Dorothy Wanja Nyingi is a Kenyan ichthyologist and recipient of the Ordre des Palmes académiques (Order of Academic Palms) for her work on Fish Biodiversity and Aquatic Ecology. She is the head of the Ichthyology Department at the National Museums of Kenya. She is the author of the first guide to fresh water fish in Kenya, Guide to the Common Freshwater Fishes of Kenya.
Mbona tunatumia nguvu nyingi dhidi ya Tundu Lissu?
Kuna swali najiuliza ni kwa nini tunatumia nguvu nyingi dhidi ya Mh Tundu Lissu? Halafu mwisho wa siku hatufanikiwi.
Nina mifano michache ya kutoa:
Mfano wa kwanza, kipindi Tundu Lissu anagombea urais wa Chama cha Mawakili Tanzania, nguvu...
Kulikuwa na utawala wenye ukatili wa wazi wazi na matendo yenye kufanana na hapa kwetu.
Ila walipovuka mipaka wakajikuta tumemtoa mpaka yeye.
Kitendo cha kufanya yale yale kuvuka mipaka kitakuja kumfanya kama alivyofanyiwa IDD amin.
Kumbuka hata ZNZ ilisaidiwa na mtu wa Uganda.
Huu mtindo wa wafanyabiashara wa migahawa, bar na vyoo vya umma kuchukua sabuni ya maji halafu kuiongezea maji ili iwe nyingi ni upumbavu wa hali juu. Wabongo kuna ujanja mwingine tungeachana nao tu maana tunakuwa duni kuliko hata ngedere, kama ni ubahili wa kubana matumizi basi pia ni ubahili...
Niende moja kwa moja kwenye mada
Fedha za CCM zinatumika zaidi na zaidi kwenye uchaguzi mkuu
1. Ina lipa zaidi ya TSH 5B kununua wapinzani(Kuna tetesi kuwa G55 wamepewa fedha za kutosha )
2. Ina lipa zaidi ya tsh 1B kulipa wasanii(Kwenye kampeni zao zote hata sizizo na ushawishi na ulazima...
Kuna vilaza wanadhani kuongea vingereza vingi kwenye mikutano na wananchi au kuwa na mialiko ya makongamano ulaya ndio sifa ya kuingoza nchi .
Acheni kujidanganya...tupo wababe wa vingereza na uwezo mkubwa wa presentation and public speaking tumetulia tunawacheka tu.
Acheni utoto !
Baadhi ya makampuni yaliyopo nchini kitengo cha sales and marketing kuna namna kinachukuliwa poa kuliko vitengo vingine vyote, na kibaya zaidi unakuta salesman wana kazi kubwa kuliko vitengo vingine
Imagine upo mkoa ambao sio mwenyeji na kazi yako ni kutembea kutafuta wateja kote unakozunguka...
Nimemfuatilia huyu Kiduchu na bosi wake, nimegundua wanapoteza muda mwingii sana kufosi kuleta kitu mjini ambacho hakipo.
Hakuna mahusiano kama haya kati ya Boss na House girl.
Vitu vya kuigiza vipo vingi. Watafute Contents nyingine.
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, online TV nyingi hapa bongo hazina ubunifu wowote. Mfano Kuna ulazima gani wakuipa jina lako? eg.Carl Peter's TV ilihali yako majina mengi tuu unaweza kubuni. Pili Hawajui kutafuta contents unakuta online TV inamuhoji dudu baya kila siku
Tanzania ndio nchi pekee wanasubiri ufanye jambo wakiona lina lipa nawao wanaiga copy and paste bila kubadilisha.
mfano USA aliyebuni viungo vya KFC uwezi kukuta mwengine anafanya kama wewe unachoma kuku kwa tangawizi yeye atachoma kuku kwa binzari.
Kama wewe huduma zako saa fulani huyu huduma...
Vijana wengi wanaovuka miaka 30 bila ndoa hukumbana na pressure ya matarajio na maswali mengi kutoka kwenye jamii inayowazunguka:
Unaoa lini?
