyuma

    Maisha yetu huwa na thamani pale tunapoona uwezo wetu wa kutatua changamoto ni mkubwa. Maisha yetu hukosa thamani pale tunapojihisi hatuna kile kinachoweza kuongeza thamani katika maisha yetu. Uwezo wa kutatua changamoto katika maisha hujengwa ili kutoa matokeo kusudiwa. Leo katika Story of...
  7. JamiiForums Tanzania Nchi imeanza kurudi nyuma kwa kasi ya ajabu, bila rushwa TANESCO hawafungi umeme

    Nimekuwa nikiripoti Mara nyingi jinsi nchi yetu inavyokwenda kwa sasa tumeanza kurudi nyuma , Huduma zimekuwa mbovu ukiende kwenye ofisi kupata huduma customer care mbaya wahudumu wanakujibu ovyo. Mfano Mzuri ni shirika letu la Tanesco Maeneo Mengi watu wanalalamika, likiwemo eneo letu...
  8. JamiiForums Tanzania Fatma Karume na Maria Sarungi sijawaona katika maandamano Mahakama ya Kisutu, wanachochea halafu wamejificha nyuma ya kabati

    Hawa wadada wakiwa twitter wanaonekana kama tembo au simba, linapokuja suala LA kwenda saiti kutekeleza uchochezi wao, wao hawafiki! Yaani wanataka rule rungu, tufe,wao wabaki wakila bata. Maria Sarungi mama yake ni mzungu, ana pakwenda endapo njama zake za kuvuruga amani zikifanikiwa, sisi...
  9. JamiiForums Tanzania Kama siku zingerudishwa nyuma ungefunga hiyo ndoa?

    Kichwa cha habari chahusika. Kila mtu ajimwage hapa. Endapo tarehe zingerudi nyuma hadi ile siku uliyofanya maamuzi ya kufunga nae ndoa, Je ungebaki ndoani au ungetengua maamuzi?
  10. P

    JamiiForums Tanzania Nini kipo nyuma ya Channel Ten na matamko ya BAVICHA?

    Sio utamaduni wa chombo cha utangazaji cha Chanel Ten kutangaza habari za vyama vya upinzani nchini. Tangu wiki lililopita wamekuwa wakitangaza taarifa za Chadema wakidai wao ni wanachama wa chadema bile kujitaja wadhifa wao kichama. Pia najiuliza juhudi ya channel Ten kuwa mstari wa mbele...
  11. JamiiForums Tanzania Miaka ya nyuma ilikuwa dili kumvua nguo ya ndani binti, siku hizi wanavua wao

    Miaka ya nyuma ilikuwa raha sana kwenda kuchapa demu. Kwanza unamsotea kutongoza halafu kama amekukubali anakupa penzi kwa mbinde. Kumvua nguo ya ndani inakua ugomvi na unakula mzigo kijasho kinakutoka. Siku hizi mabinti wakiingia geto wanavua kabla hata mwanaume hajavua!
  12. JamiiForums Tanzania Rais Samia hakuna kurudi nyuma. Simamia hapo hapo, Hii nchi ukiwasikiliza watu haitaenda

    Kwanza kabisa nakupongeza kwa ukipofikia. 1. Kwenye chanjo 2. Kwenye Makato ya Kodi Tanzania ilipokuwa imefikia ilikuwa ni pabaya sana. Watu waliaminishwa ujinga na wakaendelea kuishi kwenye ujinga. Tumepoteza watu wengi sana kutokana na kuaminishwa kuwa Tiba asili inatibu Corona badala ya njia...
  13. JamiiForums Tanzania Rais hakuwatuma Polisi wamkamate Mbowe na kumpa kesi ya ugaidi

    Friends and Enemies, Miez kadhaa iliyopita enz za uongoz wa Magufuli,the so called constitution reform heroes walipewa jibu MOJA tuh na mwendazake,nalo ni siyo kipaombele chake, Walikaaa kimya,na wengine walikimbilia Dubai na wengine Canada wengine wakahama chama na kumfuata kwenda kuunga...
  14. JamiiForums Tanzania Mbowe na dhana iliyotiliwa shaka huko nyuma

