nyingi

Dorothy Wanja Nyingi is a Kenyan ichthyologist and recipient of the Ordre des Palmes académiques (Order of Academic Palms) for her work on Fish Biodiversity and Aquatic Ecology. She is the head of the Ichthyology Department at the National Museums of Kenya. She is the author of the first guide to fresh water fish in Kenya, Guide to the Common Freshwater Fishes of Kenya.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Familia nyingi haswa za kisasa zinakabiliwa na changamoto nyingi zinazotokana na mabadiliko katika jamii na maendeleo ya kiteknolojia

    Familia nyingi haswa za kisasa zinakabiliwa na changamoto nyingi zinazotokana na mabadiliko katika jamii na maendeleo ya kiteknolojia. Leo tutaangazia baadhi ya changamoto hizo na jinsi zinavyoathiri familia zetu. 1.Tofauti za Majukumu na Wajibu.Mfumo wa familia umebadilika sana, na sasa...
  2. JamiiForums Tanzania SoC03 Faida za Kubinafsisha Bandari ya Dar es Salaam ni Nyingi. Lakini Changamoto Tatu (3) Zinapaswa Kudhibitiwa Ili Tuweze Nufaika Zaidi

    UTANGULIZI Bandari ya Dar es Salaam, ambayo ni moja ya bandari kubwa na muhimu zaidi barani Afrika, imekuwa chanzo cha fursa na maendeleo kwa Tanzania. Hivi karibuni, kumekuwa na mazungumzo kuhusu ubinafsishaji wa bandari hii ili kuongeza ufanisi, kupanua huduma, na kuchochea ukuaji wa uchumi...
  3. JamiiForums Tanzania Tamthilia ya Jua Kali ilipaswa iishe siku nyingi

    Kwa wale mnaofatilia tamthilia hii mtaungana nami kuwa director Lamata analazimisha kuongeza matukio ili ivutie lakini katika uhalisia ilipaswa iwe imeisha siku nyingi. Bill kashajua mama yake ni aunt Zai, Maria na Frank kila siku vitimbi kama ilivyo femi na luka kila siku drama za kufumaniana...
  4. JamiiForums Tanzania Usanii na Akili nyingi aliyotumia Prof Jay katika Wimbo wa Bongo Dar es Salaam

    Huu wimbo uliachiliwa Mwaka 2001, katika albam yake ya Machozi, Jasho na Damu. Nitachambua na kuunganisha na Matukio ya sasa ambayo enzi hizo yalikuwepo ila baadhi ya watu wanayafanya kama ni mambo mapya... na uzuri huyu PROFESA Alichimba ndani sana.. 1- Ushoga 2- Umalaya na Kuuza Miili 3-...
  5. JamiiForums Tanzania Ni matumaini yangu Ikulu mpya inayoenda Kuzinduliwa hatutasikia nayo ina Hirizi nyingi na Kondoo wengi Wamezikwa

    Kuna Mtu Mmoja aliingia zamu yake ( mwaka nauhifadhi ) na alikuta Hirizi kila mahala huku Kondoo wakiwa Wamefukiwa hadi hawaka anashindwa Kulala ndipo Watu wa Maombi wakaitwa na Kuombea kisha vyote vikatolewa na ikawa salama na aliyekuwa navyo akaondoka navyo vingine Kwake Mikocheni, Masaki na...
  6. R

    JamiiForums Tanzania Kwa joto la kisiasa lililopo kwenye sekta binafsi; naona baraza la mawaziri likifumuliwa; sekta nyingi zimeyumba

    Tamisemi kuna matatizo mengi sana hasa ulaji wa fedha za miradi..waziri na timu yake bado ajafungua macho kuwaziba midomo wezi. Kwenye biashara napo kugumu wafanyabiashara wameanza kuona giza huko waendako, waziri yupo hana analofanya kurescue situation Kwenye nishati napo speed yakuwapa...
  7. JamiiForums Tanzania DOKEZO Responded Barabara nyingi zinazounganisha Vijiji vya mkoa wa Ruvuma hazipitiki kipindi Cha mvua

    Kipindi cha mvua barabara nyingi zinazounganisha Vijiji vilivyopo Mkoani Ruvuma hazipitiki kirahisi na zingine hazipitiki kabisa. hali inayopelekea wanakijiji wengi kusafirisha mazao yao kwa shida toka eneo moja kwenda eneo lingine. Inayoonekana katika picha ni barabara iliyopo katika Kata ya...
  8. JamiiForums Tanzania TAHADHARI: Oil nyingi za engine za magari mtaani ni majanga

    Hiki kisa kinahusu gari moja aina ya Volkswagen Polo GTI mk5 toleo la mwaka 2012. Gari ina engine ya EA211 1.4TSI twin charge. Hii kazi niliunganishiwa na mtu wa humuhumu ndani japo huyo mtu alidai hanifahamu personally na hatujawahi kufanya kazi ila ameshakutana na post zangu nyingi humu JF...
  9. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Inakuaje watu mnaoaminika kuwa na akili nyingi mnaingizwa chaka na manabii fake?

