LOGORIDDIM
JF-Expert Member
- Jan 25, 2013
- 1,626
- 1,207
Salaam. Nembo niliyoibuni (nembo A) ilifanikiwa kuingia 3 bora shindano la Rajamu ya Taifa (Nation Brand Mark) - MADE IN TANZANIA. Shindano lilikuwa na jumla ya washiriki 83.
Kama member wa JF, nilikuja hapa kuomba support yenu katika zoezi la upigaji kura ambapo members wengi walinipigia kura.
1. Ninamshukuru sana Mola Muumba kwa kunijaalia kupata ushindi wa pili.
2. Ninawashukuru sana members wote walionipigia kura. Namuomba Mola Muumba awajaalieni nyote afya njema, umri mrefu na mali yenye manufaa. Mbarikiwe sana.
Aidha kongole kwake kijana wetu wa UDOM Bw. Lucas Allen Haule (nembo C) aliyepata ushindi wa kwanza. Bila kumsahau Bw. Odero (nembo B) aliyeibuka na kuwa mshindi wa 3.
Mola Muumba awajaalie wote hawa mafanikio zaidi.