Mhe. Rais uliongeza Pensheni kwa Wastaafu hivi karibuni na wote tulipongeza sana. Mhe. Rais cha kusikitisha sisi Wastaafu tunaopokea pensheni zetu za kila mwezi kwa asilimia 100 kutoka PSSF hatujaongezewa hata senti moja licha ya tamko lako.
Tunakuomba Mhe. Rais na sisi tunaopokea pensheni...
https://www.instagram.com/reel/DLVrV_LKwvP/?igsh=ZjFkYzMzMDQzZg==
Nimeangalia hii Makinikia aliyoweka Muhidin Issa Michuzi.
Nimemwona Jomo Kenyatta na Julius Nyerere kwenye Land Rover wakienda kwenye mkutano wa hadhara kuhutubia wananchi.
Hii ilikuwa mwaka wa 1961 Kenya bado haijapata uhuru...
Bodi ya Ithibati ya Waandishi wa Habari (JAB), imesema haitatoa muda wa nyongeza kwa waandishi wa habari kujisajili,na kwamba kufanya kazi za kihabari bila usajili ni kosa kisheria.
Kaul hii imebainishwa na Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa JAB, Patrick Kipangula, ambapo amesema kuwa baada ya muda...
Kama kuna kitu cha kisanii kwenye soka basi ni suala la dakika za majeruhi au dakika za nyongeza ambapo muamuzi huzitoa kufidia dakika zilizopotea.
Ukichunguza kwa makini utagundua hilo suala huwa ni utashi wa kamisaa wa mchezo akishirikiana na mwamuzi wa katikati kwa maslahi yao.
Hakuna mtu...
Tangazo la ongezeko la mshahara kwa wafanyakazi wa kima chini Cha 370,000 kabla ya Kodi na kufikia tsh 500,000 kabla ya Kodi! Halijaifurahisha nchi !
Nchi haijafurahi ! Wananchi wana sonona ! Tendeni haki kwanza ndipo mlete maongezeko ya mishahara ! Bashungwa mdogo wangu ni mlokole safi lakini...
Kazi bado inaendelea ni vuta nikuvute kati ya utawala wa Trump na nchi ya China katika vita vya ushuru.
BREAKING: 🇨🇳🇺🇸 China announces additional 84% tariff on US goods.
https://x.com/WatcherGuru/status/1909925306560885110?t=-ienhln5-MyLFFrJ4DBwBQ&s=19
Baada ya China kujibu mapigo kwa nyongeza ya ushuru wa 15% kwa bidhaa za kimarekani baada ya serikali ya Donald Trump kuiwekea ushuru kwa bidhaa za China zinazo ingia marekani athari za majibizano ya nyongeza za ushuru kati ya serikali ya Washington na Beijing za wakumba wakulima wa kimarekani...
Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba apendekeza nyongeza ya TSh bilioni 945.7 kwenye Bajeti Kuu ya Serikali ya 2024/25 kutoka kwenye ile ya awali ya Trilioni 49.3 iliyowasilisha Bungeni Juni 13,2024.
Soma: Waziri Mwigulu awasilisha Bajeti Kuu ya Serikali kwa Mwaka wa Fedha 2024/2025
Nimeshangaa na kutatizwa sana na kauli ya Ridhiwani Kikwete akijibu swali la Dr. Christina Mnzava pale Bungeni, alipoulizwa kuhusu nyongeza za marekebisho ya kikokotoo kwa wastaafu, na hata kurekebishwa kwa kikokotoo kutoka fungu linalotolewa kwa sasa.
Hebu angalia mwenyewe hapa chini...
Sikumbuki ilikuwa ni mechi baina ya Simba na timu ipi, ila nachokumbuka ni katika mechi ya msimu huu ambapo kuna mchezaji alinawa mpira kizembe dakika za jioni na kuwapa Simba penati iliyowafanya watoke na alama 3 na kuzua mjadala.
Kama sio kuunawa mpira, basi alisababisha penati ya kizembe...
Hicho ndicho kiwango cha nyongeza ya pensheni ya wastaafu toka serikalini!
Kama mtu anapata say 100,000 basi nyongeza ni shilingi 2,000
1,000,000 nyongeza ni 20,000
Hayo ndiyo matusi kutoka serikalini
Kuna wengi wasiojua kiini kikuu kilichofanya gamond aondolewe na kufungashiwa virago, wengi wao wanadhani sababu kuu ni kufungwa na Azam na Tabora united, icho kitu akikuwa kipaumbele kwenye tathmini ya viongozi kwakuwa Mpira unayo matokeo matatu,,lakini kwa mujibu wa source ya ndani kabisa...
Utawala wa mama samia umeonekana kuwa na niya nzuri lakini kuna mambo mengi inaonesha imedhamiria kunyanyasa watu.Manyanyaso ni kama yafuatayo;
1.Demokrasia ya watu kuandamana inaminywa kisa tuh haitaki kuona watu wakidai haki zao.
2.Serikali imekuja na mifumo mbalimbali kama pepmis na mengine...
Tupo katika kipindi ambacho wahitimu wa kidato cha sita wanatarajia kujiunga na vyuo vikuu mbalimbali hapa nchini. Swali ni kwamba wanachuo watarajiwa wameandaliwa mazingira mazuri ya malazi?
Ikumbukwe kule vyuoni Kuna baadhi ya wanafunzi wamekuwa wakifanya mapenzi kiholela katika vitanda vya...
Kuna tetesi kwamba Nyongeza ya Mshahara (Annual Increments), itafanyika kwa kila mlengwa kwa kuzingatia mwezi wa ajira ya mwajiriwa....Kwa mfano kama uliajiriwa mwezi wa tano, basi Nyongeza hiyo utahusika nayo mwezi husika na sio kwa kuzingatia mwaka wa fedha wa serikali,kama ilivyozoeleka.
-Hii...
Mwaka jana mama alitangaza kurudisha ile nyongeza ya kawaida ya kila mwaka baada ya kusitishwa na Raisi Magufuli,
Pamoja na kupandisha vyeo wafanyakazi ambapo walikuwa wamesitishiwa ..
Tumeona wafanyakazi wakipanda vyeo kwa mujibu wa sheria japo kuna miaka iliyodhulumiwa vyeo
Yaani mwaka...
Katika Mei Mosi ya mwaka huu 2024, Makamu wa Raisi wakati akihutubia akimwakilisha Raisi alisema suala la nyongeza ya mshahara tusubirie Jambo kutoka kwa Raisi mwenyewe.
Tunavyofahamu nyongeza ya mshahara hubadilika katika mshahara wa Mwezi July, sasa mpka tarehe ya leo 14 July hakuna tamko...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.