    Najua Naweza kushambuliwa na ambao wanahisi matusi kwamba ndio hoja. Badala ya kutumia ukosoaji Kama SoMo lakini.Naomba kuwauliza. Hivi Mheshimiwa Mbowe, Hana washauri.Na hii ni kupitia kauli yake ya kushauri Serikali kutoa chanjo kwa Lazima badala ya msimamo wa Serikali kwamba chanjo Ni hiari...
  15. N

    JamiiForums Tanzania SoC01 Mapambano dhidi ya COVID-19: Tuwekeze zaidi katika Elimu ya kuzuia Maambukizi

    Afya ya msingi ni kuhakikisha kunakuwepo na mikakati endelevu wa kuhakikisha huduma za afya hususa ni kuzuia maambukizi mapya (Prevention) Afya ya msingi inayoanzia katika jamii ni muhimu sana na hasa ndio msingi ambao unawagusa wananchi moja kwa moja hususa ni walioko maeneo ya vijijini na...
  16. JamiiForums Tanzania Mahusiano na wake za watu yameniponza na kunirudisha nyuma

    Habari za Leo wana Jf wenzangu, Mimi sio mgeni humu. ndani,Nina ID ninayoitumia tangu mwaka 2013 ila kutokana na kitu ninachotaka kukiandika humu basi nimelazimika kufungua ID mpya kabisa. Nimezaliwa miaka 40 iliyopita ktk moja ya wilaya zilizopo kaskazini ya Tanzania, ni mtoto wa 4 kuzaliwa...
  17. JamiiForums Tanzania NYUMA YA PAZIA: Nawakumbusha tu Enzi Zidane ana miaka 26

    YALE maisha ya mtaani kwako uswahilini. Unaamka asubuhi unaenda kwa mama muuza chapati au maandazi. Kando yake ana mtoto wa kiume anayehangaika kufanya kazi hii na ile kumsaidia mama yake. Baadaye anaaga kwenda kucheza soka na wenzake. Anaruhusiwa. Ghafla anaitwa tena na mama yake kwa ajili ya...
  18. M

    JamiiForums Tanzania NIlivyopiga kura huko nyuma, nitakavyopiga 2025

    Wanajanvi napenda kuweka kumbukumbu ya jinsi nilivyopiga kura baada ya mfumo wa vyama vingi kurudi. Hii ni kwa ajili ya kura za urais tu 1. Mwaka 1995 - Augustino Mrema 2. Mwaka 2000 - Prof Ibrahim Lipumba 3. Mwaka 2005 - Freeman Mbowe 4. Mwaka 2010 - Dr.Wilbrod Slaa 5. Mwaka 2015 - Edward...
  19. JamiiForums Tanzania Hakuna tumaini mbele, tumaini tumeliacha nyuma. Tusijidanganye!

    HAKUNA TUMAINI MBELE; TUMAINI TUMELIACHA NYUMA. Kwa Mkono wa, Robert Heriel. Mambo yataendelea kuwa vivi hivi. Tena yatazidi kuwa magumu, kila siku iendayo na ile inayokuja itakuja na ugumu maradufu. Hakutakuwa na urahisi. Watu watazidi kuchanganywa na kujichanganya. Furaha itazidi kuyoyoma...
  20. JamiiForums Tanzania Kama una uwezo jenga nyumba ya nyuma ni muhimu sana

    Rafiki yangu alipata eneo la nusu heka, aliamua kujenga nyumba ya nyuma ya vyumba vitatu na kimoja ni en-suite. Kwa kweli sikumuelewa, ingawa vyumba viwili aliwapa dada na kaka wa kazi na ensuite aliiweka kwaajili ya wageni. Uchaguzi uliopita baba yake alikua mmoja wa wazee wa chama kimoja...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…