Kwanini hujaoa/hujaolewa?
Wenzako wanaoa/kuolewa, wewe unasubiri nini?
Hivi kaka/dada, usingizi unautoa wapi huna ndoa?
Unasubiri nini?
Huko kwenye...
Baada ya kuhisi homa za mara kwa mara kwa kipindi kirefu kuumwa kichwa,viungo kukosa nguvu kupata kichefuchefu mda mrefu nikaenda hosptal nikapimwa mkojo upo sawa,skar ipo sawa,presha ipo sawa doctor akanambia nina damu nyingi ambayo ni 16.5 akaniomba niende kuchangia ili kuondoa hali hii...
HAbari za usiku naomba munieleweshe njia ya kupunguza damu tofauti na kuchangia mana doctor ameniambia nikichangia nitakuwa nazalisha tatizo nimeambiwa nina damu nyingi na inanitesa mno msaada tafadhali
Wanabodi na wapenda haki kote naomba tuchukue tahadhari.
Kuna mkakati maalumu unaendelea wenye lengo moja, kuhakikisha Uchaguzi wa October unafanyika. Hata mimi napenda ufanyike.
Chadema kama chama cha upinzani, kimevalia njuga mabadiliko kwanza ya sheria na namna ya ufanyaji uchaguzi bora na...
Najiuliza hili swali nikijua ligi ya Bara ni bora kuliko ya Zanzibar na pia kwa viwango ipo kwenye ligi 5 bora Afrika.
Sasa kama hizi timu zilizopo kwenye ligi bora zinapigwa goli nyingi kila kukicha na Yanga, mbona kwa hizi timu za Zanzibar ambayo ligi yake inaonekana dhaifu hazipigwi goli...
So kuwa Makini...
Kumbuka kuna robots. Na hii imekaa kibiashara Zaidi.
Heading Can call you .. but the content can have U f.ked.
Unavutiwa na Heading.. unaliwa bundle... 😂😂😂
Au unavutiwa na Jina la aliye post... Kwa mfano Millard Ayo.
Unafungua unakuta ni UPUMBAVU MTUPU....
ANAHOJI WATU...
Hii Ndio Inaitwa hakuna jiwe litaachwa limesimama, kilichobaki labda Trailers Tu !
Ukiomba ushauri wa movies za genre unayoipenda unakuta kila movie ulishaivamia kitambo
Hadi upate muvi mpya ni shughuli pevu
Nimefanya utafiti kupitia ukurasa wa Dsm Brokers (Instagram) mpaka sasa nimegundua nyumba nyingi za dar zinauzwa na benki kwasababu ya madeni sasa sijui tatizo ni nini ikiwa mkoa wa dar unasifika kuwa kitovu kikuu cha fursa za kifedha na biashara,
Katika utafiti wangu kupitia ukurasa wa hao...
Kutoka kwa Rajiv J. Shah
Rais wa The Rockefeller Foundation
Je, ungependa kusaidia kuendeleza upatikanaji wa nishati na umeme barani Afrika?
Mapema mwaka huu, serikali kadhaa za Afrika zilisaini Mikataba ya Kitaifa ya Nishati ili kupanua upatikanaji wa umeme na kukuza uchumi wa bara hili.
Ili...
Boring businesses zina pesa nyingi sana.
Sababu? Competition ni ndogo na watu wengi wanazidharau kwa sababu “hazipendezi”
Leo nakupa mifano ya biashara za “kukera machoni pa watu” lakini zinapiga hela ile mbaya.
1. Kununua na kuuza chuma chakavu maarufu kama Skrepa
Umeona unavyoiona ya...
Tuliachana na ukoloni wa Chui tukakutana na ukoloni wa Mbwa mwitu tukaishia ukoloni wa Fisi, hatujajua tutishia ukoloni wa nani.
https://www.youtube.com/shorts/F3LQYQ3XbE8
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.