    Kuna nchi moja Africa ya Mashariki watu wanajisifu kuwa na akili nyingi na wanajua Kingereza vizuri na ni wazee wa kuchapa kazi sana. Sasa imekuaje mkaingia king kirahisi na kukubali kuuliwa kirahisi na manabii fake?
  10. JamiiForums Tanzania Hivi kwanini makolo wakishinda fujo ni nyingi sana mjini

    Aisee, hawa Makolo kwanini wakishinda fujo ni nyingi town but young africans hatunaga huo ushamba,, yaani tunafanya slow but sure 🤣🤣 sisi ndio vidume sasa Narudia tena SISI NDIO VIDUME
  11. M

    JamiiForums Tanzania Zama za kufungwa goli nyingi kwa Simba na timu za waarabu tumezizika rasmi. Kumwembe ukubali ukweli huu

    "Mchambuzi" wa soka Kumwembe ambaye hana historia ya kucheza soka kwa kiwango hata cha kati alisema: "Hata kama Simba itashinda goli 3-0 hapa kwa Mkapa, bado haitoweza kusonga mbele” Naamini hiyo kauli hatokuja kuirudia tena maana zama za kupigwa nyingi tumezizika rasmi na jumla!!
  12. JamiiForums Tanzania Ndani ya Boksi: Mnara wa Babeli, chanzo cha lugha nyingi duniani

    Ikapita miaka mingi. Wana wa Nuhu nao wakazaa watoto wengi sana. Watoto wao walikua na kuzaa watoto wengi zaidi. Na hapo ndipo kukawa na watu wengi zaidi duniani. Mmoja wa watu hao alikuwa kijukuu wa Nuhu jina lake Nimrodi. Alikuwa mbaya aliyewinda na kuua wanyama na wanadamu. Nimrodi pia...
  13. JamiiForums Tanzania Namuombea Msamaha in advance Kipa Kinda wa Simba SC Ally Salim kwa Goli nyingi atakazofungwa Morocco

    Siyo tunafungwa Goli 10 au 17 na Wydad Casablanca FC Siku ya Jumamosi tarehe 29 April, 2023 huko Kwao nchini Morocco halafu tunaanza Kumchukia na Kumlaumu Kipa Wetu Kinda ambaye nimembatiza rasmi Jina la Juma Kaseja Mpya. Sijui nitaficha wapi Sura yangu mie.
  14. JamiiForums Tanzania Inawezekana Millard Ayo anaingiza pesa nyingi kuliko Diamond Platnumz?

    Kulingana na vyanzo vya habari, inaonekana kuwa Diamond Platinumz ni mmoja wa wasanii matajiri zaidi nchini Tanzania na Afrika Mashariki kwa ujumla. Hata hivyo, ni muhimu kuelewa kuwa Millard Ayo na Diamond Platinumz wana kazi tofauti na kuzingatia vigezo tofauti linapokuja suala la utajiri...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Pongezi kwa Rais Samia. Hadi sasa ametoa ajira nyingi sana japo hitaji ni kubwa

    Kwa kweli hatuna budi kumshukuru sana Mungu kwa ajiri ya Rais wetu kuweka mkazo katika kutoa ajira kwa vijana wetu waliomaliza vyuo. Japo hitaji bado ni kubwa sana lakini hatuna budi kumpongeza kwa wingi wa ajira ambazo keshatoa hadi sasa. Si mnakumbuka tangu 2015 ajira zilikata kabisa...
  16. F

    JamiiForums Tanzania Kina Mama wawafunze mabinti kubalance Elimu, Career, Ndoa, Uzazi. Complications za Uzazi,Ugumba, ndoa migogoro zimekuwa nyingi sana

    Changamoto za ndoa zimekuwa nyingi sana sababu ya kesi za ugumba. Mume analalamika mkewe hashiki mimba kumbe kamuoa binti akiwa above 28 binti kashakula sana p2 huko nyuma. Kina Dr Mwaka wanapiga hela za ujanja ujanja na bado mimba hazipatikani Kutumia Vidonge vya kuzuia mimba muda mrefu...
  17. JamiiForums Tanzania Kumbe CAF super league wanachukua hadi timu mbovu

    Hizi ni timu nane ambazo zimepewa nafasi ya kushiriki super league. 1) Tp Mazembe 2) Es Tunis 3) Petro Luanda 4)Horoya 5)Simba 6) Wydad 7) Mamelod 8) Al Ahly Wakati mashindano haya yanazinduliwa, Simba waliinasibu kuwa ni mashindano ya timu bora tupu ndio zinazoshiriki hayo mashindano, lakini...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Ukweli kuhusu kumiliki pesa nyingi

    Kuna watu wanajiuliza sana na wanapambana sana kupata utajiri, siwakatishi tamaa ila fahamu haya kisha jipime kama unachokifanya kinakufanya uje kuwa tajiri au uishi mazuri tu...
  19. JamiiForums Tanzania Shida ya Aziz Ki ni nguvu nyingi za miguu

    Nguvu nyingi za miguu alizonazo Aziz zinamsumbua sana katika kukadiria kupiga mpira kutoa pasi na hata kulenga lango, yaani mpira unakwenda kasi mno, unaenda mbali au unapaa juu ya lango hata kama akiugusa kidogo tu. Hata yeye anashangaa kwanini mpira hauendi pale alipoukusudia. Yeye anaona...
  20. JamiiForums Tanzania Anzisheni mahusiano na watu wazima, hawa wa chini ya miaka 35 hawana tofauti na vitoto

    Anzisheni mahusiano na watu wazima, hawa wa chini ya miaka 35 hawana tofauti na vitoto, kutokana na kuwa na ahadi nyingi hewa. Kwa upande wangu, mabinti walio chini ya miaka 35 mimi huwa nawaita vitoto; kwa sababu wana usumbufu fulani katika uanzishaji wa mahusiano. Wengi wao wanatoa ahadi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…